Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Status
Not open for further replies.
Tunasubiri kwa hamu tuone Wakaiandamana kwenda Baraza la mitihani.......watu wanashindwa kuelewa kuwa ...hata mkurugenzi pale akiwa mjomba wako kama wewe hufanyi juhudi shuleni kufaulu mitihani ..utaendelea kuwa duni.......KAMA HAWATAKI NECTA IONGWOZWE KWA UWELEDU[PROFESSIONALISM]......na dini ndio ikawa sifa ya kuwa pale ....kazi itakuwa rahisi sana SHULE ZOTE ZINAZOAMINI WELEDI ZITAACHA KUFANYA MITIHANI YA NECTA.....NA KURUDI KUFANYA MITIHANI YA CAMBRIDGE ...KAMA ZAMANI...!! TUWAACHE MSAHIHISHE MITIHANI MNAVYOTAKA ...HATA MKIAMUA KUJIPA DEVISION ONE WOTE ITS FINE....
UWEZO WA KUBADILI MFUMO TOKA NECTA KWENDA CAMBRIDGE [INAYOTABULIKA KAMA SIFA YA KUINGIA CHUO KIKUU DUNIANI KOTE UPO...].....

TUNASUBIRI ...KWA HAMU....
 
Si wewe Ng'wanangwa wa kwanza kupinga unazoziita nadharia za kiarabu! Walikuwepo watu walijiita Baba wa Ujinga (Abu Jahali) waliopinga kwa vitendo lakini angalia ulivokuwa mwisho wao!
ALLAH akuongoze na akuepushe na shaytwan na shirki zake.

Yesu kristo ambaye ndio njia ya kweli na uzima akubariki na kukufunika kwa damu yake ya thamani iliyomwagika pale juu msalabani. Amen!
 
Hapo necta hata akiwekwa Malaika watu wataendelea kufeli tu. Wenyewe mmekubali kuwa Uislam/Akhera kwanza then ndo mambo mengine baadaye. Necta ingekuwa inashughulika na mambo ya akhera tu , mngefaulu vizuri sana...poleni.

Mbona dini yao tu walifeli sana? Unakumbuka yale matokeo baada ya kuhakikiwa. F nyiingi utafikiri ni sex ya F.
 
Hongera BAKWATA kwani mmeweza na mmethubutu na mnaendelea mbele kupigania haki za waislamu Tanzania.

Halleluya!
 
Tatizo the way mnavoidefine dini kwa kuihusisha ni part tu ya maisha, NO!
Ni kila unachofanya, even uchumi nao unaingia ktk dini mkuu. Sina haja ya kuanza kushuka nondo hapa the way uislam unavozungumzia namna ya kutokomeza umaskini ktk jamii...mifumo halali ya kisiasa, sheria, Kanuni na Taratibu za kila ukifanyacho.
Lengo la kuumbwa kwako ni kumtumikia aliyekuumba na kuishi atakavyo kila sekunde unayovuta pumzi, nna imani hukatai yupo aliyekuumba achilia mbali slogan kwmba dini tumeletewa kutupumbaza.


Bado nchi kama ya Iran ambayo ni ya kiislam pure, haijaendelea, na huku inafanya kila kitu uislamu na maisha ya watu yako taabani! Watch out!
 
KI UKWELI JAMAA WAMEFANIKIWA LICHA YA KUTENGWA NA MEDIA KUHUSU SENSA! Tena na kwa kuwa maandamano yao waliyapanga bila kuomba msaada wa media wamefanikiwa pia! kumbe media ndio tatizo.
 
Nawashangaa wanavyojifanya wanaipenda na kuijua elimu wakati Muddy mwenyewe alikuwa hajui kusoma wala kuandika, Kwani kufeli na kutoelewa kwa waislamu kunasababishwa na Ndalichako?. Historia pia inaonyesha kuwa elimu sio priority kwa hawa jamaa, priority ni kupiga dufu na kuchapa mpunga madrasat.

Ili kuondoa mzizi wa fitini hii mitihani isahihishwe nje ya nchi ili kuondoa mzizi wa fitini huku yawe yanakuja majibu tu tena kwa namba na si majina halafu tutajua tatizo liko wapi? Kama hili litatekelezeka maaskofu nina uhakika watachukia kama wanavyoichukia UDOM.
 
kosa la Ndalichako ni kuwa KAFIR, kwani mpango wetu ni kuhakikisha nafasi zote muhimu ndani ya nchi zinashikwa na watu wa DINI YETU!Tukimaliza Ndalichako tutamfuatilia mtoto wa mkulima kwani ndio pekee anatia kiwingu pale juu! nyinyi endeleeni kulala sisi tupo kazini mpaka kieleweke!

Hii kauli ya Mfa maji hii!!
 
