Dr Ndodi Acha Wizi!

Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?
Wajinga ndio waliwao,sasa kwanini ukamuone huyo ''Dr'' wakati hospitali zipo na unapata matibabu ya kitaalamu kutoka kwa wataalamu waliosomea,huyo Dr wenu anawalia tu hela ,anawatapeli .
 
Hapa Dr Manyaunyau akiwa kwenye saloon yake akifurahia bidhaa za apple pesa kutoka kwa wavivu wa kufikiri.

1003119_522777057770098_1848832233_n.jpg

Moja ya nyumba ambazo anaendelea kujenga Dr Manyaunyau pesa kutoka kwa wavivu wa kufikiri.
995032_521545594559911_834591301_n.jpg

Huo ni mjengo wa Dr Manyaunyau, huyu Mtoto hafanyi masikhara na pesa za wajinga, amesota sana na anatoka katika familia maskini kabisa.
7211_521545674559903_1124655216_n.jpg
 
Hapa Dr Manyaunyau akijiandaa kukwea Fastjet kuelekea Mwanza, Minyarugusu kibao huko inamsubili na pesa zinawawasha.

16301_478812572166547_2025586077_n.jpg

Ndio maana nikasema navutiwa sana na hawa watu, hapa Dr Manyaunyau akiwa na usafiri wake aina ya Verosa. wanampa pesa wengine hata baiskeli hawana.

314192_467391703308634_1591083689_n.jpg

262608_452149451499526_628519842_n.jpg
 
alikua kidogo tu utasikia vitambi n tatizo vitambi tatizo,saiv nae kitumbo kinatuna,chezea elf hamsin hamsin wewe.

Hahaha hii nimeipenda...ndo.ivo taifa linaangamia kwa kukosa maarifa. Mi nikifungua tv.na kumkuta nahama fasta manake najua tu fiksi hizi
 
kuna amuri inasema usimshuhudie jirani yako uongo,(1) we unae sema hanacheti unaijua elimu yake utusaidie, (2) hajakimbia kanisa na wala hana kanisa wasabato makanisa si mali ya mchungaji ushauli nawasihi sana mnunue kitabu hatakile cha tulejee Edeni
 
KakaJambazi hhiyo sentensi ya kwanza ni wivu, hilo la pili(TRA) Ni bonge la point, wakachukue kodi pale, manake hawa jamaa bei elekezi hakuna,
 
Last edited by a moderator:
Eti anadanganya watu wakipata malaria wasiende hospitali yeye ana dawa za kienyeji eti waende kwake!!!

Halafu serikali hii hii inakaa kimya bila hata kumwonya!

Jamma aache tu kusema uwongo na kupotosha watu!
 
KakaJambazi hhiyo sentensi ya kwanza ni wivu, hilo la pili(TRA) Ni bonge la point, wakachukue kodi pale, manake hawa jamaa bei elekezi hakuna,
Mkuu tangazo linatangazwa kila siku startv, mara nyingi baada ya taarifa ya habari.
Kwenye tangazo anasema unanunua kijarida kwa 50000/= halafu eti matibabu ni bure? Sa najiuliza huo ubure unatoka wapi?
Je siku nikikipata hicho kijarida, nikakitoa kopi nikaenda kwa Ndodi, atanipa matibabu bure ka anavyodai?
 
Last edited by a moderator:
kuna amuri inasema usimshuhudie jirani yako uongo,(1) we unae sema hanacheti unaijua elimu yake utusaidie, (2) hajakimbia kanisa na wala hana kanisa wasabato makanisa si mali ya mchungaji ushauli nawasihi sana mnunue kitabu hatakile cha tulejee Edeni
Maskini angalia huyu!! ukiona manyoya?...........
 
Makanisa mengine utata mtupu!

Hivi kanisa linalowakataza watoto wadogo wasichanjwe.. sii majanga kweli?

Huyu Dr. anadanganya watu!!! Period!!!!!

Nimemsikiliza sana kwa muda mrefu!
 
Maskini angalia huyu!! ukiona manyoya?...........

jibu nilicho kiuliza na kukieleza, kifupi mama yangu mdogo ilikuwa afanyiwe upasuaji wa figo 1998 nilinunua kitabu cha tulejee edeni nikampeleke mpakasasa yuko vizuri
 
walio fanya upasuaji wa mguu badara ya kichwa na kichwa badara ya mguu nao ni ma Dr, walisomea wapi?, eti hudumasafi za Hospitari we unaishi sayari gani
 
Huyu jamaa c doctor ni mchungulia hafya za watu na kuzichambua lazima utaitika tu ukizingatia tbs hawafanyi lolote kila kitu akifai tunakula tu
 
walio fanya upasuaji wa mguu badara ya kichwa na kichwa badara ya mguu nao ni ma Dr, walisomea wapi?, eti hudumasafi za Hospitari we unaishi sayari gani, au umekariri kizuri ni kinachotoka kwa ngozi nyeupe? mtarishwa hadi mavi mburula,kula matunda
 
jibu nilicho kiuliza na kukieleza, kifupi mama yangu mdogo ilikuwa afanyiwe upasuaji wa figo 1998 nilinunua kitabu cha tulejee edeni nikampeleke mpakasasa yuko vizuri
Hivi unafahamu Sheikh Yahya naye alikuwa anajifanya anatibu maradhi yote?

Jiulize yeye alivyoumwa mbona hajatumia madawa yake badala yake JK akamlipia akatibiwe hospital za India? kuwa na akili wewe anachokifanya Mama yako mdogo kinaitwa Placebo.
 
Mwacheni apige pesa. Nchi hii ujajanjaujajanja nimwingi mno. Ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni. Ishu ya vingamuzi vya star times . Tafuta uzaifu Nchi hii na utapiga feza
 
Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?
Hizo hela watu wanatoa kwa hiari yao wenyewe, kwa hiyo huo si wizi, sanasana waweza kumwita Dr ndodi'tapeli'
 
kuna siku nilikuwa namwambia mtu kama ndondi ni daktari basi hata mimi mwl wa biolojia ni daktari alicheka sana.
halafu hivi hi prefix ya Dr siku hizi haina heshima enh!!
mtu hajaenda medical schoo ata akapata cheti anasea ni dr
mtu hajaenda shule ya phd nae anajiita Dr eti anapewa wa heshima, heshima my foot.....................

Mwisho wao wa kuchezea hilo jina la Dr umekaribia hamtakuja kuwasikia tena wakijiita kwa jina hilo.
 
Hivi unafahamu Sheikh Yahya naye alikuwa anajifanya anatibu maradhi yote?

Jiulize yeye alivyoumwa mbona hajatumia madawa yake badala yake JK akamlipia akatibiwe hospital za India? kuwa na akili wewe anachokifanya Mama yako mdogo kinaitwa Placebo.
A placebo is a simulated or otherwise medically ineffectual treatment for a
disease or other medical condition intended to deceive the recipient.
 
Back
Top Bottom