Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Status
Not open for further replies.
Kama kweli una nia ya kupata suluhisho la kweli na hawa watu na kama unataka kujua namna ya kuishi nao then iga ISRAEL wanachokifanya! hawa watu ni tatizo, gubu ni kipaji chao, dawa yao ni kama ISRAEL inachokifanya basi! Ndio maana hizo gubu zao wanafanyia nchi nyingine sio mwanaume ISRAEL!
Me siku zote kaka nimekaa nikijifikiria hili Israel ni baba yao. Siku moja nilifikiria kwa nini iliamua kuwapa Sinai Misri. Sikupata jibu nikajua kimoja misri kama taifa lenye nguvu katika wote inajenga utabiri wa Mungu. Hawa sio wa kuwaangalia usoni. Hatari mno.
 
Wamewakosa tu. Wangetafuta angalau wa3 wawaonyeshe jinsi inavyoendeshwa. Wanatumia udhaifu wa JK. Njomba angewafanya mbaya leo. Dini haina haki ya kuamua mstakhabali wa nchi ya watu mil. 40

Unapo ongelea Njomba bila shaka unaongelea Mwembechai killings (WE GOT IT ON TAPES. PIGA YULE, UA YULE). Na bila shaka unakumbuka zanzibar killings.
Tukio lile lilipotekea waislamu hawakua wamejipanga kishari, lakini lesson learned. Kama unakumbuka reaction ya waislamu baada ya mauwaji yale, siku ile, magari ya serekali kadhaa yalichomwa moto baada ya kuwa amuru madereva wake watoke nje wenyewe kwa amani. Hata hivyo pamoja kwamba vurugu zilienea mpaka magomeni, lakini tofauti na kenya, makanisa zaidi ya mawili hakuna hata moja lilijerihuwa.

ONYO

Mauji kama yale yakitokea tena, sio tu kua tuta wafatilia na kuwa ua wahusika mmoja mmoja, bali pia tuta iandika upya historia ya nchi hii.

mkuu mbona mmekaa kishari sana,ndio maandiko yenu yanavyowafundisha??

Kwako Mzimu,
Nashukuru mkuu, ila mimi binafsi ningeomba kujua Uislamu misingi yake nini? Mbona wanakaa kulalamika kana kwamba wanaonewa? Misingi ya mafundisho ya Uislamu katika kwa mlengo wa kuishi na jamii zingine upi? Je ni kweli kuwa waislamu wengi elimu ya dunia haiwasaidii ndo maana siyo focus yao?

Na kama wanachotaka ndo wanalazimisha serikali ifanye, nini lengo kuu la waislamu katika mustakhabali wa nchi hii.

Nashukru sana

Unajua kwa mtu uliyejua nini maana ya kuishi na watu sijajua ni jinsi gani unaweza kutetea mambo yanayofanywa na waislamu. Wengi wa waislamu wanatamani wangeishi katika kisiwa kisichokuwa na dini zingine. Je hii ni haki?

Hata katika mataifa yote yenye vurugu za namna hii mwanzo ulikuwa huu. Na siku zote ni kusema serikali haiwatendei haki ndo maana nataka kujua nini msingi ya uislamu. Na source ambazo zinawezekana ni hizo tu. Huwezi ukawa unajijari kuliko kujari wengine hiyo nayo ni dhambi kubwa.

Hawa jamaa wanajua wanachofanya ni kibaya. Ingekuwa dini zingine zinaandamana kama wao nchi ingekuwaje. Wanachojua ni kulalamika kuwa na base na kitu wanachosema.

Wengi wamekosa elimu lakini ni wabishi, hii inasababishwa na mafundisho na mipango yao huko. Ukiwauliza unajua unachokisema wanashindwa kujibu kwa hoja za msingi. Wataendelea lini? Arabuni kuna nini? hakuna huko. nilisha kaa mashariki ya kati, wenye hela zao wanaenda ulaya kula na malaya wao. sahizi ndo dubai ufusika umejaa. Nenda tu zanzibar angalia kitimoto kinavyoliwa huku wakijiweka wasifi kila wanapotaka haki za kijinga. ni wezetu wabadilike.

wajue hata sisi tunamahitaji lakini hatuwezi kutegemea serikali itusemee.

