MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,038
- 2,224
Kuna watu hawana cha kufanya zaidi ya dini na sifa za kijinga. Rais kumpongeza Dau haijamfanya kuwa mwanzilishi wa Taifa hili na hata haiondoi wasiwasi wa watu juu ya tabia yake yoyote mbaya anayoweza kuwa nayo. Hata wale wanaofahamika kwa upuuzi wao ktk dunia hii walifanya makubwa kuliko hata ya Dau!Humu ndani watu wana mihemuko, watu wanaweka busara mfukoni wanaendekeza mihemuko kwasababu zozote zile si sawa namuunga mkono raisi kutambua mchango wa Dr.Dau raisi amefanya kizuri kabisa aibu ni kuanza kukashifiana humu ndani kwa jambo jema kama hilo eti kwasababu tu ya dini, Ritz siko huko kabisa na sitaki kuwa sehemu ya mijadala ya kukashifiana haina tija.
Hitler anasifika hadi leo kwa upuuzi wake lakini huwezi kumuondoa kwenye historia ya maendeleo ya ujerumani kama nchi. Sasa huyu Dau kuongoza taasisi moja tunamzungumzia utadhani kaokoa roho za watu wanaoangamia!