fugees
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 2,868
- 884
Kikubwa ni ile kamati ya maaskofu inayokuwepo pale wakati wa usahihishaji na kupanga matokeo pia upendeleo unaotolewa kwa shule za kanisa. Mfano Mdogo ni shule moja ya kiislamu kule Bukoba jina nalihifadhi ni ya kiislamu. Ilifaulisha wanafunzi wengi kuliko Mau na St francis ikafutiwa matokeo. Na kadhia ya 2011 shule za zanzibar kufutiwa matokeo kwa kufaulu sana.:redface:
hataponda awasahishie kama mtu kilaza ni kilaza tu!