Dr Ndodi Acha Wizi!

Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?

mkuu kwanini ung'ang'ane nae wakati ushajua jamaa mwizi chamsingi ni kuzuia watu wasiende tu kwake kuliko kusubiri kitu kisichokuwa na msaada kwako na tanzania nzima..
 
walio fanya upasuaji wa mguu badara ya kichwa na kichwa badara ya mguu nao ni ma Dr, walisomea wapi?, eti hudumasafi za Hospitari we unaishi sayari gani

mi mwandiko wako tu natamani kusikia na unavyoongea hahahaha!!
 
kumbe na wewe alishakula kichwa kwako!!! isije kuwa ni pasono bifu!

Mwaka juzi nilienda ofisini kwake, anipe dawa ya alergy, akadai anayo, nilipomwambia anipe guarantee ka nitapona, akadai nitoke ofisini, kuna watu wengi huko nje wanamsubiri.
Nikacbukua lakini sikupona.
 
watu bachela sayans ni comp scs, kitaa mwaka wa 3 hawana kazi na kuishika hiyo ipad ni ndoto!


Hapa Dr Manyaunyau akiwa kwenye saloon yake akifurahia bidhaa za apple pesa kutoka kwa wavivu wa kufikiri.

1003119_522777057770098_1848832233_n.jpg
 
...Huyu Dr Manyaunyau Yote haya ni kwa ajili ya lile 'gemu' lake la kukata kichwa cha Paka kwa meno na kunyonya damu ama kuna lingine????
Duh, Kweli wakati mwingine hata kama hupendi inabidi uwape sifa hawa jamaa! Angalau huyu anatoa Viajira kwa vijana wenzake wajenzi, wanyoaji nk!!
 
Back
Top Bottom