Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?

Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Nina wasiwasi huyu Mzee anatumiwa na muasisi wa Tanzania ya Viwanda maana siku hizi kila uchwao anakuja na nyimbo mpya ya Viwanda halafu pia kumeibuka ukaribu wa ghafla na Jiwe.
 
Sie tunachojua ni kuwa Mengi anaanza kutengeneza Magari nvhini,vijana kupata ajira
Sawa
tapatalk_1542657012321.jpeg
 
Baada ya hiyo kubuma hiki cha juzi cha simu kimeishaanza ? mwambieni Mzee Mengi aige mfano wa Bakhresa ambaye haitishi press lakini viwanda vyake tunaona .
Unadhani kiwanda kinajengwa ndani ya siku 3 kama vinavyojengwa viwanda vya mwigaje vya cherehani 3 sio?

Mengi hicho kiwanda cha simu amekiongea hata mwezi haujafika,ulitaka kijengwaje?

Kiwanda cha Bakhressa cha Juice kilichozinduliwa na Magu,unajua kimeanza kujengwa tangu enzi za JK?
 
Unajua zengwe Mengi alilokua anapigwa na serikali ya JK ili waendelee kupiga hela kwa kuendelea kupeleka wagonjwa wa moyo Appolo India?

Unamjua marehemu Dr.Ferdinand Masao wa Tanzania heart institute(THI) na zengwe alilopigwa na serikali ya JK?

Mkuu naomba ufafanue kuhusu hilo zengwe, mimi na Erythrocyte hatujui kabisa.

Ukitulaumu utakuwa haujatutendea haki na haujatusaidia chochote kuhusu ukweli wa kukwama kwa mzee Mengi kwenye dhamira yake ya kusimika kiwanda cha Moyo toka siku nyingi
 
Sidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.

Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.

Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.

Tanzania ya viwanda.
View attachment 940512View attachment 940513
Siyo kiwanda cha magari ,ni karakana ya Ku assemble magari,mnajua maana ya viwanda nyie?
 
Awamu hii inaweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara kufanya mambo ambayo tuliamini hatuna huwezo wa kuyafanya.

Tofauti na awamu iliyopita, “Watanzania uwezo wetu ni wakuwekeza kwenye viwanda vya juisi”!
Okkkkkkk

Ova
 
Utapata tabu sana awamu hii,Dada mange kimavi anasemaje kuhusu kuyumba kwa uchumi ambayo ndo ajenga kuu ya wakaazi wa kijiji cha pingapinga kata ya chaduma?
Mkuu ulishapona matatizo yako ya Moyo?
 
Bongo bana!!! hata maligafi zote zikipatikana hapa kwenye bei itakuja kuwa juu ama sawa sawa na yale yanayoagizwa mabara ya mbali
 
Back
Top Bottom