Dr. Ramadhan Dau aunguruma darajani Kigamboni

Dr. Ramadhan Dau aunguruma darajani Kigamboni

Mudeer...Allahu Akbar...nakufuatilia vyema sana...

Hiyo Suit ujue ni kiboko sana
Makodinda,
Bahati mbaya sana kuwa kauli zangu zinakutia ''ukakasi.''
Kuwa kuna jambo limenikaa rohoni hilo umesema kweli.

Sipendezwi na hizi chuki dhidi ya Dr. Dau na ndiyo maana
niko hapa tunajadili lakini sijachukia yeye kutolewa NSSF
na kufanywa balozi.

Kuna aya katika Qur'an Allah anasema unaweza kulichukia
jambo nalo lina kheri na wewe na ukalipenda jambo lina
shari nawe.

Hili la ''globe trotter,'' hakika ni katika maajabu yake na mimi
si mtu wa kushangazwa na hilo kwani Alhamdulilah nimesafiri
kiasi changu.

Nilipata kuzuiwa siku za nyuma Heathrow Airport London kisa
pasi yangu imeingia nchi nyingi sana wakataka kujua vipi na
siku hizo ni kijana katika miaka ya kati.

Miezi mitatu baada ya mkasa ule nikaja tena London.

Mtu wa Uhamiaji kashangaa akaniuliza, ''Wewe si juzi juzi tu
ulikuwa hapa?''

Haukupita mwaka nikaingia tena London lakini nikitokea Paris.
Hawa jamaa wanapenda sana kuweka taarifa.

Akaniuliza nimekuja kufanya nini?

Nikamwambia nenda Cardiff nina shida kidogo na nitaondoka
hata juma simalizi.

Juu ya hilo ilikuwa wakati wa Hija na nilitaka nipite Uingereza ili
niswali Eid Kubwa Regents Park Mosque London.

R6C8a7km-YmWQVzxU-s5fsYEyvGilxIvLOjU60FQ36Ucjvu9zGKnuBGO_W6hSSZtn4lzn17T0vag8UKIx0VTKN2UI9XmfEg30tEk_EG2U-h7neEH_BFA-uuEubgpKDQIsgumcR9AyDVBqVfYyUeXRDGg_7e5No87Ohb_l9bO74r4YQQ5jsr6h28MP1xj7VlEW1fs5XLksAaYWXX6JohoxwUzPsiKQuBbBln_jeQIeQhMgMhm1Ve9SzoRWZx_fLdiJs_zyB5z3BEXmTxpgZWVGhnRuS1J6PiqhO4J6MyUGhCC3FuDsvUXomHK3DwF877AT-wyQ1p_h8_peWeARoXzuQhkKLQI8ehkM_05hMHYCWdpyAvSLnGoUlPziWKjJrpkIApXmqBasjOpGS3gk-uwjUawGMfCRhoYub1XWqILxAI3FWc6MLegmoGDhlKs5cj1GJBULjwi1T_llsFh7vssp3gvx10XunS_qdOUvBIbzXqYORfLW0IYLQEf2LqbBomOj9jl4FK4c8ZQyDOez9hdgVbY7j4Dr3RTxZtQw30nSPfd1JCQdOIZzcWZW4OxMQx1Lkf11g=w435-h643-no

Niko Paris Central Mosque

Kwa hiyo labda kwa kuwa wewe hujui ukubwa wa hilo ukaona
si kitu kukuambia kuwa Dr. Dau kaitembea dunia.

Ama kuhusu mahaba na ukereketwa vyote hivyo ni sifa zangu
wala hukukosea.

Katika mafunzo yetu hizi ni sifa njema sana kwani zinampamba
mtu katika jamii.

Sifa hizi ajabu yake hujidhihirisha siku unapokwenda kuzikwa.

Baba yake Dr. Dau alipokufa alipata maziko hayapata kuonekana
Dar es Salaam.
 
Vizabizabina wameumizwa sana roho na kufagiliwa kwa Dr Dau na magufuli...

Teh teh teh

Mkuu kafagiliwa kwa kujenga daraja pia atamshughulikia vivyo hivyo,jiulize kwa nini board ilivunjwa kabla ya muda wake na baadae dau ikiteuliwa ubalozi hewa kifuatacho. ITV......
 
Mudeer...Allahu Akbar...nakufuatilia vyema sana...

Hiyo Suit ujue ni kiboko sana
Big Show,
Ahsante sana.

