Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Kibabu kwishnee! kila mdahalo hana hoja mpya zaidi ya kurudia single zake chakavu za ufisadi ufisadi ufisadi! haelezi mipango ya kuleta maendeleo sasa mtu kama huyu anaweza kumvaa Zitto kweli!!
Kumbe zitto kabwe anagombea uraisi!?? Mi nilidhani anagombea ubunge kigoma mjini? Au mafuruki na zitto walitumwa wajue sera zitakazo wekwa kwenye ilani ili ccm waibe? Zitto mpaka lini utaendelea kutumika kama mjinga kupelekwa kuwa kafara wa kisiasa kila mahali!!?
 
huyo ndo ametoka memukwa ya uongozi na utawara bora kwa wazungu ili akawaongoze wake zake wawili waliomshinda bado anafanya homewark awatumie,ila tunaomba memukwa yake isiwe na angenda ya siri ndani yake na wazungu,
 
Mhe Dr Slaa siyo mtu wa kukurupuka kama akina Zitto, Nape and the LIKE,.

Tusubirie wakati utafika.
 
Ana kipi cha kuongea unafikiri nchi ni madhabahu ya kanisa yy ni dr wa theology hawez kufanya mdahalo na wataalaam

U dr wake siyo wa kuomba alikaa darasani mkuu
 
Mdahalo utakaorushwa kesho kuanzia saa 1 hadi saa 4 na Azam Tv unaoandaliwa na CEOrt chini ya kiongozi wao Ally Mufuruki, Dr Slaa amesema wao hawatashiriki Mijadala mpaka watakapomaliza kura za MAONI ndani ya chama.

Washiriki ni prof Lipumba CUF, Zitto Kabwe ACT, Dr. Slaa CHADEMA na Dr. Emanuel Makaidi NLD.


Sifa za kuwa mshiriki wa mdahalo huo ni zipi?? Mwanachama yeyote?Katibu?...sijaelewa hapo, nijuze sifa za kuwa mshiriki, maana naona umerukia kwenye hitimisho
 
Kumbe zitto kabwe anagombea uraisi!?? Mi nilidhani anagombea ubunge kigoma mjini? Au mafuruki na zitto walitumwa wajue sera zitakazo wekwa kwenye ilani ili ccm waibe? Zitto mpaka lini utaendelea kutumika kama mjinga kupelekwa kuwa kafara wa kisiasa kila mahali!!?

Huna ishu mkuu, mbona Lowasa aliposhindwa kuhudhuria mdahalo majasho yaliwatoka vidoleni kwa kubonyeza keyboard za kompyuta zenu mkishinda mnamshambulia humu Jf kutwa nzima! leo kibabu mnakijengea hoja dhaiiifu, eti watu wataiba sera za chadema! mna sera au sare! mikutano yenu nahudhuria sana sijasikia sera sana sana kuhamasishana mapambano hata adui hajulikani! kutwa Escrow, ufisadi mara tutapambana mara tuko tayari kufa! hivi mnataka kufia nini hasa!? si Kibabu aende mdahaloni akaseme mnachataka kufia!!
 
Mdahalo unawahusu wagombea Urais, Zitto kapitishwa na chama chake kugombea Urais hadi ashiriki?

Zito anakurupuka kutafuta angalau kanafasi ka kukutana na dr slaa,iki atubu madhambi yake arudishwe cdm maana huko actc ashagundua kuwa hata udiwani hapati mwaka huu.
 
Wanajijua kuwa ni watupu kichwani,wamezoea hoja nyepesi,kila siku list of shame,mara ufisadi lakini hata siku moja hawasemi ni jinsi gani wataujenga uchumi wa nchi wenye kuakisi maisha halisi ya mtanzania.Hawa ndiyo wanataka tuwakabidhi nchi ilihali wanakimbia kutufafanulia mikakati yao,ushiriki wa mijadala ni dhahiri kuwa husaidia kuwajua wanaogombea nafasi mbalimbali za uongozi katika nchi.

POOR CHADEMA
POOR SLAA
 
Kisha wajibu bora uwe msaliti wa chama kuliko kuwa msaliti wa taifa(RUZUKU NA UCHAGA...NO DEMOCRACY YOU CLAIM)
 
Kwanza Zitto anaenda kama nani ??ni mgombea urais'?? Alafu pili hata hao waandaaji hao ni WANa ccm wanaenda tu kuwakejeli ukawa bure,ccm ingekuwepo ccm hapo sawa kama hawapo haina mantiki!!
 
Hivi kwa nini usitoe hoja yako bila negativities? Kwani hutaeleweka ndugu yagu? Jifunze kutoa kauli za kiungwana. You dont need to shout or to abuse anybody for you to convey your points. Halafu mkuu wewe ni mkongwe kwenye jukwaa hili. Iwould expect that from cheap people. By the way kutofautiana kiitikadi sio ugomvi au uadui. Its health for our democracy.

Mkuu ukiona mtu anatoa maneno ya dharau badala ya point ujue maji yamemfika shingoni,hao ndiyo vijana wa lumumba.
 
uwezo wa zitto haufiki hata robo ya Dr Slaa , hivi mtu ambaye anafikia kiwango cha kujadiliana na hatimaye kukubaliana na viongozi wa ccm kubadilishana jimbo ana uwezo gani ? subiri moto uwake ndio utajua uwezo wa Dr Slaa .

Zito kajichokea na hana tena mvuto wa kisiasa tena.
 
huyo ndo ametoka memukwa ya uongozi na utawara bora kwa wazungu ili akawaongoze wake zake wawili waliomshinda bado anafanya homewark awatumie,ila tunaomba memukwa yake isiwe na angenda ya siri ndani yake na wazungu,

Dah! umenikumsha mbali sana!
Mpango wa

Elimu

Maalum

KWA walioikosa

Ni maalumu tu kwa watu wazima aisee!
 
Wee NDOROBO, UYO ZITTO WAKO AMTISHE NANI UYO NI MSALITI ANAYETAMBULIWA ATA NA WATOTO?? NA SASA KASHAZOEA KUZOMEWA ATA NA WATOTO WADOGO. NI MAARUFU ZAIDI UKO KWAO TU MWANDIGA,

Mkuu hata mwandiga hawamtaki kwa tabia zake hovyo ndio maana kakurupukia jimbo la kigoma mjini
 
hakuna wa kupanic mi naongelea fact ......slaa akienda pale ningekuwa wa kwanza kumshambulia....inaamaanisha angeanza kujipigia debe la urais chadema huku muda haujafika ....kama muandaajia anataka kuitisha midahalo hiyo basi aitishe mdahalo wa watia nia wa chadema mda ukifika then baadae aje aitishe wa ukawa na ikiwezekana aitishe wa vyama vyote pindi wakipata wagombea wao......kumuita slaa kwenye mdahalo ni sawa na kumuita membe ukawaacha watia nia wengine kwenye ccm....lipumba keshatangaza kugombea tena yuko peke ake cuf ni haki yake kwenda.....chadema ratiba yao bado .....tuongelee fact tusishabikie mambo.....kama lengo ni mdahalo wa vyama basi atoe mualiko kwa vyama ......hapo chama kingetafuta mtu wa kwenda pale

Mkuuu pokea like yangu
 
Bwana Mafuruki ana haraka sana, dhamira take ni njema nasi wananchi tunaiunga mkono ila awe mpole kwanza mpaka mikiki mikiki ndani ya vyama iishe, wagombea uraisi,ubunge na udiwani kwa kila chama wakifahamika basi midahalo itaweza kuanza rasmi

Huyo tushamstukia kuwa ana ajenda ya siri kutaka kujua nini kinaendelea ndani ya upinzani,lkn wamenowa
 
Back
Top Bottom