Hii ndo tofauti ya mtazamo wa kikafir na wa kiislam! Makafir dunia kwao ni pepo bt ni gereza kwa muumini wa kiislam.
Si wewe wala hao wanaoandamana walioko katika usahihi. Uislam hautasimama katu kwa kufuata matakwa ya watu fulani bila ya kufuata njia alizotumia mtume SAW na maswhaba wake kuusimamisha.
Ispokuwa ALLAH huwatia ujasiri kwa kuwateremshia malaika waislamu popote wanapoungana iwapo watasema wao MOLA wao ni ALLAH kisha wakawa na msimamo, na huwazidishia hofu wapinzani wao, ndicho kilichotokea jana.
Haikuwa njia sahihi na haitasaidia kufika wanakotaka isipokuwa kumkubali kwao ALLAH na kuwa na msimamo kwa wanchodai imekuwa threat kwa makafir, nyote mmeshuhudia.
OGOPENI tunaoanza kufuata njia sahihi halafu itapofika wakati yakawa wazi, hakuna atakayeweza kuzuia nusra ya ALLAH, nayo iko njiani yaja, hata wewe utaunga mkono insha ALLAH, nafaham huwezi kulikubali hili kwa sasa.
"Itapokuja nusra ya ALLAH na itapokuwa wazi, utawaona watu wakiingia ktk dini ya ALLAH makundi kwa makundi"
(Ni maneno machache tu ya Qur'an)
Nawasilisha.