Dr. Mpango na TRA, huu ni Uhujumu Uchumi!

Kwa Dodoma ni balaa ..hawataki kabisa ufunge biashara yako sijui wanangangania nini.barua ukipeleka wanakuzungusha weee kuipitisha hata siwaelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kufunguka wakuu , Mungu yuko pamoja nanyi .
Kuna tukio mojawapo nakamilisha kuanadaa baadi ya nyaraka ikiwamo makadirio bandia ya TRA, vikao walivyo kaa na wajumbe wake, utetezi waliokua wakitoa watuhumiwa na jinsi sakata lilivyoisha. Mambo yote yakiwa tayari nitamwaga mambo hapa watu wajionee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kodi noma. Nakumbuka wazee zamani walikuwa hawashindi home yaani ili kukwepa mgambo wa kodi.
Hii kitu uliwahi sababisha nikaepelekwa Butimba kwa 14 days with No removing oder.....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Kwa kizazi cha .com tunapo zungumzia kodi ya kichwa, ama kwa hakika hawawezi wakatuelewa
 
Nina mtazamo tofauti. Ikumbukwe kuwa watumishi wa TRA ni watanzania wenye mitazamo tofauti ya kisiasa. Na inawezekana kabisa kuwa baada ya kuzibiwa mianya yao ya upigaji waliokuwa nayo mwanzo basi wameamua kufanya surbotage kwa kuwakadiria watu kodi zisizolipika ili wananchi wazidi kuichukia serikali yao na Rais wao. Maana ni jambo la kawaida sana kwa hao jamaa kukuandikia kodi huku wakikuambia hapa kazi tu. Kwa hali hiyo serikali Ina kazi nyingine ya kuchuja watumishi waadilifu wa TRA na wale wanaofanya kazi ili kuipaka matope serikali..
 
Mkuu ungetoa taarifa kwa wahusika. Kama kuna vitendo ama viashiria vya rushwa toa taarifa ama utaje hata kampuni zenyewe huenda wahusika wakaona na kuchukua hatua
ndugu, unaongelea wahusika gani?

watu washawahi kupeleka "takokuru" ushahidi wa rushwa kwa video na hakuna kilichofanyika.

we f..d ourselves in October 2015 and we'll remain f..d until and unless.....
 
Hahahahahahahahahaa jinga kweli umenichekesha sana.
 
Haya ndiyo matokeo ya kuongozwa na vichaa
 
Kuna jamaa TRA walienda mkagua wakampa kodi ya 500mil jamaa akakomaa nao akawapa 200mil wakamfutia kodi akaamua kuwa chinga ili maisha yaende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…