nolieonlytruth
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 340
- 64
Simsikii magufuli kwenye media zaidi ya star TV, TBC na gazeti la Uhuru. Tunaimaniiiiiiii na lowaaaaaaassa... oya oya oyaaaaaaaaaaa
Wadau, amani iwe kwenu.
Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.
Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.
Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.
Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe
It do so mzee, upepo umebadilika sasa hivi, hauuvumi tena kusini,wananchi wameamka wameona wanageuzwa geuzwa tuYes, kwa kuchemka... But not affecting voters decisions
Naamini upunguani wa huyu hautazidi wa kwako unaeshabikia mfumo uliooza uliokataliwa na wananchiEndelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa
Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako.
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa