wale waliosema chadema kitakufa hivi wamepotelea wapi tena?
MaCCM njaa imeyakimbiza Arusha na mengine yako kwa Mwigulu na nasikia yapo yaliyokimbia Musoma kwa Muhongo.
Dr. Slaa pekee ndiye mwarobaini wa kero za Watanzania na dozi sahihi ya mafisadi. Mafisadi yenye maneno ya majitaka dhidi ya Rais wangu Dr. Slaa hawana uwezo kulinganisha na uamuzi wa Watanzania walioishamkubali.
Our Presdent..long life for him
Huwa nikimwona au kumsikiliza Dr Slaa mwili unisisimuka kwa furahaa na rohoo ya kuyaona mabadiliko kwenye nchi yangu yanakuja sasa.
MaCCM njaa imeyakimbiza Arusha na mengine yako kwa Mwigulu na nasikia yapo yaliyokimbia Musoma kwa Muhongo.
Hii ziara siyo salama kwa ustawi wa CCM