The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,356
- 4,655
Hivi kama viwanda zaidi ya elfu 3 hakuna ajira tunazoona kimoja kina ajiri wangapi?Sie tunachojua ni kuwa Mengi anaanza kutengeneza Magari nvhini,vijana kupata ajira
Hivi kama viwanda zaidi ya elfu 3 hakuna ajira tunazoona kimoja kina ajiri wangapi?Sie tunachojua ni kuwa Mengi anaanza kutengeneza Magari nvhini,vijana kupata ajira
hahahahaa kabisa, yale magari yao ya KUSHIKA MOTONshawaona wachina hapo😅😅 wanatumia mgongo wake tu
Ujenzi ulishaanza, msingi ulishaisha, nguzo alishazisimamisha akapigwa fitna na vikwazo na serikali ya JKTangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?
Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Na alishawahi kuhaidi kiwanda cha kutengeneza smartphone zinazihifadhi charge kwa muda wa wiki nzimaTangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?
Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
RubbishSidhani kama kuna mfanyabiashara mkubwa mwenye imani kubwa na Tanzania ya viwanda kama ndugu Reginald Mengi.
Mengi anatarajia kuanza kutengeneza/kuassemble magari hapa nchini.
Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari.
Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?.
Tanzania ya viwanda.
View attachment 940512View attachment 940513
Hata Apple kampuni kubwa kwa Mcap wana assemble! Vifaa vyake vinatoka kwenye makampuni kama AMS, IQE, Japan display, Intel etc.Siyo kiwanda cha magari ,ni karakana ya Ku assemble magari,mnajua maana ya viwanda nyie?
Ukishajua umri wake ndio utaweza kujadili hoja iliyopo mezani?Hivi huyu babu Ana miaka mingapi
Bavicha na pingapinga ndo maana akina waitara wamefika bei.
Amechoka? Muulize JackieAlivochoka huyu Mzee hao wachina watamtapeli tu
Kweli mmemchoka Mzee wabongoVipi zile simu walizosema baada ya miezi mitatu zitakuwa tayari nahitaji moja
alete simu kwanza hayo mengine awaachie Be foward