Siyo sheriaMbona mama yetu hajavaa gauni jeupe
hiviii slaa ana mali?limama limejihakikishia mali za slaa. masikini watoto? sema tu mama yao ni mbunge.
Mbona wapo wengi walioacha na kuoa? Tukiacha mambo ya Siasa, nampongeza Dr. Silaa kwa kuwa mkweli, maana aliona kuliko kuishi ktk dhambi ya uzinzi huku akijiita Padri ni bora kuacha na kuoa.
ahaaaaa ebu acha unafiki huna haya??Hongera zake dkt. Slaa,hakika anauishi utu wake kwa kuwa na misimamo yake ya ukweli. Maisha mema dkt. Slaa na mkeo.
Oooh sawa, alichokiunganisha Mungu mwanadam asikitenganisheSiyo sheria
Heheeeee amekunywa maji mengi banaa IHahahahaa nilikuwa sijaona picha,mama Mushumbusi mkorogo umekolea usoni ila hiyo mikono hadi aibu!
Stupid huyu mzee, umri huu bado kajitu kanasimama kweli, shame on him. Uzinzi utamtafuna.![]()
Hatimaye aliyekuwa Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Josephine Mushumbusi. Dr Slaa Afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni | Jamjicho
Never please anyone at your own detriment.Simple!
Kwa mtu asiyejitambua ndiye anayeweza kuyumbishwa tu.toka uukose ubunge wa rombo una hasira sana..hama chama acha kuutesa moyo wako nenda hata act wazalendo
Kuna watu hapa wanatoa comments utadhani wao wanaufahamu Ukatoliki kuliko aliyekuwa Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC)
Wanajifanya wanajua Dini na sheria zake kuliko Ph.D Holder wa Canon Law
Yet wao hata Bible Knowledge,Islamic Kwa Form Four au Divinity kwa Form Six hawajawahi kupata hata daraja C ziwaongezee Credit za daraja la ufaulu
Hilo shati la bluu Dr. Slaa analipenda sana.
Hivi kwanini watu waliosoma seminary hasa katoliki huwa mara nyingi hawapati wenza sahihi, au hawajui kuchagua wanawake wa kuishi nao? Nasema kitu ambacho nimefanya utafiti kwa zaidi ya watu 37 waliosoma seminary!
Watakua wanachAguliwa na hao wenza na sio wao wamewachagua moja kwa moja.Hivi kwanini watu waliosoma seminary hasa katoliki huwa mara nyingi hawapati wenza sahihi, au hawajui kuchagua wanawake wa kuishi nao? Nasema kitu ambacho nimefanya utafiti kwa zaidi ya watu 37 waliosoma seminary!