GE2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

GE2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

. . . . . Lakini hata katika maeneo ambayo CCM imeshinda, Marando alisema matokeo yanayotangazwa na NEC hayaendani na yale yaliyotangazwa vituoni. "Huu ni Uchakachuaji". . . .

. . . . . Marando alisema hadi juzi Jumatatu matokeo ambayo tayari walikuwa wamekusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya Nchi, yanaonyesha Mgombea Urais wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa anaongoza kwa wastani wa asilimia 61.6%..

Aidha taarifa hizo zinasema Dk. Slaa amepanga kuwakilisha ushahidi MZITO unaoonyesha uchakachuaji mkubwa wa kura za Urais ulivyofanyika. Ushahidi huo ni pamoja na matokeo halisi ya vituoni ambayo yanapishana na yale ya NEC.

NEC hawapaswi kufumbia macho tuhuma hizi nzito...............yafaa wazichunguze na wasitishe zoezi la kutangaza matokeo
 
rasta! Na botswana, namibia iliwacost nini? Huko kwenye utulivu bila kumwaga damu. Tusiige mifano isiyofaa. Na mbona mifano yako imelala hapa hapa tu? Japan, australia na uswisi imewacost nini kujenga amani. Fikiri kama mtu mzima.......amani kwanza

another virus detected!!!!
 
Siasa za mfa maji hizo. Acha kutapata. Ni ndoto za mwendawazimu kuamini kuwa eti Dk. Slaa angeweza kumshinda JK. Huo ni upunguani kwelikweli.
Hivi Unategemea Marando- malaya wa kisiasa aseme nini. Kaivuruga NCCR na kuikimbia huku nyuma NCCRimeanza ku-gain power. Sasa amekwenda Chadema. Unategemea asemeje Wakili Mkuu wa kutetea wezi, mafisadi na wanyang'anyi wa haki za watu.
Marando huyuhuyu aliemtetea Mzungu aliyemtumia mbwa wake kumnajisi mwanamke wa Kitanzania. Tokeni kabisa na upuuzi wenu.
Kama mtu unatoa nukuu, zitoe kutoka kwa watu decent na sio watu wachafu wa aina ya Mabere Nyaucho marando.
Angesema Lisu, mimi ningenyanyua masikio yangu na kutafakari na sio kichaa wenu Nyaucho. Akome kabisa kuleta uchochezi hapa.

Mbona unatokwa na mapovu sana taratibu usije ukavunja keyboard, kwanini unashindwa kuamini kuwa Dr Slaa angemshinda Mkwere? Mbona hamtaki kuamini kama CCM wameiba kura? Jiulize Masha aliposhindwa Nyamagana Kikwete alienda kufanya nini huko? Kwani umeambiwa ukiwa wakili ndio usitetee mtu hata kama ameua CHECK YOUR FACTS STRAIGHT THEN COME BACK na wewe usituletee upuuzi wako
 
porojo hazina maana jipangeni upya angalieni mlipokosea ili mjiandae vema kwa 2015 na slaa wenu, kuwakumbusha tu mlipokosea pale mlipoanza kuingiza udini ukanisa katika chadema, na ndio hapo mlipowashtua baadhi ya wapiga kura washabiki wa chadema ambao dakika za mwisho waliipa kura CCM kwa kosa hilo hilo ingawa mlikuwa nao kwenye kampeni na kumshangilia slaa! SLAA rekebisha hili turudishe imani kwako! usitumie na epuka kampeni za vyombo vya dini ndio vilivyokuangusha
 
Kweli tumechoka tumechoka tumechoka kabisaa!!!!!! Kwa nini CCM inalazimisha kuingia madarakani? Inajua inachokipata huko? Manake Ikulu sii mahali pa kupakimbilia, Ikulu ni mzigo, sasa ukiona mtu anapakimbilia au kung'ang'ania ujue kuna biashara inayowanufahisha wasio taka kuiacha hata kama damu itamwagika (Nyerere).

