THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,864
- 15,238
The big show umeona ya kilango,ukiona ya mramba,kama huna taarifa basi hyo ndo system Leo mnacheka kesho lupango
Nenda shule kasome sio kuhorojoka na maneno ya mtaani.kabisa na akili zako wazee zako unaambiwa eti alimaliza units zote akawa anasubiri kumaliza tu...sio mnakuja Jf na habari za kutunga..
Jadi,
Kuna mwandishi alifika NSSF kutaka kumhoji Dr. Dau kuhusu
shutuma kuwa NSSF ina ajiri Waislam.
Afisa Uhusiano wa NSSF akamwabia angependa maswali yake
kwa Dr. Dau.
Afisa uhusiano alipoona kuwa moja ya maswali ni hilo la kuajiri
Waislam akamuuliza kwani hairuhusiwi kuajiri Waislam?
Mwandishi hapo akaanza kubabaika kwa kuwa hakutegemea swali
kama lile.
Afisa Uhusiano akamwambia naweza nikakuunganisha na Dr. Dau
lakini mimi nitaka nikuonye.
Akamwambia kuna shirika la serikali limefanya mahojiano hivi majuzi
na walioajiriwa ni Wakristo watupu.
Una nini la kusema kuhusu hili?
Mwandishi akasema hana taarifa hizo.
Akampa jina la shirika hilo na akamshauri kwanza aende huko kuuliza
akimaliza ndiyo arejee NSSF.
Mwandishi akakusanya mizigo yake akaondoka mnyonge.
sasa kama kapiga hela za wanachama wa NSSF watu tukae kimya kwa 7bu alikuwa mkurugenzi wakati kaiba fedha za umma?Ukimuandama mtu kwa dini yake jua atatetewa kwa dini yake!
Ushawahi kusikia Rostam,Karamagi, Said lugumi katetewa kwa dini yake?
Chuki yenu dhidi ya Dr.Dau imeanza tangu kateuliwa January 2001 kabla hajaanza lolote NSSF mlishaanza Chuki na husda zenu.
Kama ni tuhuma za ufisadi wanazo wengi what is so special kwa Dau mpaka mnafikia kumtoa kwny vigazeti vyenu anasulubiwa?
"...Kama mnashindana shindanen kwa yaliyo bora..."
Fanyeni kazi bora kuliko aliyofanya badala ya kuishia kufoji Auditors report na kusambaza na kutumia nguvu kubwa kumuandama wakati alikuwa ni Mkurugenzi tu Mfuko wa hifadhi ya Jamii!
wewe mzee mbona unazeeka vibaya? tetea hoja, acha kurukaruka. kutembea dunia kwa dr dau hakuwezi kumuondolea tuhuma za UFISADI zinazomkabili. subiri siku akifikishwa mahakamani uende ukamtetee.Franco Zetta,
Unajaribu kunifedhehesha kwa lugha ya kebehi na dharau.
Waswahili tuna msemo: Asiyekujua hakuthamini.
Hayo usemayo mengine wala hayapo katika mjadala wetu,
Hunifahamu kwa hiyo unaweza kusema lolote likujialo akilini.
Wala hoja hii kwangu mimi toka nakujibu mwanzo haijapatapo
kuwa ni kwa kuwa Dr. Dau kaondolewa NSSF na kupewa ubalozi.
Mimi nimetembea dunia lakini siwezi kufikia hata theluthi ya nchi
ambazo Dr. Dau katia mguu wake.
Hii ni moja katika maajabu yake.
Rejea tena nikupe mengine ya Dr. Dau.
Sio daraja la Dau??Magufuli kashauri hilo daraja liite "DARAJA LA NYERERE"
Hapo sasa!
wewe mzee mbona unazeeka vibaya? tetea hoja, acha kurukaruka. kutembea dunia kwa dr dau hakuwezi kumuondolea tuhuma za UFISADI zinazomkabili. subiri siku akifikishwa mahakamani uende ukamtetee.
Makodinda,Mzee wangu Mohamed Said napata ukakasi na maneno yako sana....inaonyesha kuna kitu kimekukaa rohoni baada ya huyo bwana kutolewa Nssf..kuna sehemu hapo nyuma ulisema moja ya maajabu yake kutembea nchi nyingi duniani sijajua umeweka kwenye maajabu kwa misingi ipi...hila yote kwa yote punguza mahaba ya ukereketwa maana yakizid sana yanakuwa ugonjwa
Morenja,View attachment 340860zaidi sana kwa unafaika huu .lazima utetee
Ki-ukweli kuna mushkeri, hata TBC wakati wa prime time (saa mbili usiku), clip ya Dr. Dau ilikuwa na urefu wa sekude takribani 0.25!!!Ila kiukweli wahusika wakuu wengine wa sherehe ukitoa rais na mwingine, walikuwa wakitaja wageni waalikwa ila Dr. Dau hawakuwa wanamtaja. Hata katibu wa shughuli hakumtaja.
Na lazima utumie akili kujiuliza, kwa nini rais alimuita Dr. Dau?? Ni baada ya kuona hamna aliyemtaja kama ambavyo 'alistahili'!
Hapo ni sawa.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni - Magufuli
Hapo ni sawa.
Dau ana kila sababu za kualikwa kwenye huo ufunguzi. Lakini kama ana majibu tunaamini atashuhulikiwa tu.
Ufisadi upi km nyir sio wanafiki?dr dau haandamwi kwa DINI bali anaandamwa kwa UFISADI. wale waliokosa hoja ndio wanahusishaj suala hili na dini. wapuuzi wakubwa!
Mkuu kuna manunda hayajui hili na badala yake yanashangilia UJINGA tu eti kwa kuwa ni 'MWENZAO'Hata mm nashindwa kuelewa
ina maana Dr Dau angebakia basi Daraja la Dar - Zanzibar lingewekwa?
hivi mnajua hizo pesa zas Wanachama wa NSSF hawaambulii lolote
hakuna cha riba
hakuna kupewa kwa wakati
wengi wanafariki na kuziacha nyuma
km ningekuwa na uwezo mifuko yote ningeifunga ukabaki mmoja tu
toka Mzazi wangu alipokosa na akafariki tukaambiwa yameisha siiamini tena mifuko hii ya ujanja ujanja