Dr Slaa aizika CCM Tunduma

Dr Slaa aizika CCM Tunduma

Anasema toka anachaguliwa yeye aliyakuta madara yaliyo jengwa yalikuwa 80. Yeye ktk kipindi cha miezi mitatu wamejenga madarasa 63. Anasema alijitolea mshahara wake wa mwezi alinunua mashuka na magodoro aliyasambaza kwenye zahanati zote za Mbozi magharibi. Amesema alijitolea mshahara wake karibu sh. 35m amechimba visima vya maji ya kunywa.
 
uploadfromtaptalk1368279716603.jpg
Mh. Silinde sauti ya simba.!!!
 
Magamba wanachukia kweli kuona wananchi wanafika kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA bila kusombwa na magari.
 
Sasa anaanza kuongea katibu mkuu wa chama taifa ndugu Dr.slaa.
 
uploadfromtaptalk1368280165228.jpg uploadfromtaptalk1368280165228.jpg
Wananchi wakimpokea Dr slaa wakati akijiandaa kusimama kuongea na wananchi.!!!
 
Anasema hatuogopi mtu,Rpc,IGP wala chochote isipokuwa Mungu. Anasema tumeanza na Mungu tunaendelea na Mungu tunamaliza na Mungu
 
wakuu kale ka video ka Nchemba kanazidi kuirabia ccm
 
Anasema hatuogopi mtu,Rpc,IGP wala chochote isipokuwa Mungu. Anasema tumeanza na Mungu tunaendelea na Mungu tunamaliza na Mungu

mkuu hiyo nyomi bhasiiii!go go cdm magamba lazima presure iwadedishe
 
idawa
Naomba uendelee nimeishiwa nguvu ya battery.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom