Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Status
Not open for further replies.
hapo kuna misukule hata hawajitambui wameshaamini tayri,chadema gani ilivyo na facilities wasiweke picha?mbaya zaidi hata ajasema atakuja na updates!!

Mkiwekewa picha hamkawii kusema za mwaka juzi.
 
Ha ha ha kwi kwi kwi kwi! Mkuu wangu sixgates we si umesema kuwa upo huko kigoma? Sasa kwann usiende na utupe na picha kabisa.

JF ni kiboko..

Jana alikuwa Kahama Leo kaingia Kigoma ila anaomba awekewe picha
 
Last edited by a moderator:
Du kweli wakina TOMASO tuko wengi sana huku jamvini,kaka picha mkono mtupu haulabwi inabidi upake japo asali kidogo iweze noga,so changamka
 
Nieleweke, sipo kigoma kwa ajili ya shughuli za chadema, pliz.
 
Mnaoomba picha ngojeni kwanza zifanyiwe "ununuzi" kwenye picha duka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom