Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

Wadau, amani iwe kwenu.

Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.

Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.

Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.

Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe

Dk. Magufuli hasikiki kabisa, sijui kapotelea wapi
 
Miaka yote Dr Slaa mmemponda ,leo amekuwa lulu???????

Lowassa Kiboko!
 
tunakubali tuna fisadi ila ccm kuna mafisadi.

miim siamini mabadiliko kama tataletwa narais ( lowassa) ila yatalewa na mfumo mpya wa vyama vingi wenye kuwawezesha wote kushriki katika maendeleo, n siyo chama kimoja
CCM WAKIWA WAPINZNI ATAIKOSOA SANA SERIKAL YA LOWASSA NA LAZIMA KUTAUA NA WAZI WAKUTSHA KATIKA MAMBO MENGI
TUKUBAL TU, CCM WAWE WAPINZANI
 
Cheki gamba katika ubora wake!Hebu tueleze utafiti wako juu kuongelewa kwa lowassa na Magufuli,hao ndio wagombea!
 
Haya magamba hayajielewi,Leo lowassa akisema atoke tu CDM na kuacha siasa basi kwao atakuwa mfalme na shujaa,yatamsifia mpaka basi!
 
Tatizo chadema hawataki watu waongee ukweli hivi mkishika dola simta burn freedom of speech kamwe cwapi kura yangu wapinzani madictator na ntazunguka kwa ndugu na jamaa kuwahamasisha wawanyime kura.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.

Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.

Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.

Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe

Wenye macho tunaona kamfunika Magufuli,
kwanza Lowasa,Lowasa
Halafu Slaa,Slaa
Halafu...wengineo....Ili CINEMA iwe Tamu fanyeni pindu Slaa awe mgombea wa nyinyiem.
Teh teh......:bathbaby::smokin:
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.

Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.

Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.

Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe

CCM endeleeni kujitekenya wenyewe alafu chekeni wenyewe ila watanzania tumeshaamua huu ni muda wa MABADILIKO.
CCM lazima muondoke kwakuwa hakuna namna nyingine tena.
 
Tumejifunga vitambaa vyeusi usoni, eti tunataka mabadiliko. we are shouting "anywhere is better than here"!! na hatujui tunapelekwa wapi!..
 
wadau, amani iwe kwenu.

Sasa ni dhahiri kwamba dr slaa amemfunika kabisa lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa jf utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu dr slaa. Pia mada zinazomhusu slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa dr slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya chadema na ukawa unazidi ule wa lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.

Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.

Hakika chadema wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi lowasa. Dr slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya chadema ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa chadema hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai rose kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.

Dr slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe

**** mahakama ya mijizi na mifisadi baada 25 oct

imamuhusu ; serikali
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.

Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.

Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.

Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe

Lazima mtu atamjadili tokana na upuuzi alioufanya
 
Back
Top Bottom