Dr. Nchimbi kaniacha kinywa wazi

Dr. Nchimbi kaniacha kinywa wazi

Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.

Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya Kuandika katiba Mpya. Ambacho ameniacha mdomo wazi ni kuhusu:

1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
4. Wananchi wapambaneje ili kuwazidi nguvu hao wasiotaka katiba Mpya?
5. Tunataka Katiba mpya nzuri kama ya taifa gani Afrika ili tuone wao ni bora kiasi gani wapi kuliko sisi?
6. Je, ubaya wa Katiba hii ya 1977 ni nini?

Nionavyo mimi kama mimi, watu wetu, uchumi wetu, uelewa wetu, kiwango cha elimu cha watu wetu, mila na ustaraabu wetu kupanua kiwango cha demokrasia na haki za watu wetu kuliko hivi tulivyo sasa kutaenda kulitumbukiza taifa kwenye migogoro mingi itakayoidumaza Tanzania. Tunakwenda kutanua uchochoro ambao wakoloni watapitia kuichukua tena Tanzania.

Mwl. Nyerere alikataa kuruhusu wazungu kuchimba sana madini yetu kwakuwa alikuwa anawafahamu watu wake kuwa hawakuwa na utaalamu wa kuyachimba wala elimu ya kujadiliana kuhusu mikataba ya uchimbaji. Watu wetu hawa wengi wao bado hawana uelewa mpana kuhusu demokrasia na haki. Bado kuna maeneo watu wanaona ni haki kwa mwanamke kunyimwa kumiliki hiki na kile, bado mpaka leo kuna watu wanaamini viungo vya binadamu vinaleta utajiri kwa njia za giza. bado kuna watu asubuhi kabisa wanakunywa pombe na kucheza pool siku za kazi.

Sipingi kuandika katiba mpya lakini Makamu Rais Dr Nchimbi ndiye aliyeniogopesha zaidi.

View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=E11qcCE9cMml3Wfw

Hii ni dalili kuwa wawili hawa hawaelewani au wanatuchezea shere ili wafanikishe ugaidi wao.
 
Wasira muigulu riz na abdu na msonglw ndio kikwazo
JPM bila kuwa na Katiba asingeweza kuhamishia serikali Dodoma, wala kujenga bwawa, reli wala madaraja na meli. Rais mchapakazi na mwenye uchungu na nchi yake bado anahitaji Katiba hii ila tumuondolee kinga ya kushitakiwa kwa wizi.

Katiba mpya iwe 2050 baada ya watu wengi kuelimika na uchumi kupanda.
 
Mkuu, soma katikati ya mistari. Dr, Nchimbi aliposema ili kupata katiba mpya ni jambo la muhimu sana kwa raisi aliyepo madarakani kuwa na utashi wa kuwa na katiba mpya - ni kwamba anatupa ujumbe raisi Samia hana utashi wa kuwa na katiba mpya. Hicho ndichi kikwazo kilichopo. Dr. Nchimbi asingesema hivyo directly.

Ila Dr. Nchimbi ameahidi jambo moja - piga ua, Katiba mpya ndio itatumiwa katika uchaguzi wa 2030. Kwa hiyo Freedom is coming, tomorrow!
Bila kumjua nani alitaka kumpindua na kwanini hakuna Katiba. Ameapa kulinda Katiba hii sio hiyo mpya. Huwezi kuandika katiba na watu walioficha visu migongoni mwao. Sio kila kitu kwenye Ilani lazima kitekelezwe kama kilivyo
 
Mlozi wao Wasira, Franco Makiadi aliimba "walozi ni watu wa kuchoma".
Hii takataka ni ya kutia kiberiti kabisa
Screenshot_20250211_161926.jpg
 
Shida ni mtu kati... Kuna wale wazee wa cha juu. Ukiingia kichwa kichwa wanaruka na wewe hata kabla harakati zako hazijamfikia aliye juu...

Pasco ana ushuhuda kamili
 
Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.

Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya Kuandika katiba Mpya. Ambacho ameniacha mdomo wazi ni kuhusu:

1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
4. Wananchi wapambaneje ili kuwazidi nguvu hao wasiotaka katiba Mpya?
5. Tunataka Katiba mpya nzuri kama ya taifa gani Afrika ili tuone wao ni bora kiasi gani wapi kuliko sisi?
6. Je, ubaya wa Katiba hii ya 1977 ni nini?

Nionavyo mimi kama mimi, watu wetu, uchumi wetu, uelewa wetu, kiwango cha elimu cha watu wetu, mila na ustaraabu wetu kupanua kiwango cha demokrasia na haki za watu wetu kuliko hivi tulivyo sasa kutaenda kulitumbukiza taifa kwenye migogoro mingi itakayoidumaza Tanzania. Tunakwenda kutanua uchochoro ambao wakoloni watapitia kuichukua tena Tanzania.

Mwl. Nyerere alikataa kuruhusu wazungu kuchimba sana madini yetu kwakuwa alikuwa anawafahamu watu wake kuwa hawakuwa na utaalamu wa kuyachimba wala elimu ya kujadiliana kuhusu mikataba ya uchimbaji. Watu wetu hawa wengi wao bado hawana uelewa mpana kuhusu demokrasia na haki. Bado kuna maeneo watu wanaona ni haki kwa mwanamke kunyimwa kumiliki hiki na kile, bado mpaka leo kuna watu wanaamini viungo vya binadamu vinaleta utajiri kwa njia za giza. bado kuna watu asubuhi kabisa wanakunywa pombe na kucheza pool siku za kazi.

Sipingi kuandika katiba mpya lakini Makamu Rais Dr Nchimbi ndiye aliyeniogopesha zaidi.

View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=E11qcCE9cMml3Wfw

Katiba ni ka kijitabu tu ( Samia suluhu Hassan)
 
Katiba hii inatosha sana kwa sasa, ila iondolewe kinga kwa wezi na wabadhilifu wote wa mali za umma na wapewe adhabu kali sana kama ikithibitika wameiba au kufuja mali ya wananchi kwa maslahi yake.

..kinga ya wezi na mafisadi inatokana na madaraka makubwa aliyonayo Rais.

..Je, unakubaliana na hoja za wapinzani kuhusu kumpunguzia Rais madaraka yake?

..Vipi kuhusu Tume ya Uchaguzi? Ungependa ifanyiwe marekebisho gani?

..Kuhusu muungano ungependa Tanganyika ipate serikali yake?

..Au unapendekeza hatua gani zichukuliwe ili masuala ya Tanganyika yasiingiliwe na Zanzibar?
 
Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.

Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya Kuandika katiba Mpya. Ambacho ameniacha mdomo wazi ni kuhusu:

1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
4. Wananchi wapambaneje ili kuwazidi nguvu hao wasiotaka katiba Mpya?
5. Tunataka Katiba mpya nzuri kama ya taifa gani Afrika ili tuone wao ni bora kiasi gani wapi kuliko sisi?
6. Je, ubaya wa Katiba hii ya 1977 ni nini?

Nionavyo mimi kama mimi, watu wetu, uchumi wetu, uelewa wetu, kiwango cha elimu cha watu wetu, mila na ustaraabu wetu kupanua kiwango cha demokrasia na haki za watu wetu kuliko hivi tulivyo sasa kutaenda kulitumbukiza taifa kwenye migogoro mingi itakayoidumaza Tanzania. Tunakwenda kutanua uchochoro ambao wakoloni watapitia kuichukua tena Tanzania.

Mwl. Nyerere alikataa kuruhusu wazungu kuchimba sana madini yetu kwakuwa alikuwa anawafahamu watu wake kuwa hawakuwa na utaalamu wa kuyachimba wala elimu ya kujadiliana kuhusu mikataba ya uchimbaji. Watu wetu hawa wengi wao bado hawana uelewa mpana kuhusu demokrasia na haki. Bado kuna maeneo watu wanaona ni haki kwa mwanamke kunyimwa kumiliki hiki na kile, bado mpaka leo kuna watu wanaamini viungo vya binadamu vinaleta utajiri kwa njia za giza. bado kuna watu asubuhi kabisa wanakunywa pombe na kucheza pool siku za kazi.

Sipingi kuandika katiba mpya lakini Makamu Rais Dr Nchimbi ndiye aliyeniogopesha zaidi.

View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=E11qcCE9cMml3Wfw

Mbinu ya kupunguza aibu kuelekea Maazimio ya 39, 60, 90.
Mambo ya tathinini
 
Shida ni mtu kati... Kuna wale wazee wa cha juu. Ukiingia kichwa kichwa wanaruka na wewe hata kabla harakati zako hazijamfikia aliye juu...

Pasco ana ushuhuda kamili
Sijui story ya Maria Sarungi ilitoka wapi pale. Ikimtaja kama Mkatoliki safi na rafiki wa utotoni. Maria Sarungu ambae anaratibu matusi dhidi ya Samia na mipango ya kumng'oa. Inaonesha kuna kavita ka kidini ambako hakatangazwi lakini kapo.

Samia ni Mwwnyekiti wa CCM na Rais lakini sio final kwenye kila kitu. Kuna watu ndani ya CCM na nchi ambao hawavumi lakini wapo ambao ndiyo custodian wa chama na serikali.

Kulikuwa na kundi la G55 ambalo lilizuka kipindi cha Mzee Ali Hassan Mwinyi na madai yao lukuki ambao kama ukiwanusa utaona wana harufu kama hii ya akina hawa wa sasa.
 
..kinga ya wezi na mafisadi inatokana na madaraka makubwa aliyonayo Rais.

..Je, unakubaliana na hoja za wapinzani kuhusu kumpunguzia Rais madaraka yake?

..Vipi kuhusu Tume ya Uchaguzi? Ungependa ifanyiwe marekebisho gani?

..Kuhusu muungano ungependa Tanganyika ipate serikali yake?

..Au unapendekeza hatua gani zichukuliwe ili masuala ya Tanganyika yasiingiliwe na Zanzibar?
Madaraka makubwa ya Rais nidiyo aliyoyatumia JMP kuhamia Dodoma, kununua ndege, kujenga bwaa na leli.
 
Zezeta Kavulata , umelewa uchawa hadi huoni ubovu wa katiba hii chakavu ya 1977?

Huoni ubovu wa katiba hii ambayo rais anamteua jaji mkuu [mkuu wa mhimili ] mahakama itakuaje huru hadi hapo?

Sababu ya kukubuhu kwa uchawa ni sababu 99% ya nafasi za uteuzi anafanya rais ndio maana utashangaa hadi mvua ikinyesha tunaambiwa rais ndio kaleta.

Rais anateua mkurugenzi na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ambayo tena na yeye anaenda kushiriki uchaguzi huo itakuaje sawa?

Katiba hii haiwezi kuonwa ubovu wakw maana inanufaisha kikundi cha majizi, mafisadi na machawa kama mleta mada .
 
Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.

Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya Kuandika katiba Mpya. Ambacho ameniacha mdomo wazi ni kuhusu:

1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
4. Wananchi wapambaneje ili kuwazidi nguvu hao wasiotaka katiba Mpya?
5. Tunataka Katiba mpya nzuri kama ya taifa gani Afrika ili tuone wao ni bora kiasi gani wapi kuliko sisi?
6. Je, ubaya wa Katiba hii ya 1977 ni nini?

Nionavyo mimi kama mimi, watu wetu, uchumi wetu, uelewa wetu, kiwango cha elimu cha watu wetu, mila na ustaraabu wetu kupanua kiwango cha demokrasia na haki za watu wetu kuliko hivi tulivyo sasa kutaenda kulitumbukiza taifa kwenye migogoro mingi itakayoidumaza Tanzania. Tunakwenda kutanua uchochoro ambao wakoloni watapitia kuichukua tena Tanzania.

