DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,974
Subiri mchakato ndani ya Ukawa uishe .
Hahahahahahahaahah...Chadema kweli hamko tayari kuongoza nchi
Subiri mchakato ndani ya Ukawa uishe .
Umesoma alichosema Slaa? habari za CCM hapa kwanza zimetokea wapi naona unataka kudandia treni kwa mbele.Wakipitisha ilani lazima wakwambie? Twambie ilani ya uchaguzi ya ccm kwa mwaka 2015
CCM wameshafika zaidi ya 30, tuone kama CHADEMA baada ya Slaa atajitokeza mtu mwingine, akijitokeza unikate kidole.
Movie inaanza popcorn pleaaaaseeee
Ni vyema ungeongea kiswahili kuliko kuchanganya lugha (kiingereza) kwa makosa.Acha ujinga wewe kuwaita watu wezi, ukiambiwa uthibitishe beyound resornable dought utaweza? Au kazi kupokea maneno ya kishabiki ya wanasiasa uchwara halafu unahitimisha ndani ya halmashauri ya kichwa chako kibovu halafu unajipongeza. Mbona humsemi mwizi aliyewauzia mafuso mabovu na maspika mabovu kwenye kampeni zenu 2010?
Mkuuu pokea like yangu
Mkuu umeibua jambo hapo,inawezekana huyu mufuruki anatumiwa na ccm
Juzi niliandika humuhumu JF, huyo Daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa atakacha.
Haikupita hata siku mbili, hayoooooooooooooooooooooooooooo, yametokea.
Kwi kwi kwi teh teh teh teh
Ni vyema ungeongea kiswahili kuliko kuchanganya lugha (kiingereza) kwa makosa.
kwa ujumla lengo na madhumuni ya mdahalo hayajawekwa wazi na muandaaji wa mdahalo huo,na pia ccm inatafuta namna ya kuchokonoa ili kuijua walau kauli moja ya kiongozi wa cdm na ukawa kwa ujumla wake na hivyo wanahaha kutaka kujua nini siri ya ukimya wa dk slaa na kambi nzima ya ukawa.Mdahalo utakaorushwa kesho kuanzia saa 1 hadi saa 4 na Azam Tv unaoandaliwa na CEOrt chini ya kiongozi wao Ally Mufuruki, Dr Slaa amesema wao hawatashiriki Mijadala mpaka watakapomaliza kura za MAONI ndani ya chama.
Washiriki ni prof Lipumba CUF, Zitto Kabwe ACT, Dr. Slaa CHADEMA na Dr. Emanuel Makaidi NLD.
Sasa wew unataka kusema nin , kwani makaidi, zitto wapi amesema anagomea uraisi
Akili zinapokwenda likizo ili watu wapitishe lao....nadhani Dr.Slaa yuko sahihi.
..Dr bado hajachukua fomu wala kupitishwa na chama chake kugombea Uraisi. Sasa angetokea ktk mdahalo huo angekuwa amekiuka taratibu za chama chake ambazo yeye ndiye msimamizi wake mkuu.
..Mufuruki angesubiri kwanza wapatikane watangaza nia wa CDM,CUF,NCCR,na NLD, ndipo aandae mdahalo wake.
..kwa kifupi, Mufuruki ameonyesha uchanga ktk kuandaa shughuli hii. kitu cha msingi anatakiwa kufanya kazi na vyama husika, na zaidi kuzingatia ratiba za vyama hivyo.
..sijui kwanini Mufuruki hakujifunza kutokana na makosa aliyoyafanya ktk kuandaa mdahalo wa wana-CCM. Mdahalo ule ulikosa washiriki kwasababu wengi walikuwa ndiyo kwanza wamechukua fomu na wako busy kutafuta wadhamini.
cc Kapwela, Alinda, Zakumi, Mkandara, Nguruvi3