Kama kweli una nia ya kupata suluhisho la kweli na hawa watu na kama unataka kujua namna ya kuishi nao then iga ISRAEL wanachokifanya! hawa watu ni tatizo, gubu ni kipaji chao, dawa yao ni kama ISRAEL inachokifanya basi! Ndio maana hizo gubu zao wanafanyia nchi nyingine sio mwanaume ISRAEL!

Shida ya kuwekeza katika MALALAMIKO!

Jamani hebu jaribuni kuwa rational na elimu hiyo Ya Ndalichako mnayo jivunia. NO wonder uwezo wenu wa kuchanganua mambo pia ni mpaka mtafuniwe halafu mmnyweshwe.

Yaani kwenu nyinyi amani ni pale mnapo waua waislamu halafu mnajisikia raha kujisifu kwa hilo kama eti mnavyo msifu mkapa na mauaji ya Mwembe chai na Zanzibar. Hapo sawa. Eti mna uliza misingi ya Uislamu. Kila binadamu mwenye akili timamu anajua Misingi ya uislamu.

Labda jibu rahisi rejea kipindi cha maswali ya papo kwa papo bale bungeni Mbunge wa Iringa Mjini peter Msigwa (CHADEMA), alipo muuliza swali Mizengo pinda Akitaka serekali Ipingane na waislamu kupiga marufuku uvaaji wa nguo fupi. (Anzia hapa kujua misingi ya Uislamu)

Waislamu kamwe hawalalamiki bila hoja kwa watu wenye akili wanajua hilo.

Hivi mpaka leo bado mnaimba nyimbo yenu mliofundishwa eti waislamu hawana ELIMU. Hivi kweli nyinyi sio wendawazimu nyinyi. Pamoja juhudi mlizo zifanya na mnazo endelea kuzifanya, bado hamtaki kukiri kua waislamu waliruka vizingiti vyenu na sasa kuna maprofesa na madaktari kibao ambao wanaendeleza mapambano. Poleni ndugu zetu ila bado tunawapenda.

Wala Uislamu hauna ugomvi mtu asiekua muislamu. kwani kafiri wa leo kesho anaweza kuiona haki na kua Muislamu safi na bora kabisa.

Uislamu na waislamu hawapigani wala kuwabugudha wale wasio upiga vita uislamu, awe mkiristo au pagani. Bali Uislamu na waislamu adui wao ni Makafiri na Wapagani wanaoupiga vita Uislamu na waislamu duniani kote.

Uislamu na Waislamu, huishi na kushirikiana na wanadamu wote bila kujali tofauti za itikadi zao kama watu wote wataheshimiana na kufuata misingi ya haki na usawa.

Hivi Kwanini mnapenda kuishi kwa dhulma dhidi ya waislamu na pale waislamu wanapochoka ndio nyinyi mnapiga kelele za kuonewa?

Mkitaka kujua nguvu za Uislamu na waislamu mtazijua tu. Bado tunalo tatizo la wanafiki miongoni mwa wanao jiita waislamu, na hao ndio wanokwamwisha juhudi za waislamu katika kudai haki zao kama mlivyo ona kwenye sensa. Lakini pamoja na proganda na vitisho vyao, ukweli nadhani umewadhihirikia nyote. Sio lazima kuukiri. Ukweli huunguza ndani kwa ndani hatakama utajidai kutabasamu.

KWA HIYO NDUGU ZANGU. UISLAMU NI DINI YA AMANI KWA WAPENDA AMANI WOTE DUNIANI. KWANI HILO LIKO WAZI KWA WALE WENYE AKILI HURU ZA KUFIKIRIA.
 
Dini ni kama opium tu kwa binadamu. Inalewesha kama nn. Salman Rushdie is my hero. Mpaka kesho anadunda tu, hakuna cha fatwa,alb wala nn.

yuko wapi ? Mwambie atokee kweupe aone ! Sie hatucheki na kima, we umeona wapi hicho kitabu kinauzwa ?
Sie haturuhusu mambo hovyo hovyo !
 
mkuu mbona mmekaa kishari sana,ndio maandiko yenu yanavyowafundisha??

washari ni wale waliomsulubisha Yesu, sie tumekaa kimapambano haswa katika kuzuia dhulma !kama vile kunyang'anywa dhahabu kisha ukapewa msaada wa kondom !
 
Mzimu nimependa hii lakini angalia mkuu. Ni kila kitu cha serikali lazima kiendane na dini mfano sensa nini faida ya kujua idadi ya waislamu? Kuna haja gani ya kuandamana watu wote wale na mabango yenye kukejeri dini zingine kama mtu kakamatwa kwa misingi ya kuvunja sheria ya kutohesabiwa katika sensa? Je kama kuna waislamu wanaokuja miskitini hamjui idani ya waumini wenu?

Umeongea nzuri lakini katika matendo siyo hivyo. Nini maana ya mtu anayepingana na uislamu ni yule asiyeamini uislamu?

Jamani hebu jaribuni kuwa rational na elimu hiyo Ya Ndalichako mnayo jivunia. NO wonder uwezo wenu wa kuchanganua mambo pia ni mpaka mtafuniwe halafu mmnyweshwe.

Yaani kwenu nyinyi amani ni pale mnapo waua waislamu halafu mnajisikia raha kujisifu kwa hilo kama eti mnavyo msifu mkapa na mauaji ya Mwembe chai na Zanzibar. Hapo sawa. Eti mna uliza misingi ya Uislamu. Kila binadamu mwenye akili timamu anajua Misingi ya uislamu.

Labda jibu rahisi rejea kipindi cha maswali ya papo kwa papo bale bungeni Mbunge wa Iringa Mjini peter Msigwa (CHADEMA), alipo muuliza swali Mizengo pinda Akitaka serekali Ipingane na waislamu kupiga marufuku uvaaji wa nguo fupi. (Anzia hapa kujua misingi ya Uislamu)

Waislamu kamwe hawalalamiki bila hoja kwa watu wenye akili wanajua hilo.

Hivi mpaka leo bado mnaimba nyimbo yenu mliofundishwa eti waislamu hawana helimu. Hivi kweli nyinyi sio wendawazimu nyinyi. Pamoja juhudi mlizo zifanya na mnazo endelea kuzifanya, bado hamtaki kukiri kua waislamu waliruka vizingiti vyenu na sasa kuna maprofesa na madaktari kibao ambao wanaendeleza mapambano. Poleni ndugu zetu ila bado tunawapenda.

Wala Uislamu hauna ugomvi mtu asiekua muislamu. kwani kafiri wa leo kesho anaweza kuiona haki na kua Muislamu safi na bora kabisa.

Uislamu na waislamu hawapigani wala kuwabugudha wale wasio upiga vita uislamu, awe mkiristo au pagani. Bali Uislamu na waislamu adui wao ni Makafiri na Wapagani wanaoupiga vita Uislamu na waislamu duniani kote.

Uislamu na Waislamu, huishi na kushirikiana na wanadamu wote bila kujali tofauti za itikadi zao kama watu wote wataheshimiana na kufuata misingi ya haki na usawa.

Hivi Kwanini mnapenda kuishi kwa dhulma dhidi ya waislamu na pale waislamu wanapochoka ndio nyinyi mnapiga kelele za kuonewa?

Mkitaka kujua nguvu za Uislamu na waislamu mtazijua tu. Bado tunalo tatizo la wanafiki miongoni mwa wanao jiita waislamu, na hao ndio wanokwamwisha juhudi za waislamu katika kudai haki zao kama mlivyo ona kwenye sensa. Lakini pamoja na proganda na vitisho vyao, ukweli nadhani umewadhihirikia nyote. Sio lazima kuukiri. Ukweli huunguza ndani kwa ndani hatakama utajidai kutabasamu.

KWA HIYO NDUGU ZANGU. UISLAMU NI DINI YA AMANI KWA WAPENDA AMANI WOTE DUNIANI. KWANI HILO LIKO WAZI KWA WALE WENYE AKILI HURU ZA KUFIKIRIA.
 
wazir wa elimu shukuru kawambwa ndo boss wa Ndalichako, na ni muislam mwenzenu. Kwanin msiandamane kwenda kwake?
 
