Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

Inapendeza, hawa maccm wataruka ruka mwisho wao umewadia, mkuu anachapa kazi kwenda mbele , ni kushambulia pande zote mpka kieleweke
Kuna thread moja ilihoji ni kwa nini haalikwi ughaibuni. Hapo je? Kila jambo kwa wakati.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Dr Wilbroad Slaa anaelekea nchini ujerumani kwenye ziara ya wiki tatu ili kukutana na watu mbali mbali. Taarifa zilizotolewa na ukurasa wa facebook wa CDM na kuthibitishwa na msemaji wa chama hicho znaonesha kuwa katibu huyu ataanza kukutana na watu tarehe 5/6/2013.

Angalia Tangazo la mpambe wake lililobandikwa hapa jamvini.

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa, Juni 5, mwaka huu, ameanza ziara ya takriban wiki 3 barani Ulaya katika nchi ya Ujerumani.

Kwa mujibu wa habari kwenye Ukurasa wa Facebook ya CHADEMA na kuthibitishwa na Ofisa Habari wa CHADEMA, Tumaini Makene, Dkt. Slaa ambaye aliondoka nchini Juni 4, mwaka huu ktk ziara hiyo ya kikazi, atakutana na watu mbalimbali, wakiwemo viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa.

Namnukuu-''Ni kweli mkubwa, Katibu Mkuu yuko nje ya nchi tangu juzi kwa ziara ya kikazi nchini Ujerumani, itakayochukua wiki tatu...atakuwa na ratiba tight kidogo, akiwa huko kama unavyojua Dkt. Slaa yuko kazini karibu muda wote, kwa sababu kwa sasa hakuna muda wa kupoteza hata sekunde, si unajua M4C iko matendoni mkubwa, ndani na nje ya nchi, ameenda kikazi,'' amesema Makene.
 
Pole sana naamini buku saba umepata ya kula mchana huu.

Kwa uchungu leo sichukui buku saba, yaani Slaa anaenda nje ya nchi kukutana na WATU , naogopa sana naona enzi za CCM sasa zimefikia ukingoni. Yaana anakutana kabisa na watu?
 
Safi sana , Baada ya taarifa hii wale wa LUMUMBA @ BUKU 7 FC Wanatafuta funguo za ule mlango ulipakana na BATHROOM ! KUDADADEKI !
 
Kwa uchungu leo sichukui buku saba, yaani Slaa anaenda nje ya nchi kukutana na WATU , naogopa sana naona enzi za CCM sasa zimefikia ukingoni. Yaana anakutana kabisa na watu?

Unahangaika sana mkuu, mbona ni neno la kawaida kukutana na watu kweni we ulitaka akutane na nani?

Duuh! yaani umeanzisha ka thread kako ila kajadiliwe kuhusu kukutana na watu, pole sana
 
hao watu ndio kina nani?? akisafiri bosi wao kimya akisafiri mkulu watu wanaanza kupiga mahesabu...kama vile kwao baba zao hua hawasafiri
 
Unahangaika sana mkuu, mbona ni neno la kawaida kukutana na watu kweni we ulitaka akutane na nani?

Wewe unaona ni kawaida kabisa? Haya ni mafanikio makubwa sana kwa CDM na demokrasia ya vyama vingi nchini yenye miaka 21, maana anakwenda kukutana na WATU.
 
kumbe magamba mmekubali wazi kuwa Kikwete ni vasco dagama??
cc: Ritz , chama , Mzee Wa Sumu , bungeni , Nduka , Sumu , MwanaDiwani ......| | Molemo Michael p aweda Tumaini Makene

huyu jamaa kakiri kikwete ni vasco dagama,yaani mwenyekiti wao wa chama

Una ni-CC kuja kuona jinsi ulivyo na fikra finyu.

Hilo jina la Rais Kikwete umelitoa wapi?. Mleta bandiko amemtaja Vasco Dagama. ulichokifanya ni ku-enforce the truth kuwa ni hasara sana kwa taifa kuwa na akili za kibavicha bavicha kama zako.

bavicha ni janga la Taifa.
 
Rais wa Tnaganyika au Shirikisho? manake sasa hivi mshapigiwa miruzi mingi lazima mpotee..
wewe Mzenji hebu achana na mambo ya huku Tanganyika, Pia uwe na adabu hasa pale unapochangia kwny thread inayomhusu Mkombozi na Rais wetu.
 
Back
Top Bottom