theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,750
- 15,641
Nilisema haya juzi kati kuna wati wakasema ni uzushi wakati nina ushahidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba upandishe huo uzi tafadhali
Nilisema haya juzi kati kuna wati wakasema ni uzushi wakati nina ushahidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Ushauri wangu mkulu wa Mwaloni aamke siku moja aaumuru hela zoote zililokuwemo kwenye akaunti yoyote ile na kwenye Benki yoyota ile aihodhi na kuihamishia kwake.
Kitakachofuatia ni aaitishe Kikao na Baraza lake la Mawaziri Achukue kitabu cha katiba anyofoe ukurasa mmoja asokotee Tumbaku halafu apige pafu zito akipumua awaaangaliee mawaziri halafu asikitike kwa furaha
Halafu awafukuze mawaziri wote na kutangaza Utawala wa KIFALME kabla Mawaziri hao hawaja react Ngoma za Asili zaKisukuma zilizokuwa zimeandaliwa kwa Siri Mkubwa zianze kumbuiza.
Jenerali Mabeyo aje Kusujudu Mbele ya Mfalme na kuyaamuru majeshi yote yatii UFALME wetu mpya
Nyimbo za Kwaya za Kumsifu Malaika zifuatie Huku Nderemo vijijo na hoihoi zikiendelea kwa Siku saba
Wachawi Elfu sabini kutoka Usukumani wamzungumke mara Sabini Mfalme wetu mpya.
Waswezi Elfu tatu wapulize mapembe ya ya Tandala na kumpakaa Dawa Mfalme wetu
Wapiga Ngoma wa Kihutu Mia tatu wapige Ngoma kwa juhudi kubwa huku wakicheza kwa madaha.
Bundi Mia sita waachiwe hewani kama gesture ya Amani na Upendo.
THE KINGDOM EMAGUFUTINI itakuwa imezaliwa Rasmi.
Kinachoendelea sasa hivi kinaogopesha. Maafisa wa TRA wameanza kuvamia makampuni. Wanataka ripoti ya mapato yako yote, Bank Account, malipo ya VAT, Rekodi ya manunuzi chini ya masaa 72 etc…
Maafisa hawa wa TRA wanafanya mahesabu yao na kurudi kwako kwamba umekuwa ukikwepa kodi kwa maana hiyo wanafanya estimate ya kiwango unachodaiwa. Matajiri wanaulizwa chanzo cha utajiri wao, mwisho wa siku wanaomba watoe hela au account zao zizuiliwe.
Kampuni moja ndogo sana hapa Temeke wanadaiwa million 350 wakati hata kwa mwezi hawaingizi million 60.
Makampuni mengi sana na matajiri wanalalamika kwa uvamizi huu. Hali ni mbaya. Na hii ni uhujumu uchumi maana hawa watu wanaenda kufunga bila shaka.
Sasa, swali langu: Haya makamuni yakifungwa, serikali itapata wapi mapato, na waajiriwa wataenda wapi?
hapo wanakosea jee kamaa kakodisha kitega uchumi chake jerKuna jamaa kanunua nyumba last year akaenda kujipeleka TRA kulipia capital gain,
kilichompata duh siwezi simulia.
Ngoja ninyamaze tu, maana alichambuliwaa source yake ya income. Yaani hakuwahi kuwa na TIN ya biashara ila hela katoa wapi?
Sasa kuna haja gani ya kuwa na muhimili mmoja uliojichimbia hadi motoni.Hahahahahahahahahaa jinga kweli umenichekesha sana.
Serikali haiwezi kukosa mapato kisa biahsara zimefungwa mzee. Mtalipa kodi ya kichwa huko muendako si mnashangilia kila jambo.Kinachoendelea sasa hivi kinaogopesha. Maafisa wa TRA wameanza kuvamia makampuni. Wanataka ripoti ya mapato yako yote, Bank Account, malipo ya VAT, Rekodi ya manunuzi chini ya masaa 72 etc…
Maafisa hawa wa TRA wanafanya mahesabu yao na kurudi kwako kwamba umekuwa ukikwepa kodi kwa maana hiyo wanafanya estimate ya kiwango unachodaiwa. Matajiri wanaulizwa chanzo cha utajiri wao, mwisho wa siku wanaomba watoe hela au account zao zizuiliwe.
Kampuni moja ndogo sana hapa Temeke wanadaiwa million 350 wakati hata kwa mwezi hawaingizi million 60.
Makampuni mengi sana na matajiri wanalalamika kwa uvamizi huu. Hali ni mbaya. Na hii ni uhujumu uchumi maana hawa watu wanaenda kufunga bila shaka.
Sasa, swali langu: Haya makamuni yakifungwa, serikali itapata wapi mapato, na waajiriwa wataenda wapi?
Sasa kuna haja gani ya kuwa na muhimili mmoja uliojichimbia hadi motoni.