Mzimu nimependa hii lakini angalia mkuu. Ni kila kitu cha serikali lazima kiendane na dini mfano sensa nini faida ya kujua idadi ya waislamu? Kuna haja gani ya kuandamana watu wote wale na mabango yenye kukejeri dini zingine kama mtu kakamatwa kwa misingi ya kuvunja sheria ya kutohesabiwa katika sensa? Je kama kuna waislamu wanaokuja miskitini hamjui idani ya waumini wenu?

Umeongea nzuri lakini katika matendo siyo hivyo. Nini maana ya mtu anayepingana na uislamu ni yule asiyeamini uislamu?

mlalilaN, Nadhani haukua unafuatilila kwa makini majibu ya waislamu juu ya swali lako hapa hapa JF. It is a long story anyaway.

Lakini kwa ufupi sensa zote duniani, maana halisi ya sensa katika jamii yoyote ni pamoja na kuwajua watu hao kwa tofauti zao ili uweze kutambua mahitaji yao na jinsi ya kuwashirikisha katika shughuli za kitaifa bila kuleta ukizani kama ilivyotokea katika sensa hii.

Kwa mfano hata Wahadzabe wametambuliwa kwa tofauti zao ndio maana ili wahesabiwe ilibidi wachinjiwe nyama ya punda milia. Nyama ambayo wewe na mimi bila shaka hatuja ila na ukiua punda milia utafungwa milele.

Faida ya sensa katika nchi za Ulaya, wanajua mpaka idadi ya Mashoga na Malesbian. Sembuse kujua watu kwa tofauti na imani zao??
 
washari ni wale waliomsulubisha Yesu, sie tumekaa kimapambano haswa katika kuzuia dhulma !kama vile kunyang'anywa dhahabu kisha ukapewa msaada wa kondom !

kwaio mnapambana kuzuia dhulma ipi mkuu??
 
Mzimu nimependa hii lakini angalia mkuu. Ni kila kitu cha serikali lazima kiendane na dini mfano sensa nini faida ya kujua idadi ya waislamu? Kuna haja gani ya kuandamana watu wote wale na mabango yenye kukejeri dini zingine kama mtu kakamatwa kwa misingi ya kuvunja sheria ya kutohesabiwa katika sensa? Je kama kuna waislamu wanaokuja miskitini hamjui idani ya waumini wenu?

Umeongea nzuri lakini katika matendo siyo hivyo. Nini maana ya mtu anayepingana na uislamu ni yule asiyeamini uislamu?

mlalilaN, Nadhani haukua unafuatilila kwa makini majibu ya waislamu juu ya swali lako hapa hapa JF. It is a long story anyaway. Lakini kwa ufupi sensa zote duniani, maana halisi ya sensa katika jamii yoyote ni pamoja na kuwajua watu hao kwa tofauti zao ili uweze kutambua mahitaji yao na jinsi ya kuwashirikisha katika shughuli za kitaifa bila kuleta ukizani kama ilivyotokea katika sensa hii. Kwa mfano hata Wahadzabe wametambuliwa kwa tofauti zao ndio maana ili wahesabiwe ilibidi wachinjiwe nyama ya punda milia. Nyama ambayo wewe na mimi bila shaka hatuja ila na ukiua punda milia utafungwa milele.
Faida ya sensa katika nchi za Ulaya, wanajua mpaka idadi ya Mashoga na Malesbian. Sembuse kujua watu kwa tofauti na imani zao??

Haya mkuu tumalize. Ila ujue serikali iliogopa the motive behind your movement. Kwa ilivyo haikuwa kujua idadi yenu tu bali na mengine in black scenery.
 
washari ni wale waliomsulubisha Yesu, sie tumekaa kimapambano haswa katika kuzuia dhulma !kama vile kunyang'anywa dhahabu kisha ukapewa msaada wa kondom !

Hii naunga ila isiwe move ya kidini kama mnavyofanya na kuonyesha serikali inawanyanyasa huku ikulu ikiwa ya waislamu kutoka rais hadi mpishi. Mnamwaibisha JK na favour zote anazowapa hamtambui.
 
Jamani hebu jaribuni kuwa rational na elimu hiyo Ya Ndalichako mnayo jivunia. NO wonder uwezo wenu wa kuchanganua mambo pia ni mpaka mtafuniwe halafu mmnyweshwe.

