masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
Katika hali isiyo ya kawaida na kuonyesha kuwa uvumilivu unaenda kufikia kikomo,Dr Shein ameanza kufunguka kuonyesha asivyoridhika na mambo anayofanya Rais Msaafu Amani Karume katika masuala ya kisiasa, hususan Muungano.
Amani karume inaelekea ameingia ubia wa kisiasa na Maalim Seif Sharrif Hamad katika kudai Muungano wa mkataba, sera ambayo si ya chama chake cha CCM.
Katika gazeti la leo Nipashe ,9/07/2013 nanukuu:
"Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar
Katika hali inayoelekea kumlenga mtangulizi wake katika Ikule ya Zanzibar, Rais Ali Mohammed Shein , amesema hawezi kumzunguka Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Mrisho Kikwete kwa kupigia debe Muungano wa mkatabakama mwanavyotaka baadhi ya Wazanzibari
......
Akizungumza huku akionyesha kuchukizwa na kamati hiyo( ya akina Sef Sharrif Hamad na Karume),Dk Shein alisema Serikali ya Jamhuri ya Muungano na ile ya Mapinduzi Zanzibar(SMZ), haina mawazo wala msimamo bali inachokingojan ni ni mawazo ya wananchi wenyewe kwa vile katiba ni chombo cha umma wenye maamuzi kuhusu Muungano wanao utaka."
Alimaliza
...
Wasiniingize mimi katika mpango wao wala wasitake kufika waendako kwa kutumia mabega yangu,wamelipika sasa walinywe wenyewe"
Huko Zenji mbichi na mbovu za Malim na swahiba wake Amani Karume zinaanza kujitokeza.