Dr. Nchimbi kaniacha kinywa wazi

Dr. Nchimbi kaniacha kinywa wazi

Katiba mpya haijengi viwanja kama hivi. KATIBA ni muhimu sana lakini sio kipaumbele namba moja kwetu kwa sasa. Kanzu tunayo tunatafuta kilemba tu.
Pole sana, kwa hakika unazidi kudharaulika!
 
Sawa, hata kama wewe hujui uzuri wa hii Katiba basi angalia hapa. Afrika na dunia inabaki vinywa wazi. Eti mtu anataka tuache kufanya haya ili tutumie fedha za kujenga hii tuandike Katiba.

Chondechonde Samia wewe tujengee reli wajao akina Dr. Katiba wataandika Katiba.

View: https://youtu.be/m1V4GDBBcQw?si=CpmzkArZk2qEfy3h

Wakina Dr katiba wala hawataki hayo mazuri ya kushangaza dunia yasiendelee bali wanataka hata na yale mabaya yenye kushangaza dunia pia nayo yarekebishwe, ni kwa faida ya wote.
 
Back
Top Bottom