Yaani kwenu nyinyi amani ni pale mnapo waua waislamu halafu mnajisikia raha kujisifu kwa hilo kama eti mnavyo msifu mkapa na mauaji ya Mwembe chai na Zanzibar. Hapo sawa. Eti mna uliza misingi ya Uislamu. Kila binadamu mwenye akili timamu anajua Misingi ya uislamu.

Labda jibu rahisi rejea kipindi cha maswali ya papo kwa papo bale bungeni Mbunge wa Iringa Mjini peter Msigwa (CHADEMA), alipo muuliza swali Mizengo pinda Akitaka serekali Ipingane na waislamu kupiga marufuku uvaaji wa nguo fupi. (Anzia hapa kujua misingi ya Uislamu)

Waislamu kamwe hawalalamiki bila hoja kwa watu wenye akili wanajua hilo.

Hivi mpaka leo bado mnaimba nyimbo yenu mliofundishwa eti waislamu hawana ELIMU. Hivi kweli nyinyi sio wendawazimu nyinyi. Pamoja juhudi mlizo zifanya na mnazo endelea kuzifanya, bado hamtaki kukiri kua waislamu waliruka vizingiti vyenu na sasa kuna maprofesa na madaktari kibao ambao wanaendeleza mapambano. Poleni ndugu zetu ila bado tunawapenda.

Wala Uislamu hauna ugomvi mtu asiekua muislamu. kwani kafiri wa leo kesho anaweza kuiona haki na kua Muislamu safi na bora kabisa.

Uislamu na waislamu hawapigani wala kuwabugudha wale wasio upiga vita uislamu, awe mkiristo au pagani. Bali Uislamu na waislamu adui wao ni Makafiri na Wapagani wanaoupiga vita Uislamu na waislamu duniani kote.

Uislamu na Waislamu, huishi na kushirikiana na wanadamu wote bila kujali tofauti za itikadi zao kama watu wote wataheshimiana na kufuata misingi ya haki na usawa.

Hivi Kwanini mnapenda kuishi kwa dhulma dhidi ya waislamu na pale waislamu wanapochoka ndio nyinyi mnapiga kelele za kuonewa?

Mkitaka kujua nguvu za Uislamu na waislamu mtazijua tu. Bado tunalo tatizo la wanafiki miongoni mwa wanao jiita waislamu, na hao ndio wanokwamwisha juhudi za waislamu katika kudai haki zao kama mlivyo ona kwenye sensa. Lakini pamoja na proganda na vitisho vyao, ukweli nadhani umewadhihirikia nyote. Sio lazima kuukiri. Ukweli huunguza ndani kwa ndani hatakama utajidai kutabasamu.

