TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,185
- 18,201
hahahaaaaaWaberoya Lowassa alijiuzulu kwa sababu ni mwizi kama ripoti ya Mwakyembe ilivyosema au kwa sababu hakuitwa kwenye kamati? Ha! Ha! Ha! Hebu chagua moja tuendelee na mjadala! Ha! Ha!
hahahaaaaaWaberoya Lowassa alijiuzulu kwa sababu ni mwizi kama ripoti ya Mwakyembe ilivyosema au kwa sababu hakuitwa kwenye kamati? Ha! Ha! Ha! Hebu chagua moja tuendelee na mjadala! Ha! Ha!
Waberoya Lowassa alijiuzulu kwa sababu ni mwizi kama ripoti ya Mwakyembe ilivyosema au kwa sababu hakuitwa kwenye kamati? Ha! Ha! Ha! Hebu chagua moja tuendelee na mjadala! Ha! Ha!

tHANKS mKUU.... mwaka huu garasha kwangu when it comes to x-mas; labda new year
Kama Lowassa alikuwa implicated kwa mujibu wa uchunguzi wa Kamati ya Mwakyembe, na Mwakyembe akaandika ripoti bila kumuhoji na kupeleka ripoti bungeni, at the very least anakuwa hajakamilisha aspects hizi mbili za objectives alizopewa.
Ukimnyima mbongo chakula inaweza isiwe issue, lakini ukitaka kumtesa na kumsababishia mahangaiko moyoni basi mnyime maneno....yaani mnyime kile ukijuacho, atahangaika sana.
Waberoya thread ni ya Lowassa unaweza kufungua ya wengine wote wa CCM ni rukhsa! Ha! Ha! Now back to my question Lowassa alijiuzulu kwa sababu hakuitwa kwenye kamati au kwa sababu ripoti ilikuwa na ukweli wa wizi wake? Ha! Ha! Ha!
- Mjumbe juhudi za Lowassa kuwatumia Makamba, Almeir na Kingunge kumuokoa kwa Rais ili asijiuzulu a night before kule Chamwino zilikwama cause Bunge lilikuwa linajitayarisha na Vote of no confidence iwapo Lowassa asingejiuzulu kwa hiyo take back maneno yako.
MTM natural justice ya Lowassa! Ha! Ha!
@ Waberoya,Mwanakijiji and Kiranga......
My take on the discussion:
I think the most significant question to ask today on the partiality of the Mwakyembe report is why he didn't disclose all the facts in the report rather than why he didn't question Lowassa. I say this because, the significance of questioning Lowassa is already ruled out by the fact that the guy(Lowassa) resigned as a result from the report but the question as to why he (Mwakyembe)didn't reveal all the facts in the report(despite acknowledging knowing them all) still remains unanswered.I strongly say that the partiality of the report lies big on this question because, had he (Mwakyembe)revealed all the facts, then even JK wouldn't be on power today, and Mwakyembe would have fairly become everybody's hero by now and probably more secure physically and mentally..........even God would have protected him from the physical harm he has acquired from those he tried to protect in the report.......
Huu utawala wa Kleptocracy katika tz utaisha lini? mara nyingi tunasikia.... oh....sijui uchunguzi wa corruption fulani haukufanyika kwasababu eti utaathiri national interests/serikali/maslahi ya chama tawala (ccm).........eh!what the hell with national interest/maslahi ya ccm/serikali!!...yaani unalinda majambazi kwasababu ya national interest!!!!which national interest?.....na sasa JK ana practice nepotism na cronysm live yaani......only in tz yaani......God forbid.......
Kiranga, unachosema ni kujaribu kumuweka Lowassa kuwa ni object ya investigation wakati hakuwa. Uchunguzi ulihusu Richmond na ndio maana ukisoma mahitimisho kuhusu Richmond were swift and precise. Sasa watu waliokuwa implicated kimsingi walihitaji hatua zaidi dhidi yao kuchukuliwa na kuchunguzwa zaidi na vyombo husika.
Lowassa alikuwa implicated and that is it. He was not accused or even condemned of any wrong doing. Ukisoma maelezo niliyoyaweka ya Kamati ni kuwa hatua zozote zaidi dhidi ya Waziri Mkuu zilikuwa zichukuliwe na Bunge na yeye mwenyewe. Kamati isingeweza kwenda zaidi ya mandate iliyopewa kwani hata kumuita Waziri Mkuu kumhoji ingekuwa ni kujipa ajenda wasiokuwa nayo. Wao waliangalia nyaraka wakaona zina muimplicate WM kwa kiasi kikubwa. Sasa kwenda the next level - ya kuanzisha uchunguzi dhidi ya Waziri Mkuu - Bunge lilitakiwa kukubali kwani ndicho chombo cha nidhamu ya juu ya Waziri Mkuu ukiondoa Rais.
Lakini pia implication ya Waziri Mkuu ilikuwa na jambo jingine ambalo watu tayari wameliona - ilikuwa ina muimplicate Rais vile vile. Fikiria hivi - kama aliyoyasema Lowassa kuhusika Kikwete na Richmond yaliripotiwa kwa usahihi na kuwa ndivyo ilivyokuwa ina maana kuwa ushahidi ambao kina Mwakyembe waliuona kumhusu Waziri Mkuu ulimhusu Rais vile vile. Sasa je, kamati ingeenda na kumuita RAis? Watu wanachosahau ni kuwa hata Kikwete hakuhojiwa na Kamati! Kikwete ndiye aliyesimama na kutuambia kuwa Richmond haitolipwa n.k na alikuwa anajua kilichokuwa kinaendelea lakini hakuitwa na Kamati.
Hapa ndipo unaona ni kwanini kutomhoji Lowassa na kuachilia Bunge ilikuwa ni kamba yenye vifungo viwili - kwa upande wa Rais na upande wa Waziri Mkuu. Kina Mwakyembe walijua - kwa usahihi na kwa uhakika wa kisheria - wasingeweza kumhoji Waziri Mkuu bila kumuita RAis vile vile.
Fikiria - Lowassa anaitwa na kusema "Nilimuambia Rais..", "Rais alinielekeza"... "Niliandika barua kwa Rais" n.k n.k Je kwa kumtaja Rais si kunalazimisha Rais naaye kuhojiwa maana asipohojiwa naye yeye angesema "Miye Rais lakini hamkuniita". Hivyo, walimpa Lowassa kitanzi cha kumnyoshea kidole Rais. Lowassa leo anaweza kumnyoshea Rais kidole kwenye vikao vya vyama lakini alishindwa kufanya hivyo mbele ya wabunge? Leo anaweza kunyosha kidole hadharani lakini alishindwa kufanya hivyo Bungeni? Hakuna fact iliyobadilika kuhusu Richmond. Lolote analolijua Lowassa leo, alikuwa analijua 2008.
Kina Mwakyembe walimuambia "yeye mwenyewe ajipime". Well, alitumia masaa akajipima, akafikiria na kushauriana na Regina na alipomaliza aliona hana njia isipokuwa kuruka. Alitambua asingeweza kuilaumu ripoti ya Mwakyembe bila kujibiwa. Alijaribu kudai kuwa ripoti iliokoteza toka magazetini na Selelii alisimama akamjibu Bungeni aoneshe ni wapi kwenye hiyo ripoti vilitoka magazetini au afute kauli yake - akafuta! Lowassa, alipewa nafasi ya kupinga yote yaliyosemwa na Kamati Teule na hata kuweka ushahidi kuwa yeye ndiye alijitahidi kuvunja mkataba wa Richmond hakufanya hivyo. Hakufanya hivyo Bungeni isipokuwa aliamua kufanya hivyo siku chache kwenye TVT na ever since amejaribu sana.
Lazima watu waseme ukweli kuwa Lowassa alijiuzulu kwa makosa yake mwenyewe. Alijiuzulu bila kuombwa kujiuzulu na Bunge wala Rais hakumuambia ajiuzulu. Kamati ya Mwakyembe haikumuambia ajiuzulu. Yeye mwenyewe alijipima. Alijigundua hafai kuwa Waziri Mkuu, aligundua hakuwa na hoja ambayo isingeweza kujibiwa Bungeni. Ndio maana yeye mwenyewe aliamua kujiuzulu. Lowassa hakuonewa, Lowassa hakunyimwa haki ya asili, Lowassa aliogopa kujitetea na aliogopa kusimama kuonesha upande wake. Hili ni kosa la Lowassa peke yake na wale waliomshauri kujiuzulu. Siyo kosa la Kikwete wala Mwakyembe wala wabunge waliozungumza kwa ukali Bungeni. Hili ni kosa la Lowassa na tuanze kuliita hivyo.
Mnajua sisi Wadanganyika wepesi sana kudanganywa vitu na tukakubali..Lowassa is very smart inapofikia ktk profession yake ya Ufisadi he knows how to cover his prints..@ Waberoya,Mwanakijiji and Kiranga......