GE2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

GE2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

. . . . . Marando alisema hadi juzi Jumatatu matokeo ambayo tayari walikuwa wamekusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya Nchi, yanaonyesha Mgombea Urais wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa anaongoza kwa wastani wa asilimia 61.6%..


Ndugu zangu, umuhimu wa kuhakiki haupo tu katika kumpata Dr. Slaa kama Rais bali pia idadi ya kura za urais ndiyo hutumika kwa chama kupata wabunge ziada wa kuteuliwa; hivyo kuibiwa kura ni sawa na pia kuibiwa nafasi zaidi za uwakilishi bungeni.
 
Kikwete ni Idd amini wa Tanzania, tena ni bora idd amini. Watanzania tuamke kabla hajatuingiza kwenye karandinga na kutumwaga baharini. Hata mjinga anajua kuwa Dr. Slaa alishinda. Ndo maana anachakachua hata kujiita Dokta. Amesoma lini na udokta wake kasomea nini? Hata angekaa darasani karne hawezi kuupata udokta zaidi ya alivyochakachua kuitwa dr. Mshirikina mkubwa yeye na shehe yahaya.
 
Ukisoma sheria za uchaguzi zinasemaje utapata jibu.

Matokeo yote yanabandikwa vituoni kuanzia udiwani, ubunge mpaka urais. Kata inatangaza matokeo ya diwani, wilaya matokeo ya mbunge na NEC makao makuu matokeo ya rais.

Yakibandikwa vituoni kuna tofauti gani na kutangaza?
Ukweli utajulikana tu maana wanaolalamikia utaratibu huu mbovu ni wapinzani tu, hii inaonyesha imefanyika kwa faida ya ccm!
 
Kikwete ni Idd amini wa Tanzania, tena ni bora idd amini. Watanzania tuamke kabla hajatuingiza kwenye karandinga na kutumwaga baharini. Hata mjinga anajua kuwa Dr. Slaa alishinda. Ndo maana anachakachua hata kujiita Dokta. Amesoma lini na udokta wake kasomea nini? Hata angekaa darasani karne hawezi kuupata udokta zaidi ya alivyochakachua kuitwa dr. Mshirikina mkubwa yeye na shehe yahaya.

Mmmmh, I'd not opt to go there, lakini nani akulaumu,hasira walizozipandikiza kwa watz wamezileta wenyewe!
Kila kitu kina mwisho, na hata hili pia litapita, na Tz yetu itabaki!
 
Kama mtakuwa mm-note utangazaji wa kura za urais, chama za APPT Maendeleo kila jimbo kimepata kura na kura zake ni kati ya 400 - 599 ,matokeo ya vyama vya UPDP,TLP na NCCR Mageuzi kura zao hazizidi 99 na ni kwa kila jimbo.Hapa ndipo panipa utata.Kwa nini kura zifanane kila jimbo?Kwa nini kila jimbo kila chama kimepata kura wakati kuna wagombea ambao hawakupiga kampeni kabisa nje ya Dar Es Salaam?
 
JAJI WA NCHI KAMA HIZI NI TATIZO MAANA ANAKUWA NAYE NI MASKINI WA KIPATO KIASI CHA KUWEZA KUPATA KIGUGUMIZI AKIONA DALILI YA KUPATA SENTI CHACHE KULIKO ANAVYOSTAHILI AU WALIOMPA KAZI YA UJAJI WANAOMPA.UHURU WA JAJI HUYU KUTANGAZA MATOKEO UPO PALEPALE LAKINI DOLA INAONEKANA KUTUMIA ZANA ZAKE ZOTE KUIDHIBITI NA KUIKASHFISHA TUME.AJABU YA NJAA NI KWAMBA JAJI ANGEPAWSA SO FAR AWE AMESHAJIUZULU KWA KUPISHA UCHUNGUZI
KWA HIYO Hakuna cha jaji wala nani tumezungukwa na mafisadi papa na ngyangumi na solution pekee ni kama Mnyika na wengine huko mwanza walivyoamua kuziba mianya yoote hadi kikaeleweka.Natamani kwingineko mkakati ungekuwa kulinda kura kungoja mlangoni na kuhakikisha unaondoka na tangazo rasmi.
 
