Netanyahu
Senior Member
- Oct 2, 2008
- 147
- 22
Dk. Mwakyembe na wenzake walianzisha kampuni yao kabla ya ujio wa kampuni iliyozua utata mkubwa wa Richmond. Matarajio yao yalikuwa kwamba wazalishe umeme na kisha waiuzie Tanesco, lakini ujio wa Richmond ulionekana kutaka kuwakwaza. Richmond ilisababisha aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, ajiuzulu Februari mwaka jana.
Asante kwa taarifa mwaka huu tutajua mengi.Kwa hiyo mafisadi walipojua kuwa akina mwakyembe wameanzisha kampuni ya wazawa ya umeme wa bei nafuu utakaowasaidia walalahoi wakaona waanzishe Kampuni ya Kifisadi ya Richmond ili wasambaratishe vikampuni vya umeme upepo vya wazawa vife natural death na wao wawaibie watanzania.
Kumbe Richmond zilikuja kwa lengo la kuua kampuni za wazawa na ilianzishwa baada ya kampuni ya wazawa.Asante kwa taarifa.
Siku zote nimekuwa najiuliza kwa nini Tanesco isihamasishe matumizi ya umeme wa bei rahisi kama huo wa kutumia upepo wameshupalia tu Richmond na Dowans kumbe wana lao jambo wanajua hawawezi fisadi nchi vizuri.
Kumbe Richmond si tu walifisadi nchi lakini pia waliua vikampuni vya akina Mwakyembe ili visifurukute.Waliamua kuleta wauaji waje kuua juhudi za wazawa.Jamani sina Risasi ningekuwa nazo karibu ningetwanga kichwa cha fisadi mshenzi asiyekuwa na haya wa Richmondmonduli.