Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Status
Not open for further replies.
slaa ni mzinifu na hawezi kuacha. zitto ni mwadilifu na hawezi kuacha

View attachment 125181 View attachment 125182 le mutuz.jpg mwigulu WDC.jpeg

Nitafutie picha inayoonyesha UZINIFU wa Dr. Slaa au MwanaCHADEMA yeyote tambua kuwa kwa picha hizi CCM ni kinara wa hicho unachokizungumzia juu ya Dr. Slaa.
 
slaa amepora mke wa mtu na anafanya naye zinaa hadi leo.
mbowe amezaa na kimada yule mbunge wa viti maalum mkoa wa arusha kupitia chadema

Haya hayana tija kwa maendeleo ya taifa letu, Mandela aliefariki leo alikuwa na mengi tu kama haya, pia Mfalme Daudi tunaemsoma katika vitabu vya dini nae alifanya kama haya. Hata ninyi mnaoandika upuuzi kama huu hapa ukijichunguza vizuri utagundua kuwa umefanya mengi machafu kuliko ya hawa, lakini cha muhimu pamoja na uchafu wako je kuna jambo lolote unalofanya kwa ajili ya ujezi wa Taifa lako?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom