Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Status
Not open for further replies.
Si wewe Ng'wanangwa wa kwanza kupinga unazoziita nadharia za kiarabu! Walikuwepo watu walijiita Baba wa Ujinga (Abu Jahali) waliopinga kwa vitendo lakini angalia ulivokuwa mwisho wao!
ALLAH akuongoze na akuepushe na shaytwan na shirki zake.

shida yenu mntapenda ku-take advantage sana.
 
Ishu ni kutokana na watu kudhani kuwa akili zetu zaweza kutatua kila kitu bila kufuata kanuni zinazotawala maisha ya binadam!
Tumepewa akili kufikiri ila kwa vitu ambavyo vishawekewa mipaka huna haja ya kutumia akili yako lazma uumie.ingekuwa akili ya binadam yaweza kila kitu ungeweza kutembea, kusema, na kufanya chochote mwenyewe baada tu ya kuzaliwa! Bt hukuweza yote hayo, na kanuni hiyohiyo ndiyo inayotumika kukukuza ambapo huwezi kuuzuia uzee wala hutaweza kutumia akili yako kuzuia kifo!
Kwa hiyo maumbile yako yenyewe yanakiri kufuata kanuni iliyowekwa na MUUMBA, why sasa ktk kipindi unachodhani una akili sana ya kufikiria usifuate kanuni hizo!?
Huu ni ukumbusho tu ndugu zangu, ee MOLA shuhudia nimefikisha japo kwa uchache kile ulichoniwezesha...

mind you that huyo Muumba kuna namna tofauti tofauti za kumuomba basing on our differences,how comes unataka tukubaliane na namna unayoiamini wewe?vipi kwa Atheist?unawaweka ktk kundi gani?mbona huo mfano wako ni irrelevant kiasi hicho,fikiri nje ya box,toka kwanza nje ya box la udini ndio utazungumza la maana otherwise you will be bias always.samahani kama nimekukwaza ndugu yangu
 
Baada ya waandamani ya waislam leo kufanikiwa kuwakomboa wenzao ambao walishikiliwa na polisi kwa kukataa kushiri katika zoezi la sensa wamesema wanaenda kujipanga na safari hii NECTA wanataka kushinikiza Dr. Ndarichako kuachia ngazi kwa kile kinachoonekana kuto watendea haki.
Mytake:
1.Je hayo maandamano yatapewa kibali?
2. Serikali watakuwa tayari kumtosa Ndalichako ili kuwafurahisha waandamanaji?
3. Tatizo ni Ndarichako au mfumo?
Naomba tujadili wadau

Kwanini wanam-target Dr Ndalicheko na sio waziri wa Elimu? Dr Ndalicheko ana-report kwa boss wake - waziri wa elimu, sasa kwa nini hawa waislam wanakwenda kwa mtu wa kati na sio boss mwenye mamalaka ya mwisho?
 
We acha tu ndugu yangu. Hawa wenzetu wamefundishwa kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu.
 
nakubaliana na wewe to an extent,hatuwezi kusema tufuate njia za dini fulani ktk kujenga uchumi wetu,huko ni kukaribisha vurumai zaidi,je dini nyingine wakisema nazakwetu hizi hapa mbona hatuzifuati?vipi wasiokuwa na dini tunawaweka ktk kundi gani?

Well said mkuu to put this short.......ukishaanza kutoa double standards hata kwa watoto ni signs za familia kukushinda.Leo huyu akija John unamwambia Ndiyo, Kesho akija Ally unapatawapi Guts za kumwambia Hapana?Tunawajua waliotufikisha hapa na watu wengine sana watahadharisha kuhusu hili lakini wakaweka pamba sana ile time bomb ndo inakaribia.
 
Kwanini wanam-target Dr Ndalicheko na sio waziri wa Elimu? Dr Ndalicheko ana-report kwa boss wake - waziri wa elimu, sasa kwa nini hawa waislam wanakwenda kwa mtu wa kati na sio boss mwenye mamalaka ya mwisho?

hapo ndipo panapotia mashaka zaidi,unaweza kuta ata huyo Ndalichako wanaemtarget ni muislamu mwenzao cuz kama ameolewa na profesa muislamu uwezekano ni mkubwa kuwa alifunga ndoa ya kiislamu.jina lisiwe tatizo
 
Nashauri member wa humu ndani ambao sio GAMBA watu wa M4C, Kuchangia mada zinazohusu udini kwa umakini sana, msije mkawavuruga hata waislamu walioko CHADEMA , mambo yakawa tofauti.Chamsingi tukomae na huyohuyo shetani CCM na hila zake.
 
