Mada yangu haijahusu wagombea Urais. Nimewaima yule aliyetakiww kuwa Mgombea Urais na huyu aliyenunua ugombea Urais
Ufisadi upi? Ina maana mpaka leo somo la Richmond hujalielewa tu. Anyway binadamu hatufanani. Vipi kuhusu nyumba za serikali? Kivuko na mengine ambayo Mh Magufuli, Kikwete na Mkapa wanatuhumiwa nayo. Au ni kufikiri unaweza mpata mtu asiye na tuhuma yoyote. Mh raisi (Lowassa) alishaweka wazi kuhusu hili unataka nn kingine. Nachukia umaskini, vijana kukosa ajira, ebu tuuangalie upande huu nao badala ya kuwa rigid na waoga. Mungu bariki Tanzania.Mkuu, yaani mmechanganyikiwa sana. Huwezi kumpa kazi ya kuleta mabadiliko fisadi. Hapo ndipo mlipojinyea kiganjani
Wakati kama huu wa uchaguzi mtu makini hawezi kulinganisha mgombea na asiye mgombea.Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa
Mkuu nilijua umeandika cha maana kumbe umeishia kumsifia Dr Slaa huyu huyu uliyemwita Padree.Wadau, amani iwe kwenu.
Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.
Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.
Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.
Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe
Maskini CCM...wamechanganyikiwa hawaamini kinachoendelea maana mapenzi ya wananchi kwa Lowassa na UKAWA yameongezeka zaidi ya awali, hiyo inaitwa positive feedback.
Lizaboni sisi ni wa Lowassa, sisi ni wa mabadiliko. Hizo takataka nyingine hatuna habari nazo. Tubadili kwanza mfumo usiwe wa chama kimoja baada ya miaka 5 ukawa nao tunawacheki. Kwa hii nchi ni Mali ya kundi CCM pekee? Chadema na vyama vingine katiba haivitambui? Kwa kufanya hivyo faida inaturudia cc wananchi wa kawaida na kila chama kitakachokuwa kikipata ridhaa hakitafanya makosa. Fuatilia alichotuahidi mwinyi, aliahidi Mkapa, akaahidi Kikwete na sasa anaahidi Magufuli miaka 54. Hapana walichofanya hakiendani na muda tuliowapa. Ni wakati wa UKAWA kuitawala. Mungu bariki Tanzania.
pombe yupo wapi au dr slaa ndio mgombea wa ccm ?