Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,343
Watu hupenda kujitoa ufahamu sana. Hivi Dr. anaongea lugha ngapi kwa ufasaha? Amesomea nini? (Theology, Philosophy na Canon Law), Je kuna uhusiano gani kati ya Canon Law na State Law develpment? Amekuwa katibu mkuu wa Kanisa Katoliki kwa muda gani? Wakati wake amefanya nini kama katibu mkuu? Kanisa katoliki lina mchango gani kwenye huduma za kijamii Tanzania? Amekuwa mbunge kwa muda gani? Amefanya nini akiwa mbunge (ndani na nje ya bunge)? Amekuwa kaibu mkuu wa Chadema kwa muda gani? Amefanya nini (contribution) ndani ya Chadema? Ukisha yajua haya-jiulize kwa nini amesama alivyosema kuhusu mdahalo huu.