Ila kila lenye mwanzo lina mwisho. Tuvumilie huo mwisho ule paleeeeee!!! ndo maana wanahahahaha kutumia kila mbinu.
 
Kwa nini hayatangazwi kituoni wakati wanayabandika kituoni
HAPO NDIPO UMIPIGA PENTAGONI😛eep: NA UKITAKA KUJUA WATU UWEZO WAO WA KUFIKIRI NI MDOGO NI PALE WANAPOSHIDWA KUTETEA KURA ZA MGOMBEA WAO KITUONI BADALA YAKE WAO HULIA NA ZA DIWANI NA MBUNGE, WANAPOKUJA KUKUMBUKA ZA URAIS -tayari wanechelewa:sorry:
 
Nafikiri ni vizuri tukajadili hii hoja kwa data, Je katika matokeo yaliyotangazwa na NEC kuna anayejua angalau jimbo moja ambalo kilichotangazwa na NEC ni tofauti na matokeo halisi? Tunaomba atuwekee hapa.
 
Labda mimi akili yangu haina akili vizuri, lakini swali linalonisumbua ni je kwa nini matokeo ya urais hayatangazwi majimboni ilihali katika kila kituo, jimbo kuna wawakilishi wa vyama na wanapewa nakala za matokeo?????????????????
 
Kuna haja ya kuangalia upya utaratibu mzima wa kutangaza matokeo yote, kwa maana kwamba wakati wa kumtangaza mshindi wa Udiwani kwenye kata, matokeo ya ubunge, na Rais yatangazwe pia palepale ili kujua nani kapata nini katika sehemu husika kabla hayajapelekwa jimboni, na vivyo hivyo Jimboni kabla ya kupelekwa tume taifa.
 
Unayejiita CCM Umejiunga jana tu, utadhani founder wa hii forums. Mwanamke anaupeo mdogo wa mawazo kulinganisha na mwanaume, lakini nimegundua Mke wangu amekuzidi kwa upeo. Wewe hata haki zako huzijui.
 
Shule Jamaa wamekwenda. si mbumbumbu kama kiwete. hiyo ndo njia.
there is not freedom without cost. let us free ourselves from ccm oppression.
Change never by siting and singing we will overcome. change costs. dare not how much will cost us. w
we need respect: ccm must respect the decision of millions of Tanzanians who decide to go for change.
Katika historia ya dunia nzima hakuna mageuzi yaliyokuja bure bure tu!! kuwa namageuzi ya kweli lazima tukubali cost yoyote itakayo tupata. nawapa mfano mzuri mdogo.. wazanzibar iliwacost 2000 leo hii wanaheshimiana. wakenya 2007 ilwakost leo hii kuna utulivu. Kwa hiyo ndugu zangu tusife moyo. tusiogope vitisho. haki utafutwa, haki hupiganiwa. hata damu ikimwagika, lakini wajue kuwa ni hao hao Kikwete na wenzake ambao watakuwa chanzo. lete the world see. let the world witness and know that Kikwete is the DICTATOR:
huko anakojivunia kuwa watamsaidia wakuuwa watanzania, nako kumesha gawanyika. tutapata support kubwa mno. Kila mtanzania aliye na macho ya kuona na masikio ya kusikia ameyaona na amesikia jinsi gani kikwete na wenzake ambao wanajiita wasomi lakini bado wanatumika kukandamiza haki za watu. hii ni Karne ya 21. lazima ujue hivyo baba. soma maandiko, ujue alama za nyakati. Watanzania tujue kuwa hata French revolution haikutokea tu. they paid for it.
Watanzaia tuamke.

Ni kweli tutakuona kwenye maandamano au kazi yako kuchonga hapa JF, nipe data people's power ngapi umeshiriki na uliplay role gani?
 
