Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Hana huo ubavu, labda anataka kufungua gereji ya kisasa.
 
We jamaa kwa uongo uko vzr sana,ulishapita kule kiwanjani kwake kwny huo ujenzi ukaona jinsi ambavyo misingi ilichimbwa na nguzo kubwa zilisimikwa+nondo kusukwa then mradi ukasimama.

Unajua zengwe Mengi alilokua anapigwa na serikali ya JK ili waendelee kupiga hela kwa kuendelea kupeleka wagonjwa wa moyo Appolo India?

Unamjua marehemu Dr.Ferdinand Masao wa Tanzania heart institute(THI) na zengwe alilopigwa na serikali ya JK?

Shida yako ukishaona mtu anaongelea kujenga kiwanda tu,unakua roho juu juu ya kupinga tu.
Sasa mbn Jk kajenga taasisi ya moyo pale muhimbili kama walikuwa wanataka kuendelea kupiga pesa za Apollo si asingejenga hio taasisi ya moyo ambayo saizi ina madaktar wa kiisrael na marekani
 
Sasa mzee wenu mmeanza kumshambulia kwa sababu tu amejaribu ana anafanikiwa kutengeneza ajira za vijana wenzenu hivi kweli tunataka watu wa aina gani?
 
Mengi sio Baba yako wala hakujui umeleta Hoja ya Kibiashara huku ukiingiza ushabiki wako wa kisiasa wa njaa njaa...Sasa Msigwa anahusikaje na Hoja ya ujenzi wa Viwanda vya magari? Au anamzuia mengi kujenga?
 
Sasa mbn Jk kajenga taasisi ya moyo pale muhimbili kama walikuwa wanataka kuendelea kupiga pesa za Apollo si asingejenga hio taasisi ya moyo ambayo saizi ina madaktar wa kiisrael na marekani
Taasisi ya moyo ya JK imeanza kufanya kazi lini na JK ameondoka lini Madarakani?
 
Mkuu naomba ufafanue kuhusu hilo zengwe, mimi na Erythrocyte hatujui kabisa.

Ukitulaumu utakuwa haujatutendea haki na haujatusaidia chochote kuhusu ukweli wa kukwama kwa mzee Mengi kwenye dhamira yake ya kusimika kiwanda cha Moyo toka siku nyingi
Mkuu kama zengwe lililetwa na JK mbona ni miaka mitatu tangu aondoke na hakuna kinachoendelea ?
 
Bongo bana!!! hata maligafi zote zikipatikana hapa kwenye bei itakuja kuwa juu ama sawa sawa na yale yanayoagizwa mabara ya mbali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Sidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.

Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.

Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.

Tanzania ya viwanda.
View attachment 940512View attachment 940513
Good
 
Taasisi ya moyo ya JK imeanza kufanya kazi lini na JK ameondoka lini Madarakani?
Point ya msingi una miss kwanini aijenge wkt alitaka watu wapige dili za Apollo?

Mengi hakuendelea na ujenzi wa hospitali sababu watu weupe walimuangusha.
 
Point ya msingi una miss kwanini aijenge wkt alitaka watu wapige dili za Apollo?

Mengi hakuendelea na ujenzi wa hospitali sababu watu weupe walimuangusha.
Ungenijibu swali langu ungejua jibu sahihi?

Ndiyo hivyo mlidanganywa kwamba Mengi alikua anasubiri funds kutoka kwa wazungu sio?hapo ndipo nimeona hujui chochote.

Na Dr. Masau na yeye aliangushwa na weupe sio?

Wewe hujawahi kuomba hata walau tenda ya mil 1 huko serikalini,ungekua umeshawahi ungejua fitna huko serikalini zinapigwaje mpk unatulia tu.
 
Sio vikwazo ni location alotaka kujenga kuna hospitali kubwa zaidi 5 ndani ya eneo la KM 30,machame hosp,kcmc,kibosho hosp.mawenzi hosp.kibong'oto
Wacha uwongo wako, hizo hosp zinatibu magonjwa ya Moyo?

Kikwete na wahuni wenzake walimwekea uzabe, ili wagonjwa wote watakao pelekwa Apollo kwa hela ya serikali wapige 10%
 
Serikali ingetangaza viwanda vilipo ili vijana wapate ajira, kilasiku inaongeza number ya viwanda vipya lakini vijana hawana ajira. Kama hivyo 3300 havijaanza uzalishaji ni vizuri pia wananchi tukaambiwa.
Kila siku wana tupa hope, lakini hamna kitu.
Professor Muhongo alisema matajiri watanzania hawana pesa mengi akawa mkali, kwenye vile vitalu anamiliki vingapi na je kesha jenga rig hata moja?!
Hospitali ya moyo, kesha sahau.
 
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Bavicha na pingapinga ndo maana akina waitara wamefika bei.
 
Sidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.

Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.

Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.

Tanzania ya viwanda.
View attachment 940512mungu bariki tanzania, mungu bariki IPPView attachment 940513
 
Back
Top Bottom