Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

hahaha!! lazima atumie airtime kama kawaida kuongezea hilo suala chumvi.

idoyo kuongeza chumvi ni kukoleza jambo Mengi anacho fanya ni kuwa fanya watu wajue nani yuko kwenye usukani na anaendeshaje,yukoje.hivyo mengi haongezi chumvi
 

Kumbukumbu za Mikopo mikubwa hazihifadhiwi kwenye tawi hivyo tawi la Benk yako likiungua Malipo yako palepale . Usiwe na Chuki kubwa hivi kwa Mengi ...
 
Idoyo Profesa yuko sahihi kabisa kama waziri ni lazima akutane na mwekezaji.. Huyo dr wako Mengi mbona anakutana na mabalozi kwani yeye ni mtumishi wa serikali???? nini alichoongea na mabalozi hao kikatekelezeka serikalini??? Bahati mbaya humjui vizuri daktari wako huyo mengi...Mengi ana mengi .. Rejea taarifa ya Rostam Aziz tu itakutosha kujua kuwa daktari wako ni dalali hasa pale alipolilia kiwanja maeneo ya mjini akapewa akakiuza....Hivyo kwa kuhitimisha Dr mengi ni dalali
 
Milango iko wazi, CCM wameita mafundi kuongezea milango ya nyumba na kuhakikisha haifungwi kwa sababu kuna fence inaitwa 'amani' so HAMNA WEZI!!!
 
Mengi ni freemason na franchise za fremason za media anazoe ndesha zinatumika ku support another freemason Standard Chartered Bank STBHK ambayo ndio inayumbisha akili za watu kwenye suala hili.
Jana VIP walitoa maelezo yao kwenye East African na kutupa mwanga juu ya kadhia hili.
Wameeleza wazi kuwa STBHK wamelekezwa na New york court kwamba madai yao yasikilizwe na mahakama za TZ only.
Pia wameeleza wazi kuwa escrow imeanzishwa kwa madhumuni ya kuweka malipo ya mwezi ya capacity charges ya IPTL kwa Tanesco.
In fact kila mwezi IPTL wana issue invoice kwa ajili ya charges hizo na Tanesco wanalipa kwenye escrow invoice husika.
Mgogoro wao ulipo isha kwa wabia wa Iptl kuuza kampuni zake .
Pia VIP wametueleza kuwa IPTL capacity charges zao ni za chini ikilinganishwa na kampuni nyengine zote zinazo uza umeme Tanesco.
Lakini kutokana na ushauri mbovu wa Mkono wame kuwa wakilalamikia makato hayo kuwa makubwa lakini haya hayatajwi.
Ukweli suala hili ni zito kisheria na bunge linaweza kuamua kwa shindikizo la makundi yanayo chukiana na wenye maslahi na mambo ya umeme na wengine wakitumiwa na kina freeman mengi ambao wao wanataka awekwe mtu ambaye atampa vitalu vya gesi bure ili ajitajirishe binafsi halafu apike pilau lake kwa walemavu ati anawasaidia.
Kwenye mahakama hawa iptl na pap na vip watapeta na tutarajie serikali kuja kulipa mabilioni ya fidia kama mwarabu wa dowans alivo shinda kesi zote.
Tuna furahia sasa hivi jazba za kisiasa lakin tujiandae kulipa zaidi.

Kuna wakati jazba kama hii ilimkumba mwalimu nyerere . Serikali iliuza kwa tenda meli yake ya ujamaa na ikanunuliwa na owner mpya akibadilisha jina na kuita LORD RAJPAR Mwalimu akashawishiwa hivi hivi inakuwaje mmeuza meli aahh na jamaa anaita lord meli yetu sijui upuuzi gani Mwalimu akaingia mkenge na kuamua kuitaifisha ...jamaa kaenda zake Swiss na makaratasi yake halali ya kununua ile meli akafungua kesi na zikakamatwa account zote za serukali na jamaa akalipwa mara mbili zaidi !!
Na leo wabunge wanashauri IPTL itaifishwe ...mawazo ya kijamaa ambayo ulimwengu wa sasa hayakubaliki...
 
Ujanja ni kupata na wala di kuwahi.Wakati mengi anaendelea na biashara zake, Muhongo anaenda kula viazi na maji.
 

Pole mkuu , maji yameshamwagia hayazoleki. Kitakachofanyika sasa ni kumshitaki PAP kwa kukwepa kodi ya mabilioni. Na hapo ndipo upenyo wa kuitaifisha utapatikana. Ukiongezea na Serikali ya CCM haitakuwa madarakani, hilo litafanikiwa tu.
 


Ni kweli kabisa hata Anapowanywesha walemavu mwenyewe huita kusaidia jamii hivyo ana deserve tax exemptions!!.. na anakomaa nazo kweli ili asilipe kodi kisa kanywesha walemavu bia!..Ndio maana mawaziri wa fedha wanaopinga huo ujinga huanzisha bifu nao!..Mzee hana usafi wpwote watu wasidanganyike yupo kimaslahi tuu tena maslahi yake binafsi sio ya Taifa
 

Ushahidi umeungua na moto mtu anakamatwa vipi? au unadhani kina zito na kamati zao walikuwepo zamani?... Hebu nenda kalale pimbi wewe hujui ulisemalo.
 
umesahau MANJI a.k.a tajiri wa yanga...alidondokea pua...

Mangi hakumyweza Manji ...alimpeleka mahakamani na mangi alushindwa kesi..akalipa shillingi moja tu alodai manji.
Hata RA hakushindwa na manji ...alimbamiza Kilimanjaro na wengi wakajua ufitini wa mangi ni kutaka misifa na kumbe ni dalali tu hana biashara .
Magazeti na tv sio zake
Coca cola sio yake ni dalali tu
RA yupo ma share zake vodacim na kampuni zake zinafua kwenye madini
Tunaosema kuanguka wameangushwa na uchaguzi kina masha
Mangi gana lolote zaidi ya kupuka pilau kwa walemavu
 
Wote madalali tu, sema position ya Muhongo ilkua rahisi kudalali ingawa ni hatar. Ila Mengi ndo adhan kauwin udalali mnh, asijiachiee
 

Sasa tubadilikeje mana haki na Usawa ni ndoto za kimweri na paa kibongo bongo
 
Pole mkuu , maji yameshamwagia hayazoleki. Kitakachofanyika sasa ni kumshitaki PAP kwa kukwepa kodi ya mabilioni. Na hapo ndipo upenyo wa kuitaifisha utapatikana. Ukiongezea na Serikali ya CCM haitakuwa madarakani, hilo litafanikiwa tu.

Pap hajakwepa amesamehewa..sasa hapo ndo patamu zaidi...sheria sheria ni msumeno hata kwa bunge
 
Pap hajakwepa amesamehewa..sasa hapo ndo patamu zaidi...sheria sheria ni msumeno hata kwa bunge

si unajua alileta hesabu zisizo sahihi ili kukwepa kodi. Hebu fikiri amenunu $milion ishirini yeye akaleta document za kughushi za laki tatu. Hata kwa akili ya kawaida hisa tatu zinauzwa kwa thamani ya zaidi ya $milion 70 , lakini hisa saba zinauzwa kwa fedha za Tanzania milion sita !!? Hii kesi ikienda kwenye mahakama za wenzetu wanaojua umuhimu wa kodi uwezekano wa kushinda ni zaidi ya 90% pia kuna uhalali wa manunuzi ya hisa saba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…