Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,424
- 406
Magufuli ameshashinda Urais. Tunasubiri kuapishwa tu
Jingakilazafala at work
Magufuli ameshashinda Urais. Tunasubiri kuapishwa tu
ANBEN Bank & Kiwira coal oyeeee!!!( in makorongo voice)Mzee Mkapa kafuata nyayo za baba wa taifa
mafisadi wapo ccm ...... tukutane october 25Yes. Mabadiliko ya kuachana na vita dhidi ya ufisadi na kukumbatia mafisadi
Yes, kwa kuchemka... But not affecting voters decisions
Wadau, amani iwe kwenu.
Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.
Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.
Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.
Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe
Huwezi kumfananisha Kenyatta na huyu fisadi Lowasa. Utajiri wa Kenyatta unaeleweka. Utajiri wa Lowasa ni upi?

Yes. Mabadiliko ya kuachana na vita dhidi ya ufisadi na kukumbatia mafisadi
yeyote anayeshabikia na kutetea ccm wabaki madarakani kwa kujitambua au kutojitambua anakuwa anakumbatia mafisadi by default.
Ni kweli kabisa mkuu, ila wakati Slaa anamfunika Lowassa kwenye media, Lowassa naye kamfunika Magufuli kwenye media hizohizo kwa mbali saana. Yaani kwa sasa ni Slaa vs Lowassa, yaani utadhani hao ndo wagombea pekee wakati kina Magufuli, Rungwe na wenzao hawapo tena kwenye media.
NILISHABAELEZA BAMUTU BATANZANIA KWAMBA HUYU SLAA NI MSAFI ZAIDI YA PESA MMPYA JAMANI HAYA SASA MTU MZIMA ANAVULIWA NGUO MBELE YA HADHARA.
Kwani yeye huyo slaa ni mgombea wachama gani vile, usije ukawa umeathiriwa na mfumo wa ccm hata hauoni nchi inakwenda wapi
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa
Mkuu, yaani mmechanganyikiwa sana. Huwezi kumpa kazi ya kuleta mabadiliko fisadi. Hapo ndipo mlipojinyea kiganjani