Tatizo ni Dr Ndalichako au mfumo?nani anatunga mitihani na kuisasahisha?Wakati madhehebu mengine yakijitahidi kuboresha elimu kwa kuweka mazingira bora ya elimu na kuanzisha vyuo vikuu, wao wanalalamika na kupika majungu.Alieshindwa hakosi visingizio.Amkeni.
 
Kwanini wanam-target Dr Ndalicheko na sio waziri wa Elimu? Dr Ndalicheko ana-report kwa boss wake - waziri wa elimu, sasa kwa nini hawa waislam wanakwenda kwa mtu wa kati na sio boss mwenye mamalaka ya mwisho?
Boss wake ni mwislamu kwahiyo anayetakiwa kuondoka dr Ndalichako ili waweke mwislamu list ikamilike
 
mpaka utakufa utazikwa utaoza wewe na kizazi chako chote hizo nadharia za kiarabu hazitafanikiwa.
huu moto hauzimi mazee hata mfanye nini.

Utakufa,watakufukia wewe na kizazi chako na utauacha moto uko palepale.
 
nakubaliana na wewe to an extent,hatuwezi kusema tufuate njia za dini fulani ktk kujenga uchumi wetu,huko ni kukaribisha vurumai zaidi,je dini nyingine wakisema nazakwetu hizi hapa mbona hatuzifuati?vipi wasiokuwa na dini tunawaweka ktk kundi gani?

Mkuu, haimaanishi kufuata mfumo wa KIISLAM basi kila mtu na yy alete wa kwake NO!
Mfumo wa kiislam unacombine yote hayo, uislamu umekuta uyahudi, unaswara(ukristo) na upagani, ndo huo unaopigiwa kelele kila kukicha ambao hata wewe unautaka. Kinachowachanganya ni hilo jina, ita uwezavyo lakini ni mfumo ambao una makatazo yote ucyoyapenda, ukichukia ufisadi unatetea mfumo huo, ukipinga rushwa unatetea mfumo huo, ukitaka mgawanyo sawa wa rasilimali zetu unatetea mfumo huo!
Isipokuwa uislam hautaki kudonoa donoa ktk STK (sheria, Taratibu na Kanuni) zake. kwa hiyo mfumo huo upo na unatawala, na sasa tunataka watu waukubali kuwa ndo mfumo sahihi na waache kuburuzwa kwa fikra za kibinadamu ambao wameingiza manufaa binafsi badala ya umma. Hata M4C ni kauli mbiu ipo ndani ya uislam bt inafanywaje..!? Hiyo ndo ishu wakuu!
 
Well said mkuu to put this short.......ukishaanza kutoa double standards hata kwa watoto ni signs za familia kukushinda.Leo huyu akija John unamwambia Ndiyo, Kesho akija Ally unapatawapi Guts za kumwambia Hapana?Tunawajua waliotufikisha hapa na watu wengine sana watahadharisha kuhusu hili lakini wakaweka pamba sana ile time bomb ndo inakaribia.

hali inazidi kuwa mbaya sana kadiri siku zinavyozidi kwenda,kuna wakati kama sikosei mkuu wa kaya aliwahi kusema serikali yake haiwezi kuendeshwa kwa kushurutishwa,sasa hili la jana watu kuachiwa ili hali wamefanya makosa yanayotambulika kisheria sio kushurutishwa huko?
 
Mkuu naomba nisaidie kuelewa hivi issue ya Ndalichako na waislamu si lilizungumzwa likaisha?au
Unauliza ya Ndalichako mbona sensa ina mpaka sheria kwamba mtu akigoma atafungwa jela miezi 6 leo watu wamegoma na bado wameenda kuwatoa watu wao kibabe? Ogopa tz chini ya kinara dhhhaiiffffffff
 
mind you that huyo Muumba kuna namna tofauti tofauti za kumuomba basing on our differences,how comes unataka tukubaliane na namna unayoiamini wewe?vipi kwa Atheist?unawaweka ktk kundi gani?mbona huo mfano wako ni irrelevant kiasi hicho,fikiri nje ya box,toka kwanza nje ya box la udini ndio utazungumza la maana otherwise you will be bias always.samahani kama nimekukwaza ndugu yangu

Mkuu,
Sijazungumzia namna ya kuomba wala tofauti ya madhehebu. Nazungumzia njia inayofaa kuchukuliwa na wale wote wanotaka kubadili mifumo yetu ya maisha kwa kufuata fikra za watu wachache badala ya kanuni ya maumbile ambayo hakuna anayeipinga.
Usemi wa kufikiri nje ya box hauhold hapa kwa kuwa uwezo wangu nilopewa kufikiri upo ndani ya milki yake MUUMBA na katu hakuna atakayetoka nje ya Box isipokuwa MWENYEWE MUUMBA.
"Sikuwapa nyinyi ktk maarifa yote ila kidogo sana"
Imefananishwa na kuchovya sindano kwny bahari, utafkiria nini kitachokufaa zaid ya muongozo WAKE? Amini vyovyote hakuna anayeweza kulitengua hili mkuu kwa akili yako ya kibinadamu.
 
Nashauri member wa humu ndani ambao sio GAMBA watu wa M4C, Kuchangia mada zinazohusu udini kwa umakini sana, msije mkawavuruga hata waislamu walioko CHADEMA , mambo yakawa tofauti.Chamsingi tukomae na huyohuyo shetani CCM na hila zake.

Mkuu,
Kuna taratibu za kufuata kila mahali. Nna imani itapofika wakati wake litazungumzwa kadiri itavofaa insha ALLAH. Uharibifu uko kila mahali kutokana na kile tunachokichuma kwa mikono yetu mkuu
 
Kaka mawazo yako ni hayo basi ngoja tujipange ila hatutotaka cdm iwe cuf bali maandamano tutayaelekeza kwa tendwa kuwa cdm ifutwe ni chama cha kanisa. Hapo unasemaje. Na ivi tendwa ameshazungumzia ndio atapata nguvu na hapo hapo kitafutwa. Ngoja tuorganize. Mtajuta kutoa wazo. Tutaungana na tendwa kuhakikisha uchaguzi ujao hakipo.

kwahiyo baada ya kuungana na Tendwa kukifuta chama cha kanisa mtasajili chama kipya cha msikiti?

Akili mbao hizo na ndoto za ujuha za kukosa elimu dunia.
 
Mkuu,
Sijazungumzia namna ya kuomba wala tofauti ya madhehebu. Nazungumzia njia inayofaa kuchukuliwa na wale wote wanotaka kubadili mifumo yetu ya maisha kwa kufuata fikra za watu wachache badala ya kanuni ya maumbile ambayo hakuna anayeipinga.
Usemi wa kufikiri nje ya box hauhold hapa kwa kuwa uwezo wangu nilopewa kufikiri upo ndani ya milki yake MUUMBA na katu hakuna atakayetoka nje ya Box isipokuwa MWENYEWE MUUMBA.
"Sikuwapa nyinyi ktk maarifa yote ila kidogo sana"
Imefananishwa na kuchovya sindano kwny bahari, utafkiria nini kitachokufaa zaid ya muongozo WAKE? Amini vyovyote hakuna anayeweza kulitengua hili mkuu kwa akili yako ya kibinadamu.

mkuu tupo pamoja,dini zote zina falsafa moja nayo ni upendo na sote tunaamin ktk Mungu mmoja ila tofauti yetu ni moja tu na kubwa nayo ni namna ya kumuomba Mola wetu,pia ndugu yangu wasioamin ktk Mungu itakuaje?huoni itakua tunawalazimisha kuingia ktk mfumo ambao hawauhitaji achilia mbali kuuamin,kwa nini huo mfumo wa haki na usawa tusiujenge ktk mtu mmoja mmoja kulingana na imani yake?
 
Watoto wa mamdogo ni vuvuzela ni vuvuzela..,ni vuvu...vuvu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom