Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

Acha waombe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Dr. asije akatuletea sera za CDU, manake hicho chama kimeegemea maslahi ya kanisa.
 
kwli kama hujui jamb basi usilipost kabisaaa???? na kama unaile hotuba ya upinzani basi isome vizuri na nenda kwa zile website ukajisomee mwenyewe au ngeli inasumbua ndio maana unachanganya mafail kakatika kuisoma mikataba?katika website?tusiweke uchama bali tuwe wakweli kan huu ni upotoshaji ,na ugeuzwaji wa maneneo ila naweza nisishangae kwani hata ujumbe toka kwa mto mmoja kwenda kwa mwingine ukitolewa kwa maneneo huwa kuna kupunguza maneneo au kuongeza maneno na pia kutofikisha ujumbe kabisaa kama ww "ndio maana kwa sasa fasihi simuliz y potea"
 
Leo ndo leo mashabiki wa Tanzania...lazima stars washinde!!!
 
Mtoa mada anatoa maneno ya kudhani, hana ushahidi, antaka asomeke tu hata kama hana hoja. Ni mtu harari au pengine hajitambui kama yeye anavyotaka wengine wajitambue!
 
Watu wa jamii ya wasomali nchini Afrika Kusini, wameandamana hadi bunge la la kitaifa mjini Cape Town kupinga mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni nchini humo.
Raia wawili wasomali, wameuawa mwezi huu na serikali ya Somalia imeiomba Afrika Kusini kuchukua hatua zaidi kuweza kuwalinda raia wake.
Takriban watu 200 waliandamana wakibeba mambango yaliyoandikwa: ''kila mtu ni raia wa kigeni katika sehemu fulani ya dunia''
Waandishi wa habari wanasema kuwa mashambulizi dhidi ya waafrika wasio raia wa Afrika Kusini yameanza kutekelezwa katika siku za hivi karibuni
 
UGANDA CENTRAL (8:00 Mchana) Kamishina mkuu wa jeshi la magereza nchini Uganda, Dr. Johnson Byabashaija amesema wafanyakazi wengi wa jeshi hilo wanakufa kwa ukimwi kuliko wafungwa na unyanyapaaji kati yao umeanza.
Unadhani hii inatokana na nini?
39 minutes ago
 
KATIKA ITV JUMAMOSI TAREHE 8/06/2013
4:00 ASB Kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kuweza kuangalia tamthilia ya kusisimua ya kikorea ya THE LAST SCANDAL, usikose kuangalia marudio hayo yakifuatiwa na marudio ya tamthiliaya RUBI.
1:00 USIKU Kutana na kikundi cha sanaa cha Ngara wakionyesha umahiri wao katika sanaa ya ngoma na maigizo. Hii ni SANAA NA WASANII.
3:30 USIKU Usikose kuangalia fainali ya KILI MUSIC AWARDS 2013 ambapowasanii mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wanashindanishw a na kupata zawadi kutoka kwa waandaaji kupitia maoni na simu za wachangiaji
 
Ndugu zangini

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.


JITAMBUE!

He kweli njaa mwana malegeza!!! ndugu yangu mla nyama ya mbwa ulivyoona utakosa tenda ukaamua kuhamia Chama cha Mabwepande leo unaandika habari zenye kichwa cha habari kama una uhakika na kuwa na vielelezo wakati ndani ya habari ni hisia tu. Hivi ndugu yangu tukikusema kwamba wewe ni mwandishi wa habari za udaku tutakuwa tumekosea? Kwa uandishi huu wewe si mmoja wa magreat thinkers.
 
Utaamua kufanya kipi kati ya hivi vifuatavyo kama mfukoni mwako una buku tano tu?
1. Njaa inauma, inabidi ule.
2. Wakati huo hupo, girlfriend/ boyfriend wako kakuomba umtumiebuku tano.
3. Wakati huo huo, umevaa suti kali, huwezi panda daladala, so inabidi uchukue taxi au bajaji kwenda huko uendako.
4. Wakati huo huo, mama anaumwa,inabidi umtumie angalau buku tano anunue dawa.
5. Wakati huo huo umekutana na jamaa anyekudai buku tano miezi mitatu imepita sasa.
Utafanya nini?
 
Ndugu zanguni

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.


JITAMBUE!

kwa hiyo malipo yako kutoka kwa Mwigulu ni leo au jumatatu!
lakini kazi ni kazi na hii ni kazi,pole sana
 
Back
Top Bottom