KWA HIYO NDUGU ZANGU. UISLAMU NI DINI YA AMANI KWA WAPENDA AMANI WOTE DUNIANI. KWANI HILO LIKO WAZI KWA WALE WENYE AKILI HURU ZA KUFIKIRIA.
mzee ninamashaka sana na uelewa wako na hasa hiyo elimu unayodai uanayo! sifahamu nyinyi ndugu zetu huwa mnasimamia lipi, mara oooh sisi tunaonewa wakristo waliosoma ni wengi kuliko sisi! wewe hapa tena unawashangaa wanaosema waislam hawana elimu, sasa tushike lipi kaka?Ni heri kuwa na kipara kuliko akili kuendeleshwa na mizimu kama jina lako! Nadhani tatizo lako ni EXPOSURE at the global level, unaposema nyinyi ni watu wakushirikiana na dini nyingine ni nani unaemdanganya? Hivi wale boko haram pale Nigeria, al quaida, Al shabab, hamas na magroup mengi ya kiuaji ndio unaita MASHIRIKIANO NA WATU WENGINE? Hivi kuchoma makanisa zanzibar, kutaka nchi ijiunge na jumuia za kiislam hayo yote ndio kujenga mahusiano? Watu duniani uislamu unamahusuano mazuri na jamii? Kulipua watu na kujilipua ndio mahusiano mazuri na IMANI YA HAKI mnayojaribu kutuhubiria? Hakuna mtu mwenye ufahamu hata kidogo tu uislam unaweza kumshawishi kwamba ni dini ya amani hata kidogo kaka! Nadhani mnamahaba tu na imani yenu lkn ukweli ni kwamba watu wengi wameweka wazi ukweli wa hiyo imani unaiyoiita inajenga mahusiano na wengine. Vitabu vimeandikwa vingi kuweka wazi kinachoendelea na hakuna muislam aliyejibu hoja zaidi ya jazba za kutaka kuwaua wanaowaweka wazi. Muzxijibu hoja ambazo zinarushwa kwenu basi ili tuelewe which is which! Kunyamaza kimya kwa watu wa imani nyingine haimaanishi wanawaogopa kama ambavyo unataka tuamini kwa kututishia na unachokiita NGUVU YA UISLAM!Ni kweli kaka nguvu ya uislam ni mauaji na vurugu tunajua sana huihitajiki kutueleza! Bado na sifa hiyo ya kijinga uliyotuambia mwenyewe bado unaiita DINI YA HAKI? kweli mwenye mapenzi haoni hata kama macho cha anayo! Au ndio hiyo mizimu? Hakuna utayemtisha na hicho unachoita nguvu ya uislam, hizo nguvu unazotaka kututisha nazo wapi duniani mlishinda? Na kama nyinyi mna nguvu mbona kucha kutwa mnalaamika? kwa nini msitumie hizo nguvu basi? Kwani kaka unadhani nguvu ni makelele? au kipi kinachokupa kiburi kwamaba mna nguvu? Kama mnanguvu mbona kila siku mnadundwa na israel? hamjiulizi tu why nyinyi wote na gubu lenu mkisogea israel mnapata kichapo? FIKIRI KAKA, KUNYWA KAHAWA NYINGI SI WINGI WA NGUVU NA AKILI!TAFAKARI NA CHUKUA HATUA! ACHA KUTISHA WATU NA UHALIFU!
 
Vilaza utawaona tu, Ndalichako ndo amesahisha mitihani ya mitoto yenu?. Mitoto yenu yenyewe mbumbumbu mnataka kuwasakizia watu wengine, kama ikiwa wakubwa wao ndo mna mawazo hayo, je watoto wenu watakuwaje?

Mbona watoto wenu wanafaulu huku hawajui kusoma na kuandika?
 
As long as JK yupo madarakani, hawa wavaa suruali fupi, they are like free molecule.... Lakini ili la nderichako hawa jamaa hawako sahihi, kwani wao wame-invest kwenye elimu ahera... Matokeo yake elimu dunia inawafanya kitu mbaya...

So long wewe hutaki kutafuta ukweli juu ya jambo hili basi baki ni akili zako finyu. Baraza la Mitihani limekuwa likiwafelisha watoto wa kiislam makusudi tena hata katika somo la Dini yao. Hii haikubaliki. Tazama majibu mepesi ya baraza hilo pale walipobainika. Tunataka Ndalichako aondoke na baraza liundwe upya hutaki, usitake hii ni nchi yetu sote. waislam lazima wapatiwe haki yao.
 
Dhaifu plus plus.........kavuta waya akiwa kampala achia hao!

Tazama, nchi inaoongozwa na sheria sio utashi wa akina komba. Kumbuka nchi hii imewadhulumu waislam kwa muda mrefu na sasa lazima kieleweke. Amani ya maono ya marehemu nyerere sasa haina tena nafasi kwenye nchi hii.
 
Tatizo the way mnavoidefine dini kwa kuihusisha ni part tu ya maisha, NO!
Ni kila unachofanya, even uchumi nao unaingia ktk dini mkuu. Sina haja ya kuanza kushuka nondo hapa the way uislam unavozungumzia namna ya kutokomeza umaskini ktk jamii...mifumo halali ya kisiasa, sheria, Kanuni na Taratibu za kila ukifanyacho.
Lengo la kuumbwa kwako ni kumtumikia aliyekuumba na kuishi atakavyo kila sekunde unayovuta pumzi, nna imani hukatai yupo aliyekuumba achilia mbali slogan kwmba dini tumeletewa kutupumbaza.
Real! You think big.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom