KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,220
Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?
TRA mpo wapi?
Sa ivi amejichimbia
Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii
utaisha lini?
TRA mpo wapi?
KakaJambazi bwana,yaani unamtolea makavu laivu jambazi mwenzako,teh teh teh,wajinga hawaishi mkuu,acha wapigwe,tena amelenga ameenda kwenye madini kabisa ili awapige vizuri
kwani dawa zake aziponyeshi ? Nataka kwenda kumuona
Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?
KakaJambazi, sasa hivi ujambazi unafanywa kidigiti na siyo kianalogia kama ulivyokuwa ukifanya wewe enzi zile za mwalimu! Ndodi sasa hivi anajiita daktari, kasomea wapi hiyo fani ya udaktari? Anasema anatoa ushauri bure na tiba bure lakini ukitaka kumwona unatakiwa kwenda na shilingi 50,000/- za kununulia kitabu cha tiba mbadala! Wizi mtupu!!!!
Mkuu mi nilishaokoka,
afu nilikua situmii gia ya ulokole ka Ndodi katika kuwaliza watu.
Naona amekimbilia huko ambako magonjwa ya vumbi na heavy metals yaliko
shamiri. Wakija janjaruka, ye atakua keshakimbilia Dar.
wahi anadai mwisho keshokwani dawa zake aziponyeshi ? Nataka kwenda kumuona
alikua kidogo tu utasikia vitambi n tatizo vitambi tatizo,saiv nae kitumbo kinatuna,chezea elf hamsin hamsin wewe.
Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?
huduma za afya na elimu hazitozwi kodi mkuu kwa sheria za Tanzania! but huyu mtu anamake alot of money kwa kutumia fursa hiyo ya sera mbovu za nchi yetu!Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?
e bana kweli kabisa huyu jamaa anayetibu bila kidonge wala sindano wakati ule miaka kama 4 au 5 nyuma alikuwa mwembamba kabisa saivi kavimba mbaya kabisa... Ama kweli akili ni nywele
kuna siku nilikuwa namwambia mtu kama ndondi ni daktari basi hata mimi mwl wa biolojia ni daktari alicheka sana.KakaJambazi, sasa hivi ujambazi unafanywa kidigiti na siyo kianalogia kama ulivyokuwa ukifanya wewe enzi zile za mwalimu! Ndodi sasa hivi anajiita daktari, kasomea wapi hiyo fani ya udaktari? Anasema anatoa ushauri bure na tiba bure lakini ukitaka kumwona unatakiwa kwenda na shilingi 50,000/- za kununulia kitabu cha tiba mbadala! Wizi mtupu!!!!
Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?
ha ha ha haaa,huyu jamaa ana tactics sana,yaani yeye anaangalia udhaifu wako anakupiga hapo hapo,tapeli sana huyu mbulura