Niko hapa namsikiliza marehemu Abdul Haleem Hafidh
kupitia Sure Radio.

Huyu alikuwa mwimbaji mashuhuri Misri katika miaka
ya 1950.

Sasa wakati namsikiliza nikamkumbuka Dr. Dau.
Iko siku mimi na Dau tulikuwa Jeddah duka la CD.

Yeye akanunua CD za Abdulhalim Hafidh.

Ikapita miaka siku moja mimi niko Muscat na Dr. Harith
Ghassany
tuko duka la CD akaninunulia mimi CD za Nat
King Cole
.

Dr. Ghassany akaniuliza nimchukulie na Dau zawadi ya Nat
King Cole.

Mimi nikamjibu nikasema, ''Sidhani kama Dau anamjua Nat
King Cole
.''

Tukaangua kicheko.

Lakini Dau akipanda gari yangu kuna muziki wa Nat King Cole
alikuwa anasikia nikiuweka lakini hafatilii.

Basi akanunua CD za Abdul Hafidh na Um Kulthum akanipa
nimletee.

Sasa nilipomfikisha Dau mzigo wake nikamwambia, ''Harith alitaka
kukununulia CD za Nat King Cole lakini mimi nikamwambia wewe
hujui hata huyo Nat King Cole ni nani?''

Tukaangua kicheko kingine.

Mwisho Dau akaniluliza mimi, ''Kwani Nat King Cole ananijua
mimi?''

Tukaangua kicheko kingine.
Ni miaka mingi sana sasa imepita.

Siku zile tulikuwa vijana sote mimi, Ramadhani na Harith.
Lakini mimi ni mzee na ni kaka yao.

Wenzangu bado vijana.
 
Big Show,
Ahsante sana.

Niko hapa namsikiliza marehemu Abdul Haleem Hafidh
kupitia Sure Radio.

Huyu alikuwa mwimbaji mashuhuri Misri katika miaka
ya 1950.

Sasa wakati namsikiliza nikamkumbuka Dr. Dau.
Iko siku mimi na Dau tulikuwa Jeddah duka la CD.

Yeye akanunua CD za Abdulhalim Hakim.

Basi akanunua CD za Abdul Hakim na Um Kulthum akanipa
nimletee.

Sasa nilipomfikisha Dau mzigo wake nikamwambia, ''Harith alitaka
kukununulia CD za Nat King Cole lakini mimi nikamwambia wewe
hujui hata huyo Nat King Cole ni nani?''

Tukaangua kicheko kingine.

Mwisho Dau akaniluliza mimi, ''Kwani Nat King Cole ananijua
mimi?''

Tukaangua kicheko kingine.
Ni miaka mingi sana sasa imepita.

Siku zile tulikuwa vijana sote mimi, Ramadhani na Harith.
Lakini mimi ni mzee na ni kaka yao.

Wenzangu bado vijana.
Basi na huyo Nat King Cole alipigwa vita na watu weupe kwa ile sauti yake km Dr Dau anavyopigwa vijembe na hawa makatonta kwa Kipaji chake.

Two Legends different wars of heart and mind.

Makatonta Ajeeb Wallah.
Laa yuzidu dhaalimina illa khasara.

Swadakallahu laadhim.
 
Kwa wale waliowahi kushika aina yoyote ya uongozi wa,Jumuiya, vyama,mashirika n.k. wanaelewa vizuri jinsi tuhuma za kiajabu zinavyoundwa na kuwachafua watu bila ya kuwa ni wakosa au wahusika.Bahati mbaya tuhuma hizo huenea haraka mno na kuaminika kirahisi hadi huwa vigumu kufutika hata kama ukweli utadhihiri.
Katika kila jamii huwa kuna kundi lina uwezo wa hali ya juu kueneza habari za uzushi na zikaaminika.Ajabu ya mambo mara nyingi kundi hilo huwa ni lile “LISILOONEKANA” na hata wale wanaoshiriki huwa hawakubali kama wamo humo!!! UHATARI wa kundi hili umezidi katika ulimwengu wetu mpya wa mitandao ya kijamii.Ubaya wa kundi hili hautofautiani na ule wa waandishi wa habari ambao wengi wao hutumiwa na wamiliki wa vyombo hivyo wanaojali tu maslahi yao na kuyalinda kwa udi na uvumba.
Uamuzi wa kuyaeleza haya niliupata nilipokuwa naperuzi gazeti la Dira ya Mtanzania toleo No 411 Apr 18-24/2016 lililokuwa likimzungumzia Dr.Dau kuwa anamiliki BILIONI 100 !!! pia ni mmoja wa wamiliki wa timu maarufu ya New Castle, UK!!!(Nikasoma mengi mtandaoni kuhusu Dr Dau na NSSF )
Ajabu ya mambo Dr.Dau siku ya ufunguzi wa daraja la Kigamboni, alipewa nafasi na mheshimiwa Rais JPM ambae hadi sasa amethibitisha wazi kuwa hana simile na wezi wa mali ya umma.Ndipo hapa nilipoanza kujiuliza..ikiwa Rais kaweza kutumbua jipu la Mkurugenzi wa jiji la Dar ,Wilson Kabwe mbele ya umati wa watu na akamkaribisha Dr.Dau kuongea machache kwa kuutambua umuhimu wa Dr. huyo ktk ujenzi wa daraja hilo, ina maana Rais ANAELEWA VIZURI KUWA Dr DAU SI JIPU!!! ANGEKUWA JIPU ASINGEMKARIBISHA NA WALA ASINGEMTEUA KUWA BALOZI.
Waandishi wa habari hawawezi kujua mengi kuliko Rais wetu ambaye alitoa somo zuri aliposema “MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI”

kuna uhusiano gani kati ya kuelezea rai yangu na kutumwa? Ulichohitajika ni kunisahihisha kama nimekosea katika niliyoyaeleza.Kauli yako inaonesha wazi huna hoja inayojitegemea au utakuwa ni katika wale wenye misimamo isiyobadilika hata kama unapewa hoja za kukubadilisha.
 
Kwa wale waliowahi kushika aina yoyote ya uongozi wa,Jumuiya, vyama,mashirika n.k. wanaelewa vizuri jinsi tuhuma za kiajabu zinavyoundwa na kuwachafua watu bila ya kuwa ni wakosa au wahusika.Bahati mbaya tuhuma hizo huenea haraka mno na kuaminika kirahisi hadi huwa vigumu kufutika hata kama ukweli utadhihiri.
Katika kila jamii huwa kuna kundi lina uwezo wa hali ya juu kueneza habari za uzushi na zikaaminika.Ajabu ya mambo mara nyingi kundi hilo huwa ni lile “LISILOONEKANA” na hata wale wanaoshiriki huwa hawakubali kama wamo humo!!! UHATARI wa kundi hili umezidi katika ulimwengu wetu mpya wa mitandao ya kijamii.Ubaya wa kundi hili hautofautiani na ule wa waandishi wa habari ambao wengi wao hutumiwa na wamiliki wa vyombo hivyo wanaojali tu maslahi yao na kuyalinda kwa udi na uvumba.
Uamuzi wa kuyaeleza haya niliupata nilipokuwa naperuzi gazeti la Dira ya Mtanzania toleo No 411 Apr 18-24/2016 lililokuwa likimzungumzia Dr.Dau kuwa anamiliki BILIONI 100 !!! pia ni mmoja wa wamiliki wa timu maarufu ya New Castle, UK!!!(Nikasoma mengi mtandaoni kuhusu Dr Dau na NSSF )
Ajabu ya mambo Dr.Dau siku ya ufunguzi wa daraja la Kigamboni, alipewa nafasi na mheshimiwa Rais JPM ambae hadi sasa amethibitisha wazi kuwa hana simile na wezi wa mali ya umma.Ndipo hapa nilipoanza kujiuliza..ikiwa Rais kaweza kutumbua jipu la Mkurugenzi wa jiji la Dar ,Wilson Kabwe mbele ya umati wa watu na akamkaribisha Dr.Dau kuongea machache kwa kuutambua umuhimu wa Dr. huyo ktk ujenzi wa daraja hilo, ina maana Rais ANAELEWA VIZURI KUWA Dr DAU SI JIPU!!! ANGEKUWA JIPU ASINGEMKARIBISHA NA WALA ASINGEMTEUA KUWA BALOZI.
Waandishi wa habari hawawezi kujua mengi kuliko Rais wetu ambaye alitoa somo zuri aliposema “MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI”

WELCOME NEW MEMBER.kisha umejituma kujitetea.

swissme
 
Wallahi Mudeer...ni burdan sana kukufuatilia mtiririko huo mtiririko wako wa jins ambavyo mmeyafanya yenuu...

Unajua hawa makatonta hawapendi tuuuh kuskia au kuona hayaaa...

Ila ni chuki tuh na husdaaa
Big Show,
Ahsante sana.

Niko hapa namsikiliza marehemu Abdul Haleem Hafidh
kupitia Sure Radio.

Huyu alikuwa mwimbaji mashuhuri Misri katika miaka
ya 1950.

Sasa wakati namsikiliza nikamkumbuka Dr. Dau.
Iko siku mimi na Dau tulikuwa Jeddah duka la CD.

Yeye akanunua CD za Abdulhalim Hakim.

Ikapita miaka siku moja mimi niko Muscat na Dr. Harith
Ghassany
tuko duka la CD akaninunulia mimi CD za Nat
King Cole
.

Dr. Ghassany akaniuliza nimchukulie na Dau zawadi ya Nat
King Cole.

Mimi nikamjibu nikasema, ''Sidhani kama Dau anamjua Nat
King Cole
.''

Tukaangua kicheko.

Lakini Dau akipanda gari yangu kuna muziki wa Nat King Cole
alikuwa anasikia nikiuweka lakini hafatilii.

Basi akanunua CD za Abdul Hafidh na Um Kulthum akanipa
nimletee.

Sasa nilipomfikisha Dau mzigo wake nikamwambia, ''Harith alitaka
kukununulia CD za Nat King Cole lakini mimi nikamwambia wewe
hujui hata huyo Nat King Cole ni nani?''

Tukaangua kicheko kingine.

Mwisho Dau akaniluliza mimi, ''Kwani Nat King Cole ananijua
mimi?''

Tukaangua kicheko kingine.
Ni miaka mingi sana sasa imepita.

Siku zile tulikuwa vijana sote mimi, Ramadhani na Harith.
Lakini mimi ni mzee na ni kaka yao.

Wenzangu bado vijana.
 
Wallahi Mudeer...ni burdan sana kukufuatilia mtiririko huo mtiririko wako wa jins ambavyo mmeyafanya yenuu...

Unajua hawa makatonta hawapendi tuuuh kuskia au kuona hayaaa...

Ila ni chuki tuh na husdaaa

Hakuna mwenye wivu na dau ila kama alivyosema jpm haki yake atapewa aidha kwa mazuri alofanya bila kusahau maovu alofanya pia,ktk mazuri dau aliweza kuweka uiano murua kati ya waislamu na wakristu na pia aliweza kulifilisi Nssf hadi ukishindwa kulipa wanachama
 
Wallahi Mudeer...ni burdan sana kukufuatilia mtiririko huo mtiririko wako wa jins ambavyo mmeyafanya yenuu...

Unajua hawa makatonta hawapendi tuuuh kuskia au kuona hayaaa...

Ila ni chuki tuh na husdaaa

The Big Show,
Hasad ni moja ya maradhi mabaya sana ya moyo.

rdkF8-szy85uzXphuxwVPnZNaufEHqHm36v_hu-WHxlkf1z9oy9tRq1mrfmbY31aMHzeyQn0ceMPGLfSbB2jgiHJaF5_HvBBu8jz8uWzsk8ZBTqye2ZNEfo9gFIdsACSf_pgFQ7Jtozgm6etOBKp9jmuZ4ormH_N6w_o4sEmt-4zA4GpPXJPD1fA9yAb3GUevNuFpHOs_4Rg5IZnsbiengKvdFpy9Xb7PIpoNZMby78ISLbmzs9Nl2cCr1nZzaiQpB2S_loWIxqxMBjWfLlhsbh-zrWlsrQhhxUqM2Uzn0K1BSI_hmoeURBaGC0d1ykuPQnCRHc-atPxlcWpQ2Ke4nBVr2QEQxPZ1S2hCo8dW-7QOTKo6YSw0BjX6aCfyQZhP627_z5BI5antQ4wOBKyWiIKUt2eqDxZ5-2vopsFK0dmtBV3s8UcAcCccIRhlR2KQR3UhSihu_O4pst-_b_UV3BFK0vnTge87EKtaXbIOUJjxhCASN9qVsyDyxnrCYv3wbgEb1r9FO5Tz7MBAyQOK42rzXK4eu5XaMet6fZquFg0I8Q7HBAmjZZyT0No-Aq2b2LkLg=w663-h690-no

Mwandishi na Dr. Dau Jeddah 1997
 
Hakuna mwenye wivu na dau ila kama alivyosema jpm haki yake atapewa aidha kwa mazuri alofanya bila kusahau maovu alofanya pia,ktk mazuri dau aliweza kuweka uiano murua kati ya waislamu na wakristu na pia aliweza kulifilisi Nssf hadi ukishindwa kulipa wanachama

Nssf ipi inayoshindwa kuwalipa mafao wanachama?teh teh teh...

SSRA hapa juz ilikuja kuwaambia achen kuwapotosha wananchi lakin bado hamsikiii...

Mna nin kwan?hiv unawezaje kwanza kuongea vitu ambavyo huna hata uhakika navyo?teh teh teh
 
Siku ujinga ukikutoka na kugunduwa hawa wazee ID yao ni Utanganyika na si uislamu basi utaifurahia dunia na utaona ni mahala pema pa kuishi.

Unaweza kunitajia katika hao wazee kuna aliyepigana vita ya majimaji?

Ukitaka uheshimike na kama una nia njema andika watu walioshiriki harakati za uhuru unaowajuwa wewe na siyo dini zao, utadharaulika na tutakuona ni mpuuzi tu sawa na wapuuzi wengine.

By the way wajurishe waislamu wenzako wa kariakoo kwamba daraja si la Dau bali la Nyerere.

= wajulishe
 
Pole kitilya,pole mramba,pole dau,pole kilango poleeeni,bade ulikuwa ni misheni ya jk na rizi ili waweze kuoitishia makontena,ona sasa makontena zaidi ya 11 elfu yalipita bila kodi ingekuwa China za hizi kichwa cha bade ningekuwa kimetenganishwa na mwili

Rished Bade ni Mmasai, Lowassa? Uchaguzi? Bade hana tuhuma yoyote na yeye ndiye alifikisha taarifa za ubadhirifu kwa Rais na TAKUKURU na alilisema hilo Live alipokuwa akiongea na Majaliwa.

Unganisha dots.
 
Nssf ipi inayoshindwa kuwalipa mafao wanachama?teh teh teh...

SSRA hapa juz ilikuja kuwaambia achen kuwapotosha wananchi lakin bado hamsikiii..

Mna nin kwan?hiv unawezaje kwanza kuongea vitu ambavyo huna hata uhakika navyo?teh teh teh
Hukumbuki kuna wanachama walileta vurungu tawi LA mlimani city wakaja na watu wa ITV kipindi kilirushwa live jiji letu saa 12 jioni wanachama walienda benki wakaambiwa hakuna pesa nssf, unataka ushahidi zaidi ya huo tena,pia fanya utafiti kwa wafanyakazi wa Nssf watakupa ukweli,Ssra wana draw attention za wafanyakazi kuwapunguza presha tu
 
Very low thinking! Unaingiza hili na lile ili iweje? Unaandika yasiyonihusu nikusaidie nini? Kama wewe ulimjua Dau ktk mizunguko yenu, ulitegemea nami nimfahamu? Nini cha m,aana alichowahi kufanya hadi nimfahamu. Dau tumemsikia hivi karibuni kwa hayo niliyokutajia sasa wewe unalazimisha eti mimi. Una elimu gani wewe?

Ukisoma huelewi basi hata picha huoni?
 
Acha kugushi ushahidi mkuu. Alipoteuliwa 2001, dau alikuwa hata hajulikani. Hakuna aliyemfahamu Dau. Dau amejulikana baada ya habari kusambaa kwamba NSSF ilikuwa na ajira za kidini. Ni bahati mbaya kwamba yeye mwenyewe alijidai mtu wa busara kwa kutolisemea hilo.

Kwa sasa alipoondolewa, likaja kundi la kumtetea kwa nguvu sana na kuonyesha kaonewa. Kaonewa kitu gani? Kwani alipoteuliwa alipendelewa? Kwa nini iwe mpaka kifo? Angalia wachangiaji wamnavyojiuliza, ni nini cha kunufaisha alichokuwa akikitoa mpaka ionekanae eti kaonewa. NSSF siyo kampuni yake! Kama ni wizi, yaweza kuwa ni kweli. Nani unayemfahamu ktk serikali iliyopita ambaye hakugeuka tabia na kuwa mwizi?
Hivi nyie jamaa zetu wa kigalatia wa kitanzania huu ndio uwezo wenu halisi wa kuchambua na kuchanganua mambo au mnajitia umajinuni tu? Why very low to such extent?
 
Back
Top Bottom