CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Melody imeshindwa hiyo, umeimba hata kwa kutumia masalia umebaki kumung'unya, mungu'unya mdomo wako usio na simile siku hizi hata front page za magazeti hupewi ,manake huna soko na melody za kijinga
Kumbe mnapenda mno kuandikwa andikwa mno kwenye magazeti eee, ndio kumbe ndio lilikuwa lengo lenu watu nyie msio na ubinadamu ila unajua nuru ni nuru hasa inapokuwa imewashwa na mungu hakuna mwanadamu ataeweza kuizima.
Ila umeona rasimu ya katiba yetu? Kipenzi chako mambo yake magumu kutokana na degree zake za utumishi wa kanisa na kutotambulika kwa vyuo vyake alivyosomea. Hilo ni pigo.