Na mkate 1 unauzwa elfu 20 za kiTanzaniaZimbabwe petrol lita ni zaidi ya $3
Yaani ni ghali kuliko mataifa makubwa mengi
Vurugu inayoendelea huko mnayaona na wabunge wanne wamo ndani
Msako nyumba hadi nyumba na kichapo na mauwaji juu
Yetu macho
Sent from my SM using Tapatalk
TrueeeeeeeeNina mtazamo tofauti. Ikumbukwe kuwa watumishi wa TRA ni watanzania wenye mitazamo tofauti ya kisiasa. Na inawezekana kabisa kuwa baada ya kuzibiwa mianya yao ya upigaji waliokuwa nayo mwanzo basi wameamua kufanya surbotage kwa kuwakadiria watu kodi zisizolipika ili wananchi wazidi kuichukia serikali yao na Rais wao. Maana ni jambo la kawaida sana kwa hao jamaa kukuandikia kodi huku wakikuambia hapa kazi tu. Kwa hali hiyo serikali Ina kazi nyingine ya kuchuja watumishi waadilifu wa TRA na wale wanaofanya kazi ili kuipaka matope serikali..
wafanya biashar wengi na makampuni ni wanaccm wacha wagalagazane wenyewe.Kinachoendelea sasa hivi kinaogopesha. Maafisa wa TRA wameanza kuvamia makampuni. Wanataka ripoti ya mapato yako yote, Bank Account, malipo ya VAT, Rekodi ya manunuzi chini ya masaa 72 etc…
Maafisa hawa wa TRA wanafanya mahesabu yao na kurudi kwako kwamba umekuwa ukikwepa kodi kwa maana hiyo wanafanya estimate ya kiwango unachodaiwa. Matajiri wanaulizwa chanzo cha utajiri wao, mwisho wa siku wanaomba watoe hela au account zao zizuiliwe.
Kampuni moja ndogo sana hapa Temeke wanadaiwa million 350 wakati hata kwa mwezi hawaingizi million 60.
Makampuni mengi sana na matajiri wanalalamika kwa uvamizi huu. Hali ni mbaya. Na hii ni uhujumu uchumi maana hawa watu wanaenda kufunga bila shaka.
Sasa, swali langu: Haya makamuni yakifungwa, serikali itapata wapi mapato, na waajiriwa wataenda wapi?
mkuu umenikumbusha Haadaa za Waswezi.kule Tabora miaka.hiyooooo.Mimi Ushauri wangu mkulu wa Mwaloni aamke siku moja aaumuru hela zoote zililokuwemo kwenye akaunti zozote zile na kwenye Benki yoyote ile azihodhi na kuzihamishia kwake.
Kitakachofuatia ni aaitishe Kikao na Baraza lake la Mawaziri Achukue kitabu cha katiba anyofoe ukurasa mmoja asokotee Tumbaku halafu apige pafu zito akipumua awaaangaliee mawaziri halafu asikitike kwa furaha
Halafu awafukuze mawaziri wote na kutangaza Utawala wa KIFALME kabla Mawaziri hao hawaja react Ngoma za Asili zaKisukuma zilizokuwa zimeandaliwa kwa Siri Mkubwa zianze kumbuiza.
Jenerali Mabeyo aje Kusujudu Mbele ya Mfalme na kuyaamuru majeshi yote yatii UFALME wetu mpya
Nyimbo za Kwaya za Kumsifu Malaika zifuatie Huku Nderemo vijijo na hoihoi zikiendelea kwa Siku saba
Wachawi Elfu sabini kutoka Usukumani wamzungumke mara Sabini Mfalme wetu mpya.
Waswezi Elfu tatu wapulize mapembe ya ya Tandala na kumpakaa Dawa Mfalme wetu
Wapiga Ngoma wa Kihutu Mia tatu wapige Ngoma kwa juhudi kubwa huku wakicheza kwa madaha.
Bundi Mia sita waachiwe hewani kama gesture ya Amani na Upendo.
THE KINGDOM EMAGUFUTINI itakuwa imezaliwa Rasmi.
Ohoo ananyoosha nchi,kuongoza nchi siyo lelemama.umefunga biashara za watu halafu unatafuta vyanzo vya mapato ambavyo ulikuwa navyo . badala kuvibolesha kwa kukuza sekta binafsi halafu ndio kodi ije.Umepunguza mzunguko wa fedha halafu unataka ukusanye Kodi nyingi?Umetoa fedha za serikali kwenye mabenki binafsi kama vile walioziweka huko ni wajinga.kutoa hizo pesa si kumepunguza wigo wa kodi,tumia akili weji.
Kinachoendelea sasa hivi kinaogopesha. Maafisa wa TRA wameanza kuvamia makampuni. Wanataka ripoti ya mapato yako yote, Bank Account, malipo ya VAT, Rekodi ya manunuzi ya miaka 5 chini ya masaa 72 etc…
Maafisa hawa wa TRA wanafanya mahesabu yao na kurudi kwako kwamba umekuwa ukikwepa kodi kwa maana hiyo wanafanya estimate ya kiwango unachodaiwa. Matajiri wanaulizwa chanzo cha utajiri wao, mwisho wa siku wanaomba watoe hela au account zao zizuiliwe.
Kampuni moja ndogo sana hapa Temeke wanadaiwa million 350 wakati hata kwa mwezi hawaingizi million 60.
Makampuni mengi sana na matajiri wanalalamika kwa uvamizi huu. Hali ni mbaya. Na hii ni uhujumu uchumi maana hawa watu wanaenda kufunga bila shaka.
Sasa, swali langu: Haya makamuni yakifungwa, serikali itapata wapi mapato, na waajiriwa wataenda wapi?
Niliyasema haya ya kuingilia account za watu wiki mbili zilizopita watu wakasema ni uzushi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha.....imekaa sawa hiyo...Mimi Ushauri wangu mkulu wa Mwaloni aamke siku moja aaumuru hela zoote zililokuwemo kwenye akaunti zozote zile na kwenye Benki yoyote ile azihodhi na kuzihamishia kwake.