IPP wanafanya wachaga pekee?? Bonite wanafanya wachaga pekee?? Hiyo habari ya Migodi yake kuwa wachaga ni uongo na upuuzi wa kupuuzwa sababu hata aliyekua mshirika wake mkubwa na msimamizi wa migodi yake Henry Nyiti hakuwa Mchaga.. By the way huko kwenu Tunduru si kuna migodi?? omba kazi huko
Unanipangia sehemu ya kuomba kazi? Mengi akatafete gesi huko Moshi Kilimanjaro. Mtwara hatumtaki. Mengi ni tapeli, mbinafsi
IPTL inayoitwa hewa leo ndiyo iliyokuwa ikiiuzia Tanesco umeme na kulipwa capacity charge, PAP inayoitwa hewa leo ndiyo iliyoridhiwa na hukumu ya jaji Utamwa irithi mali na madeni ya IPTL...Singasinga Sethi kwa kuwa tu ni mzawa basi hastahili kununua IPTL wala kulipwa kilicho cha IPTL....Kurithi mali na madeni tafsiri yake ni kurithi na pesa inayopaswa kulipwa IPTL kutoka Escrow na ndio maana Gavana hakuwa na shaka na hili baada ya kujiridhisha...Lakini kwa kuwa wanasiasa na hasa wabunge wasaka tonge wamelainishwa kwa vijisenti na wanayo kinga ya kibunge basi wanahakikisha wanakuwa wao walalamikaji;wao wasikiliza malalamiko na wao watoa hukumu....Huku ni kuingilia kabisa mihimili mingine...Na wakishatimiza malengo yao utawasikia wakijigamba mitaani kwamba tumemkomoa...Wakati umefika sasa wa kuwanyima kura na kuhakikisha sheria ya kinga ya bunge inarekebishwa ili watu wasio na hatia na wasio na uwezo wa kusema bungeni waweze kujitetea kabla ya kuchafuliwa CV zao...Mmemchafua Askofu Kilaini bure bila sababu za msingi.
Mwanzo nilikuwa nadhani watu wote hawajui kuwa mengi ni mpuuzi na mwizi ila anawalaghai watu kwa vitu vidogo vidogo wakati yeye anaiba mabilioni kumbe mpo baadhi ya watanzania mnamjua mengi vema nilidhani niko peke yangu.
Unanipangia sehemu ya kuomba kazi? Mengi akatafete gesi huko Moshi Kilimanjaro. Mtwara hatumtaki. Mengi ni tapeli, mbinafsi
minyoo umekunywa Zentel?Chezea Mengi wewe,,,,,, huyo Babu mme wa Jack si Mtu wa kumwonea huruma kwani yeye huwa Hana huruma pindi akidhamilia kutenda jambo hususani kwa wale wanaokuwa wamegusa Udalali wake.
Huyo Mzee wa IPP kwanza anapenda Sifa sana,mara nyingi huwaalika mabarozi wa Nchi za Nje ofisini kwake wakati yeye si Mtumishi wa Umma, Habari zake ITV hupewa Dakika nyingi hata kama anaongea Uzushi zushi tu,na Habari muhimu kupewa DK chache sana, Nina imani Mengi atauchukia Mtandao wa JF maana Leo amepewa Makavu Live.baada ya kuwa amejisahau na kujiona ni Mungu Mtu kila analofanya watu wanaogopa kumkosoa,wewe Mzee wa ipp kwanza ni Mpenda Michepuko hakuna mfano nje ya kazi na biashara zake si mwadilifu hata kidogo, kwa kifupi Mengi si Mtu wa kumwamini kabsa ni Mtu hatari kuliko wengi wanavyodhani, Pia mengi huwa ni Limbukeni wa kingereza akitembelewa na Mzungu mmoja au wawili huku waswahili wapo 1000 yeye huzungumza kingereza ili amfurahishe Mzungu pasipo kuwajali waswahili kama wanamwelewa. Mengi ni Dalali wa kila kitu aliwahi kupiga udalali Pesa za misaada juu ya Ukimwi zilitoka ulaya zikapitia kwake . Chezea a Mengi wewe....
Mengi akikusikia atakumeza maana Ugonvi wake na Waziri mhongo umeanzia hapo hapo, mengi anataka kumiliki 80% yote ya Ardhi yenye Gesi kisha afanye Udalali na Uranguzi . Chezea Mengi wewee........
Unanipangia sehemu ya kuomba kazi? Mengi akatafete gesi huko Moshi Kilimanjaro. Mtwara hatumtaki. Mengi ni tapeli, mbinafsi
Ni kweli huyo Mzee Mengi huwa anapenda Ligi sana na Mara nyingi hutumia Mapesa kibao ili apate Ushindi, Mengi ana Mengi maovu Kama lilivyo jina lake aliwahi kukopa NBC bank kisha wakachoma nyaraka ili kuficha ushahidi hatinae NBC ilifirisika ikaja kuokolewa na Uwekezaji, Mengi anawalipa wafanyakazi wake mishahara Mibovu huku akitumia Pesa nyingi kwenye Fitina juu ya Prof Mhongo Kisa eti amemnyima asifanye Udalali vitalu vya Gesi. Huyo Mengi huanzisha jambo kisha hutengeneza mazingira ya kupata huruma za Wananchi, ampapo wengi huingia kichwa kichwa kumtetea Mengi pasipo kujua kuwa Mengi ni Dalali na Hana Uchungu na Pesa za walipa Kodi bali yeye anaangalia masilahi yake.
Hapo utakua na chuki na Mengi nimewahi kufanya kazi Ipp na mzee Mengi anawajali sana wafanyakazi wake.
Anawajali sana wachaga wenzake na kidogo wanakaskazini.We utakua ni mchaga wewe.
mengi anabakia dalali wa vitalu na muhongo dalali wa iptl