Naona wewe hujui chimbuko la siasa za muungano.
Wanoutaka muungano Zanzibar ni wale waafrika halisi, kama mimi na wewe .
Wasioutaka muungano ni wale wenye asili ya kiarabu na walio na wajomba zao uarabuni.
Its as simple as that.
Ukweli ni kwamba baada ya muungano kushambuliwa kwa miaka mingi upande wa Tanganyika has decided to call a spade a spade, na ndio nionavyo rasimu ya Warioba ya katiba mpya.
Suala hili limewapanikisha waliouasisi maana hawakuutetea vilivyo katika medani za siasa.
Siyo siri Sherrif na Amani Karume wana uasili wa kiarabu na wameamua kuside na upande huo.
Tofauti na wengi wanavyofikiri ubaguzi Zanzibar upo na wanaouhitaji muungano ni waafrika zaidi kuliko wenye asili ya kiarabu.
aisee wewe Masopyakyindi kutakuwa na watu wa nje wanakuchochea kuongea haya (Jakaya Kikwete)...umetoa wapi ujasiri wa kusema hivi wakati Watanzania hawapo hivyo (Mulugo), je, uko tayari kuishi kama digidigi Snowden? ha ha ha
...mkuu Masopyakyindi ulichosema ndio ukweli wenyewe, waafrika halisi wenye asili ya Zanzibar wasikubali kufuata mkumbo, damu yao na vizazi vyao itawalilia daima
"ndugu yangu uwongo mbaya na unazidi ubaya katika mwezi mtukufu wa Ramadhan. tusoutaka muungano huu ni wengi wetu wananchi wa Zanzibar (tupake rangi na tupe asili utakazo) usijitowe fahamu. kwetu sisi huu wa sasa si muungano bali ni kutawaliwa, tumepoteza mamlaka yetu kama nchi na kumilikiwa na Tanganyika (Tanzania)..... Karume Senior mwenyewe alounganisha hizi nchi na Nyerere utampaka rangi gani ? au hujui kama naye alikuwa tayari anataka kuuvunja kabisa kabla hajafikwa na mauti (1972)? ....aliyemfuata Shk Aboud Jumbe (mwana wa mji mwema) yeye utampaka rangi gani? ana jamaa zake arabuni au india? hujui yaliyomfika 1984 na sababu yake? Dr. Salmin Amour.....Dr. Amani Karume ... na hata huyu wa sasa Dr. Shein ..... Fuatilieni taarifa ya Ikulu ya Zanzibar kukanusha habari iliyonukuliwa na huyu muandishi wenu Mwinyi Sadallah (nilikwambieni zamani mimi!).....UKWELI zamani muungano ulifanywa sio kitu cha kujadiliwa, wakati wenzetu huko mmekaa tu, sisi harakati zilikuwa zaendelea chini kwa chini, nyinyi mnaona kama tumeanza juzi!! ndio kwanza ati mnaamka kuidai Tanganyika yenu! Laa Haula! ....... unafahamu hadidu rejea walizopewa tume ya maoni kuhusu muungano? .... ndio tukaja na hili la mkataba UKWELI hasa hakuna huyo unomuona wewe muafrika wala nani sote HATUUTAKI! kasoro wale vibaraka wenu tu"Naona wewe hujui chimbuko la siasa za muungano.
Wanoutaka muungano Zanzibar ni wale waafrika halisi, kama mimi na wewe .
Wasioutaka muungano ni wale wenye asili ya kiarabu na walio na wajomba zao uarabuni.
Its as simple as that.
Ukweli ni kwamba baada ya muungano kushambuliwa kwa miaka mingi upande wa Tanganyika has decided to call a spade a spade, na ndio nionavyo rasimu ya Warioba ya katiba mpya.
Suala hili limewapanikisha waliouasisi maana hawakuutetea vilivyo katika medani za siasa.
Siyo siri Sherrif na Amani Karume wana uasili wa kiarabu na wameamua kuside na upande huo.
