- Thread starter
- #121
Mkuu naona tokea umefungiwa ni kama umepoteza rada kiana.
Huyo unayemponda ni gamba mwenziyo.Tena gamba original kuliko wewe.
Mkuu nimeshangaa walivyotoleana povu nikaamini ukimpiga mchungaji na kondoo wanasambaratika.
Mkuu naona tokea umefungiwa ni kama umepoteza rada kiana.
Huyo unayemponda ni gamba mwenziyo.Tena gamba original kuliko wewe.
Mkuu naona tokea umefungiwa ni kama umepoteza rada kiana.
Huyo unayemponda ni gamba mwenziyo.Tena gamba original kuliko wewe.
Yaan ukweli huu ni mgumu sana kuumeza, katibu mkuu anasafiri nje ya nchi kukutana na watu?
Sijui ila sijawahi kusikia amesafiri nje ya nchi kwa muda wa wiki tatu akikutana na watu, mara ya mwisho alipokuwa Japan alikuwa mgeni wa waziri mkuu wa nchi hiyo.
Dr. Slaa anakubalika kimataifa
Report Mirembe hospital please!
CHADEMA, Dk. Slaa oyeeeeeeeeee!. CCM anzeni kutia maji vichwa vyenu, Mwaka 2015 lazima mnyolewe tuu. Hata muibeje kura lazima CHADEMA itinge Ikulu!
Ukiongea kitu shirikisha na ubongo,hivi Slaa tangu akiwa mbunge hadi katibu mkuu wa chama umemsikia lini akiwa nje ya nchi? lakini Vasco a.k.a Fastjet tangu akiwa waziri wa mambo nje hadi sasa Rais( kwa matokeo ya kuchakachua) unajua idadi ya safari zake? na zimegharimu shilingi ngapi na zimesaidia nntaifa letu!!come on come back to your senses!!msibiri arudi tumhoji,, ziara yake imesaidia nn taifa na chadema pia!!Kunya anye kuku akinya bata kaharaa...............perdiem zake lazima ajilinganishe na raisi kama kawaida yake, duuh wiki tatu.......sianatumia ruzuku yote ya chama
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Lumumba moja hiyo kunyaka buku saba week end imeingia hiyooo!!Pwaaaa! Hio ni sauti ya kudondoka kitu vibaya!
Hizi ni ndoto za mchana. Na hao wapinzani wanachotaka kuleta bongo ni chuki tu. Na ukabila. Ccm inakasoro zake ambazo zinatakiwa kuregebishwa na mafisadi kuondolewa lkn suala la kutuambia sijui slaaa au sleyyy au mrema sijui nani kuwa rais. Its unthinkable. Na hizo ni ndoto za mchana.
Ccm wanachukua nchi utake ustake. Na ukikasirika saaana. Hamia pemba kama mm.manake huko ccm haitaki tena.
Lkn usidhani mi CCM! aaaaah.! Wala kadi yao sina.huu ni ukweli tu nakupa.
Just come out of mirembe. They told me to ask you. Why they need a professor there!? Frm chama tawala!
They recon who ever call that guy a great leader should see them before the space are full!😀.
I gave them a name of salary slip. And they seems familiar with that name.: and they told me to give you their love;D😀😀.
Ujerumani sio ulaya yote mshamba wewe,
Huko hata wewe unaweza kwenda kila siku. Anyway mnajua kuwa chama anachokwenda kuongea nao kina support yale mambo yenu ya uliberali?
Jahazi inazama huku uchaguzi wa kata 25, katibu kaitosa meli anakimbizia posho.....
Bwana Chris Lukosi Salaam! Utanisamehe kidogo naomba kupata mazungumzo nawe one-on-one hapa. Nimekusoma mara nyingi sana humu ukitoa hasira zako katika kila kitu chenye chembe ya Chama cha Siasa kinaitwa Chadema.
Nina mashaka kuna kitu sikielewi ambacho mwenzangu unakielewa. Hasira juu ya kitu chochote kwa binadamu mwenye akili timamu huwa inakuwa na sababu.
Wewe unaonesha ni mtu mwenye chuki sana juu ya Chadema. Hawa watu walikuudhi nini hasa ambacho katu hakisameheki? Tafadhali nisaidie kukuelewa.
chuki zake zinatokana na kitu kinachoitwa DHAMBI YA UASI baaasi hicho ndicho kinachomsumbua