Ufisadi upi? Ina maana mpaka leo somo la Richmond hujalielewa tu. Anyway binadamu hatufanani. Vipi kuhusu nyumba za serikali? Kivuko na mengine ambayo Mh Magufuli, Kikwete na Mkapa wanatuhumiwa nayo. Au ni kufikiri unaweza mpata mtu asiye na tuhuma yoyote. Mh raisi (Lowassa) alishaweka wazi kuhusu hili unataka nn kingine. Nachukia umaskini, vijana kukosa ajira, ebu tuuangalie upande huu nao badala ya kuwa rigid na waoga. Mungu bariki Tanzania.
Dr Slaa unatakiwa kusoma nyakati. Muvi yako imeshapoteza mvuto. Ni miaka kumi sasa tunakusikia na Richmond tu. Ndio umeikariri hiyo hiyo unasafiria hiyo nyota ya Richmond. Kimsingi hiyo muvi imechuja na watu wamekujua rangi yako sasa na wamekupuuza wanakuona mbabaishaji uliyenunuliwa. Kuashiria kuwa muvi imechuja na watu wanekuchoka Jana umeandaliwa MAHOJIANO MAALUMU KIMKAKATI ili ujisafishe ukatumia energy kubwa kuongea yaleyale ya kila Siku na magazeti ya Leo yooote yamekupuuza hayajaandika hata chembe ya stories zako za mipasho. Umefanya mahojiano saa nne had saa tano ambapo kwa wataalamu wa utayarishaji wa magazeti tunasema kwa muda huu template za magazeti zilikuwa bado hazijaprintiwa na walikiwa na nafasi ya kukupa coverage kwenye magazeti. Amka fedheha inakuja na wanaokutumia wakiona huna impact watakugeuka na kukudump.. Angalia jinsi mbowe na Lowassa anbao ulitegemea watakuja kukujibu ili upate kick na uongee zaidi nao wamekupotezea pia.
Mwenye post hii Huyu zuzu kweli
Dr kasava agombea hata udiwani ana impact gani kwenye siasa Dr toka atowe uozo wake ni Leo tu Dr magufuli hapata headlines kubwa Siku zote ilikuwa Lowasa na Dr kasava so anatualiabia hata cc wanalumumba
Mkuu, yaani hata Lowassa aingizwe kwenye choo na alowe mwili mzima kinyesi, tarehe 25 nampa kakura kangu then nakaa mita 101 kukalinda... Endeleeni kumchafua sisi tunaitafuta Kaanani na harudi mtu Misri... Taarifa mpelekeeni FaraoCHADEMA wanajuta sana kumchukua Lowasa. Sijui hawakujua kama ufisadi na uadilifu ni vitu visivyochangamana! Nawasikitikia sana maana wamekiua chama kwa tamaa za Mbowe. Sasa wanashikwa na kwikwi kutamka neno fisadi
Dr kasava ndo naniiiii........
Nyie watu wa Ukawa narudia kusema, hamjielewi, Dr kamaliza saa4 kuhojiwa ni vp magazeti yangeandika na kuhariri habari alafu itoke leo.Zitatoka kesho.
Sijapata kuona mrangi lofa na mpumbavu kama wewe
Huwezi kumfananisha Kenyatta na huyu fisadi Lowasa. Utajiri wa Kenyatta unaeleweka. Utajiri wa Lowasa ni upi?Hivi familia ya Kenyatta ni ya ngapi kwa utajiri Kenya ??? Pamoja na mbwembwe zote Uhuru Kenyatta ndio Raisi Wa Kenya ,kutawaliwa na mla Mihogo hapana aisee
#LOWASAANATOSHA