Tofauti na wengi wanavyofikiri ubaguzi Zanzibar upo na wanaouhitaji muungano ni waafrika zaidi kuliko wenye asili ya kiarabu.
namkubali sana Karume hapendi unafiki.
Naona wewe hujui chimbuko la siasa za muungano.
Wanoutaka muungano Zanzibar ni wale waafrika halisi, kama mimi na wewe .
Wasioutaka muungano ni wale wenye asili ya kiarabu na walio na wajomba zao uarabuni.
Its as simple as that.
Ukweli ni kwamba baada ya muungano kushambuliwa kwa miaka mingi upande wa Tanganyika has decided to call a spade a spade, na ndio nionavyo rasimu ya Warioba ya katiba mpya.
Suala hili limewapanikisha waliouasisi maana hawakuutetea vilivyo katika medani za siasa.
Siyo siri Sherrif na Amani Karume wana uasili wa kiarabu na wameamua kuside na upande huo.
Tofauti na wengi wanavyofikiri ubaguzi Zanzibar upo na wanaouhitaji muungano ni waafrika zaidi kuliko wenye asili ya kiarabu.[/QUOTE]
Masopakyindi: usijituchanganye wengine kwa kujichanganya mwenyewe.
Hao Waafrika halisi ambao wana stand kufaidika zaidi na muungano ni kundi lipi na ni kweli limekosa kabisa uwakilishi katika hoja hii? Na ndio maana imesemwa VIONGOZI wanaokuwepo madarakani ndio wanaojikuta wakiutetea muungano. Nitakueleza mawili:
1. Hoja ni kwamba wanapoondoka madarakani huanza kutoa kauli tata kuhusu muungano. Hili ilnakujajae? Ukweli ni kwamba wanapokuwa nje ya uongozi na bbada ya kukutana na wananchi wa kawaida huanza kutambua kuwa hawakuuona ukweli wakiwa huko peponi IKULU na kwenye vikao vya Chama Tawala!
2. Unasema wenye asili ya Uarabu ndio wanashinikiza kuvunjika Muungano - huyo Abood Jumbe,Salmin Amour ni Wwarabu? Suala la muungano kwa maoni yangu lina vuka huo Uarabu/Uafrika asili. Kila kundi katika jamii ya Wazanzibari linatetea maslahi yake.
Lifanyie utafifti hili na una nafasi nzurti kwa kuwa Nyerere hayupo.
Ni kweli hawana tofauti kabisa na WACHAGA. wachaga wamekuzwa katika mazingira ya UBINAFSI,UCHOYO, WIVU,KUJIKWEZA na ukabila. wakijichanganya na watu wanaweza kustaarabika kwa muda, ila muda muafaka ukifika wataonyesha THEIR TRUE COLOUR.Tatizo la zenj wanakuzwa kihuni hata wakijaingia ktk ustaarabu uhuni na upuuzi hauwatoki...Nini sasa hawajaelewa kuhusu huo muungano na utatawake?Mbona hakufanya hivyo akiwa rais.Wazenj wakiingia ktk ustaarabu wanapata ustaarabu wa muda..halafu wakitoka wanauacha na kurudi mashenzini kwao.
Kwa nini asikumbuke dhana iliyomfanya akaukubali uzenj na muungano kw akipindni chote alichokuwa mwana CCM no moja wa ikulu.Na alihubiri muungano hadi alipotoka.Sasa km Kila anayeondoka anaamua blackmail serikali ya Tanganyika kwa kuchokonoa Muungano basi tutauza vingi sana kwa kutokuwa serious.
"ndugu yangu uwongo mbaya na unazidi ubaya katika mwezi mtukufu wa Ramadhan. tusoutaka muungano huu ni wengi wetu wananchi wa Zanzibar (tupake rangi na tupe asili utakazo) usijitowe fahamu. kwetu sisi huu wa sasa si muungano bali ni kutawaliwa, tumepoteza mamlaka yetu kama nchi na kumilikiwa na Tanganyika (Tanzania)..... Karume Senior mwenyewe alounganisha hizi nchi na Nyerere utampaka rangi gani ? au hujui kama naye alikuwa tayari anataka kuuvunja kabisa kabla hajafikwa na mauti (1972)? ....aliyemfuata Shk Aboud Jumbe (mwana wa mji mwema) yeye utampaka rangi gani? ana jamaa zake arabuni au india? hujui yaliyomfika 1984 na sababu yake? Dr. Salmin Amour.....Dr. Amani Karume ... na hata huyu wa sasa Dr. Shein ..... Fuatilieni taarifa ya Ikulu ya Zanzibar kukanusha habari iliyonukuliwa na huyu muandishi wenu Mwinyi Sadallah (nilikwambieni zamani mimi!).....UKWELI zamani muungano ulifanywa sio kitu cha kujadiliwa, wakati wenzetu huko mmekaa tu, sisi harakati zilikuwa zaendelea chini kwa chini, nyinyi mnaona kama tumeanza juzi!! ndio kwanza ati mnaamka kuidai Tanganyika yenu! Laa Haula! ....... unafahamu hadidu rejea walizopewa tume ya maoni kuhusu muungano? .... ndio tukaja na hili la mkataba UKWELI hasa hakuna huyo unomuona wewe muafrika wala nani sote HATUUTAKI! kasoro wale vibaraka wenu tu"
Baada ya miaka mingi baada ya mapinduzi watu wanaanza kusahau mapinduzi yenyewe maana yake nini haswa!Naona wewe hujui chimbuko la siasa za muungano.
Wanoutaka muungano Zanzibar ni wale waafrika halisi, kama mimi na wewe .
Wasioutaka muungano ni wale wenye asili ya kiarabu na walio na wajomba zao uarabuni.
Its as simple as that.
Ukweli ni kwamba baada ya muungano kushambuliwa kwa miaka mingi upande wa Tanganyika has decided to call a spade a spade, na ndio nionavyo rasimu ya Warioba ya katiba mpya.
Suala hili limewapanikisha waliouasisi maana hawakuutetea vilivyo katika medani za siasa.
Siyo siri Sherrif na Amani Karume wana uasili wa kiarabu na wameamua kuside na upande huo.
Tofauti na wengi wanavyofikiri ubaguzi Zanzibar upo na wanaouhitaji muungano ni waafrika zaidi kuliko wenye asili ya kiarabu.[/QUOTE]
Masopakyindi: usijituchanganye wengine kwa kujichanganya mwenyewe.
Hao Waafrika halisi ambao wana stand kufaidika zaidi na muungano ni kundi lipi na ni kweli limekosa kabisa uwakilishi katika hoja hii? Na ndio maana imesemwa VIONGOZI wanaokuwepo madarakani ndio wanaojikuta wakiutetea muungano. Nitakueleza mawili:
1. Hoja ni kwamba wanapoondoka madarakani huanza kutoa kauli tata kuhusu muungano. Hili ilnakujajae? Ukweli ni kwamba wanapokuwa nje ya uongozi na bbada ya kukutana na wananchi wa kawaida huanza kutambua kuwa hawakuuona ukweli wakiwa huko peponi IKULU na kwenye vikao vya Chama Tawala!
2. Unasema wenye asili ya Uarabu ndio wanashinikiza kuvunjika Muungano - huyo Abood Jumbe,Salmin Amour ni Wwarabu? Suala la muungano kwa maoni yangu lina vuka huo Uarabu/Uafrika asili. Kila kundi katika jamii ya Wazanzibari linatetea maslahi yake.
Lifanyie utafifti hili na una nafasi nzurti kwa kuwa Nyerere hayupo.
Mnajisahau kuwa alikuwepo ALIYEPINDUA na ALIYEPINDULIWA.
Hamkumbuki matatizo ya uchaguzi kati ya vyama vya WAARABU na chama cha AFRO/SHIRAZI.
Nadhani kumbukumbu zenu aidha zimejaaa kutu au mlikuwa hamjazaliwa.
Serikali ilikuwa ya Sultan Jamshed bin Abdullah(Mwarabu) na alipinduliwa na Waafrika (wakiongozwa na Abeid Amani Karume na waafrika wenzake ikiwa ni pamoja na akina John Okello).
Hata vyama vilikuwa vya mgawanyiko kati ya Waafrika na Washirazi(ASP AfroShirazi Party) na vya Waarabu (Zanzibar National Party-ZNP na Zanzibar and Pemba Peoples Party-ZPPP).
Nyie ambao hamjui ni lazima muelezwe kuwa katika uchaguzi wa mwaka 1961, ZNP na ASP zilitoka suluhu kwa kila chama kupata viti 11 kati ya viti 22, ilibidi uchaguzi urudiwe.
Uchaguzi uliporudiwa 1963, Waarabu (ZNP na ZPPP)wakaungana na walipata viti 13 wakati ASP(Waafrika/Washirazi) ikapata viti 10, pamoja na ukweli kuwa watu wengi zaidi waliipigia kura ASP .
Na hapo ndio ikawa mwanzo wa sokomoko na vugu vugu la kupinga hali hiyo ya kuibiwa kura na serikali ya wengi.
Sasa mkuu mavumbi kama hukuwa unaelewa major source ya contradiction iliyosababbisha mapinduzi soma hiyo historia kwa undani, nawe utaelimika.
cc Mzenji73 , 50thebe , Bobwe
Someni vizuri historia ya conflicts in Zanzibar na mtaweza kumwelewa Seif Sharrif Hamad na siasa zake.
m[I said:asopakyindi;6789777]Mkuu Masopakyindi: mimi na wengine tutaendelea kusoma hiyo historia kama unavyoshauri. Hata hivyo tukubaliane moja:[/I]
Kwamba pamoja na mazingira ya kisiasa ya Zanzibar ya leo kuwa ni matokeo (influenced by) ya kihistoria kuanzia nyakati za "mapinduzi matukufu", unataka kutushawishi kwamba suala la muungano linavyojadiliwa leo miaka 50 badaye nalo lina "influence" ya toka nyakati hizo?
Mapinduzi ya 1964 yalileta mabadiliko na kumwondoa aliyepinduliwa - sawa. Mapinduzi yanayotafutwa leo (kwa uelewa wangu) ni ya mabadiliko ya mfumo ili pande zote ziwe na uwezo wa kujiamulia mambo yake -"self determination". Kwa nini tusipeane haki hiyo?
Na pia naona kuna hali ya kumwona Mwarabu kama tishio endelevu (constant threat), labda tupeane habari zaidi kuhusu hili maana sidhani kama Waafrika Weusi wa Zanzibar wako tayari kurudi tena kwenye utumwa katika nchi yao.
Karibu!
Shein kama kenda shule asingekubali kuambiwa na pinda kuwa nchi yake c nchi wakati yeye shein anajiita rais,asingekubali kuwa waziri asie kuwa na wizara kwenye muungano,hiyo shule iko wapi?
mmmh nalo neno hilo we jamaa...??
lakin mbona wote ni ma-Dr... au mmoja amechakachua..??
Mkuu bado wewe hujaelewa the major contrdictions katika siasa za Zanzibar, na ndio maana huwezi kuona kuwa kwa Watanganyika muungano ni fadhila tu kwa wazanzibari , ili wasije uana tena kama 1964.Tatizo watanganyika bado wapo ucngizini,kuung'ang'ania muungano huu ni sawa kuibariki ccm itawale milee.
Bado kidogo ungepata..wachaga hawana time ya ku blackmail yeyote kwa issue ya uhuru,upendeleo wowowte by the way waanjua hawana bongo,kwani sera ya CCM ni kuwabana, huwa wao wanaingia mjini km wajinga ingawa wamezaliwa wajanja na wastaarabu,ili waoga(wenye chuki) wasiwakimbie na kuanza vita.Ni kweli hawana tofauti kabisa na WACHAGA. wachaga wamekuzwa katika mazingira ya UBINAFSI,UCHOYO, WIVU,KUJIKWEZA na ukabila. wakijichanganya na watu wanaweza kustaarabika kwa muda, ila muda muafaka ukifika wataonyesha THEIR TRUE COLOUR.
Nadhani ni mmoja wao
Mkuu bado wewe hujaelewa the major contrdictions katika siasa za Zanzibar, na ndio maana huwezi kuona kuwa kwa Watanganyika muungano ni fadhila tu kwa wazanzibari , ili wasije uana tena kama 1964.
Naona hujasoma wewe. Unaelewa siasa lakini au ni shabiki tu?
THERE GOES THE TRUE MANGI...Bado kidogo ungepata..wachaga hawana time ya ku blackmail yeyote kwa issue ya uhuru,upendeleo wowowte by the way waanjua hawana bongo,kwani sera ya CCM ni kuwabana, huwa wao wanaingia mjini km wajinga ingawa wamezaliwa wajanja na wastaarabu,ili waoga(wenye chuki) wasiwakimbie na kuanza vita.
Muda muafaka ukifika wanawaoanyesha kwa kuwafundisha wapiga tumba na blah blah kwa vitendo kuwa life inawezekana.Wachaga si wazuri wa kubishana na waswahili kwa logic km ya Ritz...so wao huongea kwa vitendo.Km bi success huwaonyesha kitu kamili.
Bahati nzuri huwa wachaga wakiingia ktk mitaani yenu ya kuringa huwa mnawashwa sana kuwapa majina ya ajabu,kuwatania sana kwa kutofanya yale mfanyayo hadi mkawa vilaza, halafu baadaye.Mnajikuta mkimkubali mangi.
THERE GOES THE TRUE MANGI...
zile sifa zooote nilizoorodhera umezionyesha ndani ya post moja.. thanx mbulula wa kichaga.
na kwa sababu hizo ulizoorodhesha hapo juu!!!!!! hata angekuja nani na mwenye nguvu na mamlaka kiasi gani, CHADEMA hamuwezi kuongoza hili taifa-- sio kwa sababu ni chama kibaya,laaa hasha bali ni kwa sababu ni chama cha WACHAGA.
TUNAWAJUA VIZURI NA tumeamua kwa dhati kabisa kuwapiga pini na kuwadhibitia hapohapo mlipofika. no more steps ahead. hujiulizi mbona mnapigwa na kusakamwa kila mahali hivi sasa??? kalagabahooo. the time has come
duh!!!! e bwana unaji-contradict!!!! hebu pitia upya andiko lako mangi.Haha...ingawa si kweli kuwa CDM ni chama cha wachaga....bado sina haja ya kukujibu hilo....Wewe kweli ni ma------ ...Kwani wewe nani uwazuie wachaga kutawala?unatenda dhambi ileile unayoizua,tena ktk tendo la kuzuia.Kamuulize mzee wako wapi wachaga hawapo?vyama vyote vina wachaga....CCM itakufa na wachaga walipo ndani hawaihitaji.Sijui kipi kikichukua nchi hapatakuwepo wachaga.Wachaga are more powerful than you think, wamekuwa wakuu wa usalama, polisi na wana uwakilishi mnene Jeshini.Wameshikilia uhasibu,media na kila kilicho nyeti ktk nchi....sasa hata ukilia kwa kutumia makalio wakiamua ..fanya juhudi km mfanyazo kuwazuia wataichukua nchi for good.Na hamatokaa muishike tena waswahili.
So far wanaitawala by proxy......muuize JK kwa nini kila balozi akija lazima baadaya ya kutembelea Ikulu itifaki inazigatiwa anapitwa kwa Mengi?Wazazi wenu hawakuwafundisha busara...kuwa ukimwacha mchezaji bora wengine wanamtumia kukufunga.The more mnawapiga wachaga vita kuliko wahindi na waarabu ndio jinsi mnavyozamisha nchi.Na nchi ikizama mtajichuja na kubaki pekee yenu mkiwa na dhiki.Wenzenu wapo better off ktk survival.Miaka 50 CCM inapigana vita dhini ya wachaga (wachaga wenyewe hata fikra za kujitete hazipo) na siku zote CCM wanashindwa bado hawajapata fikra mbadala.
Usipo embrass maendeleo, maendeleo yatakuzoa tuu...