Siasa za mfa maji hizo. Acha kutapata. Ni ndoto za mwendawazimu kuamini kuwa eti Dk. Slaa angeweza kumshinda JK. Huo ni upunguani kwelikweli.
Hivi Unategemea Marando- malaya wa kisiasa aseme nini. Kaivuruga NCCR na kuikimbia huku nyuma NCCRimeanza ku-gain power. Sasa amekwenda Chadema. Unategemea asemeje Wakili Mkuu wa kutetea wezi, mafisadi na wanyang'anyi wa haki za watu.
Marando huyuhuyu aliemtetea Mzungu aliyemtumia mbwa wake kumnajisi mwanamke wa Kitanzania. Tokeni kabisa na upuuzi wenu.
Kama mtu unatoa nukuu, zitoe kutoka kwa watu decent na sio watu wachafu wa aina ya Mabere Nyaucho marando.
Angesema Lisu, mimi ningenyanyua masikio yangu na kutafakari na sio kichaa wenu Nyaucho. Akome kabisa kuleta uchochezi hapa.

kwanini ndoto za alinacha?:hippie:
 
Katika historia ya dunia nzima hakuna mageuzi yaliyokuja bure bure tu!! kuwa namageuzi ya kweli lazima tukubali cost yoyote itakayo tupata. nawapa mfano mzuri mdogo.. wazanzibar iliwacost 2000 leo hii wanaheshimiana. wakenya 2007 ilwakost leo hii kuna utulivu. Kwa hiyo ndugu zangu tusife moyo. tusiogope vitisho. haki utafutwa, haki hupiganiwa. hata damu ikimwagika, lakini wajue kuwa ni hao hao Kikwete na wenzake ambao watakuwa chanzo. lete the world see. let the world witness and know that Kikwete is the DICTATOR:
"Hata damu ikimwagika?" What kind of logic is that?!? I mean, do you really mean that? Mkuu, I respectfully disagree with you kwa hili la kumwaga damu.And you can't just say stuff like that without first analyzing what you are saying. Moja, nikikuuliza kwaninini unataka kumwaga damu, sidhani kama unaweza kunieleza kwa sentensi tano why you wanna do that. Pili, hii movement ya wanamageuzi, as it is, it's totally disorganized. I mean, nani ataongoza hayo mapambano ya kumwaga damu unayaotaka kuyaona yakifanyika? Tatu, hata Malcolm X mwenyewe aliyekuwa bingwa kwa kuadvocate radical means za kuleta change, aliwahi kukiri na kusema, "I'm nonviolent with those who are nonviolent with me." Kwa kuwa serikali ya CCM bado haijaanza kuwa violent na kuua watu ovyo ovyo, I'm compelled to say, your statement is kinda untimely; and unwise too. I suggest that first you demand what you are demanding in a peaceful way. Ikishindikana, then you can call your bluff. Lakini kwasasa, sidhani kama tumefikia hiyo stage ya kuuana na kumwaga damu

...huko anakojivunia kuwa watamsaidia wakuuwa watanzania, nako kumesha gawanyika. tutapata support kubwa mno. Kila mtanzania aliye na macho ya kuona na masikio ya kusikia ameyaona na amesikia jinsi gani kikwete na wenzake ambao wanajiita wasomi lakini bado wanatumika kukandamiza haki za watu. hii ni Karne ya 21. lazima ujue hivyo baba. soma maandiko, ujue alama za nyakati. Watanzania tujue kuwa hata French revolution haikutokea tu. they paid for it.
Watanzaia tuamke.

Utapata support toka kwa nani? Are you kidding me!! Look, kama mageuzi wanataka wawe totally discredited na watanzania, then wajidanganye na hii "tumwage damu" slogan yako... Wether you like it or not, CCM wanataka sana hilo litokee alafu wakimbie kwenda kwa waanchi kusema, "...o, si tuliwambia... hawa watu/mageuzi watahatarisha amani, sasa si mmeona wenyewe..." Mkuu, acha kukurupuka na kutoa hoja zisizo na kichwa wala miguu...[I THOUGHT YOU WERE SMART THAN THAT!]. Unaniangusha nana hii mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom