Hicho ndo kinachonifanya siku zote watu humu JF ni ndumila kuwili....Aliposhindwa kuhudhuria Edward Lowasa suku ile watu walishindwa hata kula chakula mchana wakitoa matus kejeli na kashfa za kila namna na yy sababu zikiwa zinafahamika kabisa
Lkn leo watu walewale wanapaka mafuta ns asali kwa Kikongwe WS Kushundwa kuhudhuria wakiona ni sahihi na wanaita akili sana!! KUNYA ANYE KUKU TU AKINYA BATA ANAHARISHA!! Purely DOUBLE STANDARD..Shame on you