Naomba niamini kwamba serikali yetu haitakubaliana na hali na upepo huu ambao nduguzetu wanataka kuusambaza. Na kama serikali itafikia maamuzi ya kwamba Dr. Ndalichako aondoke Baraza la Mitihani kwa shinikizo la hao waislamu wachache ambao mpaka sasa wameshaghilibiwa maana kesi za waliogomea sensa ziko pale pale japo wako nje kwa dhamana, basi hapo ndo ule mpasuko wa dini utakapokuwa dhahiri. Kwa serikali sikivu, isikubali kabisa kuendeshwa kwa matakwa ya watu hawa wachache, itakuwa inajiabisha yenyewe japo tayari imeshajianika. Maana baada ya hayo wakristo nao wakiamka kutaka waziri Kawambwa nae atoke kwa sababu ni wa jamii ile, sidhani kama patatosha na ndo itakuwa mwanzo wa yale yanayotokea Nigeria! Mungu tuepushe! Ni vema serikali ijitahidi kusimamia sheria kwa gharama yeyote ikiepuka kuwa na "Double Standard" kwenye maamuzi yake. Chadema walipoandama huku wakiwa wametoa taarifa walipigwa mabomu, hawa bila taarifa, tena wamewafuata mpaka sebuleni kwao - Mambo ya Ndani - Polisi, hakuna cha bomu, wala nini, kilichotokea ni kuwapa baraka kwa yote walioyoyataka japo naamini ni kwa unafiki tu, si kiuhalisia! Tanzania tunahitaji neema ya MUNGU sana kipindi hiki!
 
Bado nchi kama ya Iran ambayo ni ya kiislam pure, haijaendelea, na huku inafanya kila kitu uislamu na maisha ya watu yako taabani! Watch out!

Kama Iran Ipo Taaban kiuchumi Mbona USA aniogopa anaionea wivu.

Au ndo propaganda tukuone na wewe unasema ukweli?
Iran maisha yako safi kama ilivyokuwa Libya zaman.
Ukiniambia Iran na Tanzania unataka kuishi wapi ntakwambia Iran.
 
nadhani akipndoka pinda mfumo kristo utakuwa umeendoka kwani kwa safu ya sana ya uongozi wa juu waislamu ni 98% na wakristo ni 2%.......


...Sasa Mkuu, kama tayari safu Uongozi wa juu ni Asilimia 98 Waisilamu ni Asilimia 2 Wakristo, Hizi kelele zote za nini?
Kama asilimia 98 ya Uongozi wa Juu wa nchi ni Waisilamu wenzenu lakini wameshindwa kuwapa mahitaji yenu na badala yake mnabaki kuandamana na kutaka damu ya kiongozi mmojawapo katika ile asilimia 2 iliyobaki, huu si ushahidi kamili kwamba HAMNA UWEZO WA KUONGOZA na hata mkimalizia hio asilimia 2 iliyobaki mtaishia Kudidimiza tu Nchi kama ambavyo Mmeishafanya hadi sasa kwa UDHAIFU wenu??
 
Dini inayootukana wengine hiyo siyo dini bali ni dini ya shetani.
 
kosa mali upate akili!.... ni bora kukaa neutral alafu umuite MUNGU aliyeumba vyote akuonyeshe NJIA sahihi ya kumwabudu Yeye!
 
Huo mtihani wa dini iwe Christianity au Islamic ...hauna faida ..sana hautupatii madaktari,wala maengineer.....nashanngaa kwa nini watu wannabeba Bango namna hiyo

unafahamu maana ya mtihani wewe.Mtihani ni mtihani tu hata ukiwa ni wa cookery.Ndalichako anatakiwa kuondoka NECTA.
 
Inabidi Ndalichako atoke pale nafasi yake ichukuliwe na Sheikh Ponda..watoto wetu watafaulu vizuri sana.
 
unafahamu maana ya mtihani wewe.Mtihani ni mtihani tu hata ukiwa ni wa cookery.Ndalichako anatakiwa kuondoka NECTA.

mitihani ya OPTION ...bora COOKERY ,wood works,Welding,Mansory,Fine Arts,MUSIC ,ADDITIONAL MATHEMATICS ,FRANCH,GERMANY etc....sasa ukifaulu A Religion ...mengine ukazungusha .........utafanya nini? ....bora hizi options nyingine angaalau ni fani....Mpishi,,fundi,msanii..etc
 
Kama Iran Ipo Taaban kiuchumi Mbona USA aniogopa anaionea wivu.

Au ndo propaganda tukuone na wewe unasema ukweli?
Iran maisha yako safi kama ilivyokuwa Libya zaman.
Ukiniambia Iran na Tanzania unataka kuishi wapi ntakwambia Iran.

naona na kaID kakikafiri. nimdpenda hii teh teh teh
 
Ili kuondoa mzizi wa fitini hii mitihani isahihishwe nje ya nchi ili kuondoa mzizi wa fitini huku yawe yanakuja majibu tu tena kwa namba na si majina halafu tutajua tatizo liko wapi? Kama hili litatekelezeka maaskofu nina uhakika watachukia kama wanavyoichukia UDOM.

tena uarabuni!
 
Kumuondoa Uyu mama ni sawa na suluhisho la kuungoa mti kwa kuprune matawi badala ya mizizi
Ata shekhe mkuu ndo awe top wa necta hakuna mabadiliko we know mumeinvest kwenye madrasa na misikiti badala ya kwenye elimu nazani ata Mwinyi aliwai waambia ilo

Kikubwa ni ile kamati ya maaskofu inayokuwepo pale wakati wa usahihishaji na kupanga matokeo pia upendeleo unaotolewa kwa shule za kanisa. Mfano Mdogo ni shule moja ya kiislamu kule Bukoba jina nalihifadhi ni ya kiislamu. Ilifaulisha wanafunzi wengi kuliko Mau na St francis ikafutiwa matokeo. Na kadhia ya 2011 shule za zanzibar kufutiwa matokeo kwa kufaulu sana.:redface:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom