Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Wewe utakuwa umevurugwa ile mbaya...
 
Kiraga ni miongoni mwa GT wa zaman kidogo hapa jukwaani... sijawahi kuona ameshabikia umembea... Kulikoni?...
 
Kiraga ni miongoni mwa GT wa zaman kidogo hapa jukwaani... sijawahi kuona ameshabikia umembea... Kulikoni?...

First thing first, kwa Kiranga GT ni tusi.

Secondly. It is precisely because I do not subscribe to hagiography that I counter this misleading elevation with actual facts.
 
mambo ya uzawa ,udalali na ubabaishaji

Last edited by a moderator:
Mambo badooo...nyimbo ya Remmy

Last edited by a moderator:
kama wewe mwanaume...njoo uwanjani..si yangu hayo..

Last edited by a moderator:
Mnaweza kumlinganisha mwizi wa fedha za umma prof.mlongo na Dr.mengi? mengi aliwahi kuiba hela za umma? au anatumia zake
 
na kweli uwanjani wana shindwa wanakimbilia ..kwenye immunity..

Last edited by a moderator:
Kuna mijitu ina wivu sana na kubarikiwa kwa mengi, yaani iko tayari kutetea mafisadi kama mlongo, kwaajili ya wivu tu?!
 
haha Muhongo alileta data za kiwendawazimu kwa mbwembwe ,hooligans wa CCM wakapiga kelele nyingi km kawaida yao ya kutotmia akili.Data kuwa MEngi sijui ana Dar Ngapi,wakati waarabu na wahindi walikuwa na eneo kubwa kuliko yeye sana.Jumla yake hizo Dr sijui zingepatikana wapi ktk offshore ya Mtwara.Thanx God haikuchukua muda kuwaacha uchi
 
Episode one ya Escrow Saga,wasanii wameshinda,episode two na three,wasanii wataumbuka -WAKATI UTASEMA.
 
Kuna mijitu ina wivu sana na kubarikiwa kwa mengi, yaani iko tayari kutetea mafisadi kama mlongo, kwaajili ya wivu tu?!

Hakuna mwenye wivu nae.
Miradi yake anapata upendeleo mkubwa kutoka serikalini kwa ticket ya kuwa mzawa .
Mererani unaambiwa hajawahi kulipa kodi miaka yote na wafanyakazi hawajalipwa haki zao.
Ni mtu muovu mwenye wivu na mbinafsi.
 
Huyu Mzee ni kama Nabii Fulani, he has "powers from within", ukimtibua... safari!.

Kurejea kwa Prof. Muhongo kwenye cabinet, sasa ni ama 'Mzee wetu' zile nguvu zinapungua kwa kadri umri unavyosonga, ama Profesa ni zaidi ya Mzee wetu!, kule kwao Mosoma 'ameaga!'

Pasco
 
Hatimaye muda wa tukio hili ndio huu umewadia.

Watu walio karibu na huyu Dogo wa Darisalsama, wamtahadharishe dogo, siku zake zinahesabika.

P.
 
Hatimaye muda wa tukio hili ndio huu umewadia.

Watu walio karibu na huyu Dogo wa Darisalsama, wamtahadharishe dogo, siku zake zinahesabika.

P.
Ila akili za wabongo kuzielewa mpaka uwe taahira, maana sasa kutimuliwa Muhongo kila mtu anataka apewe Credit kwamba ndiye aliyesababisha

- Siyo cha MENGI, LEMA & NASSARI, KAKOBE, ZITTO nk

- Ujinga mtupu
 
Na wewe ulitaka nani apewe credit?
 
Na wewe ulitaka nani apewe credit?
Ni kawaida tu mtu kuondolewa kama uliwekwa, na siyo kwamba umeondolewa eti kwakuwa ulikosana na fulani ambaye hana hata ushawishi kwa boss wako. Mnawaamini watu mpaka mnawapa uwezo kimungu kwamba eti ukikosana nao basi - UPUUZI MTUPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…