Pamoja sana kamandaDr.Slaa
Anaelezea safari yake ya Zambia ambayo takribani wiki nzima alikuepo huko.!!!
Dr. Wa ukweli
Ni haki yao Mkuu; sidhani kama kuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayependa habari mbaya. By the way, hivi tukiwa-rank, ni Katibu Mkuu yupi anashika nafasi ipi kwa uongozi mahiri ndani ya vyama vyao?
1. Col. Abdulrahmani Kinana (CCM)
2. Maalim Seif Sharif Hamad (CUF)
3. Sam Ruhuza (NCCR-Mageuzi)
4. W. P. Slaa (Chadema)
5. General Secretary Emeritus Nnape Nnauye (CCJ/CCK)
6. xxx (UPDP)
7. xxx (UMD)
8. xxx (Tadea)
9. xxx (NRA)
10. xxx (TLP)
11. xxx (ADC)
12. xxx (UDP)
Hebu tupe maoni yako hapo.
Michael Satta ndio saizi ya Dr. safi sanaDr.Slaa
Anaelezea safari yake ya Zambia ambayo takribani wiki nzima alikuepo huko.!!!
Chadema mnapenda habari nzuri nzuri kuhusu nyie.duh!
Mikutano ya CDM haiitaji ulinzi waa kiivyo. Tembo wetu wanaisha.Dr. slaa sioni haja kuilinda mikutano yangu wakati raslimali za taifa zinaibiwa kila siku.
Nataka kumwambia kikwete ameshindwa kuongoza nchi.
Sababu raslimali zetu zinaibiwa kila siku na yeye yupo tu hachukui hatua..
Na nyie Chadema sasa mnakomoli! Leo Slaa yuko Tunduma (Mbeya); Kigaila yuko Mbeya Mjini anaendesha mafunzo ya makada wa chama; Mnyika, Mdee na makamanda wengine wako Mlandizi (Pwani); Tundu Lissu yuko Iringa; makamanda wengine wanaojulikana na wasiojulikana wamesambaa vijijini nchi nzima - kuanzia Ruaha, Arusha, Lushoto, n.k. CCM wana haki ya "kuelimishwa". Na hapo tunaambiwa mpango mzima ndio kwanza bado; Kanda hazija-take off inavyotakiwa; si itakuwa supper.Karibu inakuwa Omnipresent. Duhhh, Mungu akikubariki basi anakuwa naawe.
Death is relative term.Mbona kuna watu wanadai CDM itakufa kabla ya 2015?
Wanadhani ukimuondoa slaa na Mbowe ndo umeua cdm, wanasahau kuna kina Mbowe wengi wamesambaa kila kona ya nchi hii.
mtabakia na upuuzi wenu wa kuwaza ngono kila wakati(refer mgulu chemba alivyofumaniwa,kutenga mamilioni ya pesa kwenye katiba kwa watu watakaopumzikiana na kuukwaa ukimwi na mengine mengi)....hamna jipya wakati wa kuwadhulumu watanzania umeisha na sasa wanaukataa udhalimu hadharani....Mkuu, kule tunduma kuna kimada wake. Ndo maana safari za nyanda za juu kusini haziishi. Ndo maana kule tunduma hupendelea kumwita shemeji