Mwl. Nyerere alikataa kuruhusu wazungu kuchimba sana madini yetu kwakuwa alikuwa anawafahamu watu wake kuwa hawakuwa na utaalamu wa kuyachimba wala elimu ya kujadiliana kuhusu mikataba ya uchimbaji. Watu wetu hawa wengi wao bado hawana uelewa mpana kuhusu demokrasia na haki. Bado kuna maeneo watu wanaona ni haki kwa mwanamke kunyimwa kumiliki hiki na kile, bado mpaka leo kuna watu wanaamini viungo vya binadamu vinaleta utajiri kwa njia za giza. bado kuna watu asubuhi kabisa wanakunywa pombe na kucheza pool siku za kazi.

Sipingi kuandika katiba mpya lakini Makamu Rais Dr Nchimbi ndiye aliyeniogopesha zaidi.

View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=E11qcCE9cMml3Wfw

Tembelea www.katibampya.com
 
Mchakato utafia palepale kwenye aina ya muungano ulipofia wakati ule.

Katika stage hii ya uchumi wetu huwezi kuwa na katiba ambayo inaruhusu uchaguzi mkuu kufutwa na mchakato kuanza upya. Hatuna hela hiyo bado.
www.katibampya.com hipo rasimu ya katiba yenye mfumo bora wa muungano ambao ni baraza la usimamizi wa taifa
 
Zezeta Kavulata , umelewa uchawa hadi huoni ubovu wa katiba hii chakavu ya 1977?

Huoni ubovu wa katiba hii ambayo rais anamteua jaji mkuu [mkuu wa mhimili ] mahakama itakuaje huru hadi hapo?

Sababu ya kukubuhu kwa uchawa ni sababu 99% ya nafasi za uteuzi anafanya rais ndio maana utashangaa hadi mvua ikinyesha tunaambiwa rais ndio kaleta.

Rais anateua mkurugenzi na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ambayo tena na yeye anaenda kushiriki uchaguzi huo itakuaje sawa?

Katiba hii haiwezi kuonwa ubovu wakw maana inanufaisha kikundi cha majizi, mafisadi na machawa kama mleta mada .
Upinzani kuna mazezeta ambayo muda wao wa kwenda Ikulu bado kabisa, wacha wapate kwanza watu wenye akili. Nchi hii hakuna anaeshindwa kutoboa kwasabu ya Katiba.
 
Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.

Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya Kuandika katiba Mpya. Ambacho ameniacha mdomo wazi ni kuhusu:

1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
4. Wananchi wapambaneje ili kuwazidi nguvu hao wasiotaka katiba Mpya?
5. Tunataka Katiba mpya nzuri kama ya taifa gani Afrika ili tuone wao ni bora kiasi gani wapi kuliko sisi?
6. Je, ubaya wa Katiba hii ya 1977 ni nini?

Nionavyo mimi kama mimi, watu wetu, uchumi wetu, uelewa wetu, kiwango cha elimu cha watu wetu, mila na ustaraabu wetu kupanua kiwango cha demokrasia na haki za watu wetu kuliko hivi tulivyo sasa kutaenda kulitumbukiza taifa kwenye migogoro mingi itakayoidumaza Tanzania. Tunakwenda kutanua uchochoro ambao wakoloni watapitia kuichukua tena Tanzania.

Mwl. Nyerere alikataa kuruhusu wazungu kuchimba sana madini yetu kwakuwa alikuwa anawafahamu watu wake kuwa hawakuwa na utaalamu wa kuyachimba wala elimu ya kujadiliana kuhusu mikataba ya uchimbaji. Watu wetu hawa wengi wao bado hawana uelewa mpana kuhusu demokrasia na haki. Bado kuna maeneo watu wanaona ni haki kwa mwanamke kunyimwa kumiliki hiki na kile, bado mpaka leo kuna watu wanaamini viungo vya binadamu vinaleta utajiri kwa njia za giza. bado kuna watu asubuhi kabisa wanakunywa pombe na kucheza pool siku za kazi.

Sipingi kuandika katiba mpya lakini Makamu Rais Dr Nchimbi ndiye aliyeniogopesha zaidi.

View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=E11qcCE9cMml3Wfw

Hii ni ishara kuwa huko ndani ya CCM nipa moto! Wanaishi kwa kuviziana!
 
Back
Top Bottom