engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
kikawaida ni lazima tuelewe kuwa safari za nje ya Tanzania huwa ni kuimarisha mahusiano,sasa anaposafiri Rais kikwete tunalalamika na wanaposafiri viongozi wengine wa kichama tunaona ni sawa.
kwa upande wangu nafurahia sana viongozi wetu wanavyosafiri nje ya Tanzania,hii inasaidia wao kuweza kubadilika ktk kuongoza kwao,kutengeneza mahusiano baina ya nchi na nchi,chama na chama.
Safari njema Dr Slaa,tunakutakia safari yenye mafanikio tele.