Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,578
Mkuu huwa wanalipwa hawa, ndio maana unaona kila saa hakauki humu.
Basi ni shida! sometimes huwa hajui.hata anachokitetea.
Mkuu huwa wanalipwa hawa, ndio maana unaona kila saa hakauki humu.
We naye unajiita GT kweli wewe! hoja sio yako unakurupuka! ndio matatizo ya kuwa na ID nyinginyingi mpaka unajisahau.
* Umechafua hali ya hewa....harufu mbaya inaenea kwa wengine....
* Umerukia suala la ID, ambalo huwezi kuthibitisha zaidi ya kuwa umeropoka..mkuu vipi...
We Musalani vipi - unaishi sayari ya Mars? Kwa vile mnashadidia na kumshabikia Babu Lowassa, wenzako katika CCM wameishaiweka hiyo propoganda ya UBABU kapuni. Haiwezi kuzaa matunda kwa vile na nyie mgombea wenu ni BABU. Jitahidi kuwa unashauriana na Lumumba kujua ni propoganda ipi inafanyakazi na wakati upi? Ushauri tu vinginevyo tutaendelea kukuona msalani wa kawaida.Tulishajua kuwa BABU hana uwezo wa kukaa kwenye mdahalo na wasomi.
Kila chama kina utaratibu wake. Yeye chama chake hakijamtangaza kama mgombea urais. Sasa ataendaje kwenye mdahalo wakati si mgombea? Makaidi na Zitto wana utaratibu wao kwenye vyama vyao. Unataka na Slaa aende kwa sababu hao hawajatangaza nia?Sasa wew unataka kusema nin , kwani makaidi, zitto wapi amesema anagomea uraisi
Mkuu uko nje ya mada, Ngoja nikukumbushe tu, Hapa tunajadili kuhusu Mzee Slaa kukacha mdahalo na Zitto.We Musalani vipi - unaishi sayari ya Mars? Kwa vile mnashadidia na kumshabikia Babu Lowassa, wenzako katika CCM wameishaiweka hiyo propoganda ya UBABU kapuni. Haiwezi kuzaa matunda kwa vile na nyie mgombea wenu ni BABU. Jitahidi kuwa unashauriana na Lumumba kujua ni propoganda ipi inafanyakazi na wakati upi? Ushauri tu vinginevyo tutaendelea kukuona msalani wa kawaida.
bado kama miezi minne ya uchaguzi lakini chama hakijapitisha ilani hadi mida hii.
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameweka bayana kwamba chama hicho kikuu cha upinzani nchini hakitashiriki mdahalo wa wagombea Urais wa upinzani hapo kesho.
Kiongozi huyo aliyekuwa anasubiriwa na mamilioni ya Watanzania kwenye mdahalo huo ametoa sababu kubwa mbili kwa chama chake kutoshiriki...
Sababu ya kwanza ni kwamba CHADEMA bado haijampata mgombea Urais na mchakato wa ndani unaendelea.
Na sababu ya pili ni kwamba Ilani ya chama bado haijapitishwa na vikao vya juu vya chama hicho na itakuwa ni kichekesho kwenda kwenye midahalo bila kuwa na Ilani ya chama.
Dr Slaa amesema chama hicho kitakuwa tayari kushiriki midahalo ya aina hiyo mara taratibu za kumpata mgombea Urais zitakapokamilika ndani ya chama!
CCM wameshafika zaidi ya 30, tuone kama CHADEMA baada ya Slaa atajitokeza mtu mwingine, akijitokeza unikate kidole.
hivi unazijua taratibu za vyama za kuandaa rasimu za vyama vyao!
Wakipitisha ilani lazima wakwambie? Twambie ilani ya uchaguzi ya ccm kwa mwaka 2015Bado kama miezi minne ya uchaguzi lakini chama hakijapitisha ilani hadi mida hii.