Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,076
Kama ameongozana na Josephine, au hakuongozana naye, wewe inakuhusu nini?!Aliongozana na mama Slaa?
Wewe fuatilia misafara ya Boss wako "Vasco da gama", na uulizie kama ameambatana na mama Salma au hajaambatana naye.