Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

Hivi huyu Slaa ndio mgombea wa ccm? Mbona story za pombe zimeisha au mnaona aibu kumnadi mnakomaa na yuda eskariot?
 
lizaboni makonda huna lolote kazi kujikanyaga tu mara sijazungumzia wagombea urais sasa liwassa anagombea ubunge kumlinganisha na slaa
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.

Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.

Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.

Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe

Dr Slaa naye ni mgombea? kupitia chama kipi? Mbona Makomeo Alcohol J.hujamtaja?
kwa Slaa ndio mgombea wa sisiemu?
Majibu nitatoa kesho.
 
Unfortunately voters have decided, labda mnatafuta kura za Slaa, Mushumusi na Lipumba hii tuna uhakika mpaipata, otherwise don't bother we've made up our minds. EL is our Hero...
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.

Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.

Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.

Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe
Umesahau pia kwamba amemfunika Magufuli kwa mbali tu.
 
We unajitekenya then unacheka mwenyewe, huyo silaa hana jipya, akatafute uongo mwingine aje awadanganye nyie hamnazo, kiu ya kuwa rais wa tz imeishia kutumiwa na ccm, ni kama yule anaeomba mdahalo na Lowassa:what: wewe mgombea ubunge unataka mdahalo na mgombea urais:what: nadhani anatafuta namna ya kupata kura kwenye jimbo lake..!!
 
Mimi nilitegemea CCM wangempamba Magufuli ambaye ndiye mgombea wao, kumpamba mtu mwingine zaidi ya Magufuli ni kuto mtendea haki. Akijitokeza mtu mwingine yeyote akaanzisha mkondo mwingine zaidi ya ule anaokwenda nao Magufuli na hasa katika kipindi hiki cha lala salama anawagawa wapiga kura na mwisho wa siku kuna mtu atalia lakini itakuwa too late. Mimi si mpenzi sana wa CCM lakini kwa kiasi fulani namkubali Magufuli, aachiwe ukumbi afanye vitu vyake, hawa wengine wanaojitokeza pembeni hakika nawaambieni badala ya kumjenga wanambomoa. Magufuki ana uwezo wa kujisimamia tumpe nafasi afanye vitu vyake na sisi tufanye ile kazi yetu inayotuhusu hapo 25/10/2015. CCM waachane na mpango wa kutafuta majeshi ya kukodi kwa sababu Magufuli anatosha, apewe nafasi afanye vitu vyake.
 
Sasa wewe mleta mada unatrgemea Lowassa azungumzwe kwa lipi? KwA ukimya anaouonyesha hata baada ya Slaa kumchana? Kuna kipi interesting kumhusu Lowassa zaidi ya watu kuhemkwa tu? Hivi leo hii ukisema Umsifie Lowassa kwa dhati, Utamsifia kwa lipi?
 
dr slaa ndio jenerali wa wananchi wote nchini wapinga ufisadi kwa dhati. huyo mwingine ndio jenerali wa mafisadi yote nchini
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo.
 
Lizaboni sisi ni wa Lowassa, sisi ni wa mabadiliko. Hizo takataka nyingine hatuna habari nazo. Tubadili kwanza mfumo usiwe wa chama kimoja baada ya miaka 5 ukawa nao tunawacheki. Kwa hii nchi ni Mali ya kundi CCM pekee? Chadema na vyama vingine katiba haivitambui? Kwa kufanya hivyo faida inaturudia cc wananchi wa kawaida na kila chama kitakachokuwa kikipata ridhaa hakitafanya makosa. Fuatilia alichotuahidi mwinyi, aliahidi Mkapa, akaahidi Kikwete na sasa anaahidi Magufuli miaka 54. Hapana walichofanya hakiendani na muda tuliowapa. Ni wakati wa UKAWA kuitawala. Mungu bariki Tanzania.

ebu fikiria kwa mtu mwenye fikra pevu. umesema zamu ya UKAWA kutawala. ukawa ni chama au nini ? ni umoja hewa usiotambulikana kisheria na ndiyo maana mbowe amewachezea wenzake mchezo mchafu ili amvute CHADEMA. Hakuna chama chochote kibaya. nani alijua kuwa CHADEMA ingebadilika na kuwa chama cha kulea na kukumbatia mafisadi kwa kigezo eti wameokoka? nani alijuakuwa Dr. slaa angeondoka CHADEMA? so huwezi sema ubaya wa chama but ubaya wa MTU huonekana wazi. lowassa ni fisadi na Hana Sifa za kuwa rais. usichague chama chagua MTU. unaposema unataka mabadiliko ni mabadiliko gani specific unayoyataka au ni msisimko tu. plz think out of the box
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo tuuuuu.Ccm Slaa anaimaliza, mtakuja kulaumiana kwa sababu ya Huyu SLAA.
 
ebu fikiria kwa mtu mwenye fikra pevu. umesema zamu ya UKAWA kutawala. ukawa ni chama au nini ? ni umoja hewa usiotambulikana kisheria na ndiyo maana mbowe amewachezea wenzake mchezo mchafu ili amvute CHADEMA. Hakuna chama chochote kibaya. nani alijua kuwa CHADEMA ingebadilika na kuwa chama cha kulea na kukumbatia mafisadi kwa kigezo eti wameokoka? nani alijuakuwa Dr. slaa angeondoka CHADEMA? so huwezi sema ubaya wa chama but ubaya wa MTU huonekana wazi. lowassa ni fisadi na Hana Sifa za kuwa rais. usichague chama chagua MTU. unaposema unataka mabadiliko ni mabadiliko gani specific unayoyataka au ni msisimko tu. plz think out of the box

"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo poro
 
Back
Top Bottom