Labda mimi akili yangu haina akili vizuri, lakini swali linalonisumbua ni je kwa nini matokeo ya urais hayatangazwi majimboni ilihali katika kila kituo, jimbo kuna wawakilishi wa vyama na wanapewa nakala za matokeo?????????????????

ntemi unataka kutangazwa kupi? mimi naamini matkeo ya uraisi yakibandikwa ukutani samabamba na na ya mbunge na udiwani ndio kutangazwa kwenyewe. ndio maana tunataka data na sio blah blah. najua Kikwete atashinda lakini by which margin? hiyo ndio hoja iliyoko mezani. chadema tusaidieni data zenu. Najua kutangaza kura za urais kabla ya Tume ya uchaguzi kutoa matokeo ni kosa la jinai. Mara tu baada ya Tume kutangaza ushindi wa kishindo wa CCM na Kikwete, chadema tupeni idadi ya kura za Dr Sala ili tujue CCM inastahili respect kiasi gani.
 
Hatua zilizochukuliwa ni:

1. Kwenda NEC - kupeleka barua
2. Tunakwenda kueleza Nchi wahisani ambazo zimefadhili shughuli za Uchaguzi
3. Tunakwenda kuwaeleza wananchi kilichotokea kwa kuwaonyesha ushahidi kamili.
Huo ushahidi kama unao ungeambatanisha na barua yako ya malalamiko.....!
 
porojo hazina maana jipangeni upya angalieni mlipokosea ili mjiandae vema kwa 2015 na slaa wenu, kuwakumbusha tu mlipokosea pale mlipoanza kuingiza udini ukanisa katika chadema, na ndio hapo mlipowashtua baadhi ya wapiga kura washabiki wa chadema ambao dakika za mwisho waliipa kura CCM kwa kosa hilo hilo ingawa mlikuwa nao kwenye kampeni na kumshangilia slaa! SLAA rekebisha hili turudishe imani kwako! usitumie na epuka kampeni za vyombo vya dini ndio vilivyokuangusha

Nimekubali mkuu, hili ni kosa kubwa ambalo kwa makusudi wanazi wa chadema hawataki kulikubali, wako wengi ambao hawakupenda udini walipiga kura nyingi za kwa wabunge na madiwani na wakapiga kwa JK urais-surely hivi ndivyo ulivyokuwa uchaguzi huu, hasa pale Slaa aliposema Mdini ni Kikwete amabye anateua waislam wengi katika position za govt hata baadhi ya wana JF walifikia kusema baraza la Mawaziri lina Waislam kitu ambacho si kweli. Dr. Slaa watu walikukubali regardless chama chako wala dini yako, lakini ulipoingiza dini mambo yaliharibika. Ukweli ni kwamba waliowengi wamechoshwa na ccm, lakini approach waliyotumia chadema haikuwafurahisha wengi katika urais so usishangae kura chache za urais lakini nyingi za ubunge na udiwani. Kama chadema hawataki kuamini hivi, pole yao!!!!!!!!!
 
Nendeni kanisani mkalalamike, waislamu oyeee, ccm oyee, tutaonana 2015. Udini wenu haukufanya kazi kikamilifu

wewe mpumbavu na ****** kabisa samahani kwa kuyasema haya lkn imebidi kutokana na ulichoandika
 
Nendeni kanisani mkalalamike, waislamu oyeee, ccm oyee, tutaonana 2015. Udini wenu haukufanya kazi kikamilifu

Mmh! karibu Riz1 haya tuambiee umetumwa na Baba,Mama,Makamba ama Kinana??
Nilikuwa sijajua kama CCM ni chama cha WAISLAMU :doh: kumbe Tanzania ni Nchi ya KISLAMU
 
porojo hazina maana jipangeni upya angalieni mlipokosea ili mjiandae vema kwa 2015 na slaa wenu, kuwakumbusha tu mlipokosea pale mlipoanza kuingiza udini ukanisa katika chadema, na ndio hapo mlipowashtua baadhi ya wapiga kura washabiki wa chadema ambao dakika za mwisho waliipa kura CCM kwa kosa hilo hilo ingawa mlikuwa nao kwenye kampeni na kumshangilia slaa! SLAA rekebisha hili turudishe imani kwako! usitumie na epuka kampeni za vyombo vya dini ndio vilivyokuangusha
SAFII!:smile-big:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom